Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.

Uliomba kama familia au uliomba binafsi?
Tuanzie hapo.
 
Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Upo sahihi kabisa huyu dada ni akina mwajuma tu wanaoanga na kuzalishwa nje ya ndoa
 
Amesema hajaolewa ila ana mtu/ mwanaume tu aliemzalisha.
Lakin huenda mtoa Uzi umemuweka majaribun mchungaj wa watu kupitia maongez yenu jinsi unavokuwa unaongea nae so nae n binadamu.
Kukutaka tu huku akijua fika wewe ni mke wa mtu kunamuondolea sifa ya kuwa mtumishi wa Mungu. So, kama sababu pekee ya kumnyima ni hiyo, imeshakosa mantiki. Halafu, kwa usawa huu wa Dr mwanaume akupe bure tu hizo MM mbili? Ingawa mpaka hapo nimeshaanza kumuonea buruma mumeo
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mchunga mbuzi akupe 2M!!???
 
Kwanza hujaelewa. Watoto wawiili bila ndoa nyakati hizi kuachana Ni 89%.
Kama angekuwa sio mchungaji ungeweza kumpa Basi mpe tu endelea kudanga usiogope.
Ila wanawake tunajua kujitolea mtu hawezi kukuoa, mtaji wa milioni 2 hawezi kukupa na umemzalia watoto 2.
 
Huyo sio Mchungaji atakuwa mfanyabiashara ya dini. Wachungaji hawana hiyo tabia
 
Kwanza hujaelewa. Watoto wawiili bila ndoa nyakati hizi kuachana Ni 89%.
Kama angekuwa sio mchungaji ungeweza kumpa Basi mpe tu endelea kudanga usiogope.
Ila wanawake tunajua kujitolea mtu hawezi kukuoa, mtaji wa milioni 2 hawezi kukupa na umemzalia watoto 2.

Huyo amepata Mwanaume na Sio Mume! Kuna tofauti hapo
 
Ukiona mwanamke anashare kitu kana hiki jua kashaliwa... Hapa anataka tu mitazamo yenu... Je itasapoti aliwe ili nafsi yake isimsute kwamba alikuwa sahihi kuliwa au mtakuwa negative....ili asigawe tena K.....

Ukweli ni .... KASHALIWA
ndo memwambia asituchoshe!
 
Tamaa ndizo zinawaponza mnaliwa hovyo.Nani akupe pesa kiasi chote hicho buree na si ndugu yako?Mnawatega burewatumishi hao na kwa taarifa tu hao hawategeki,mkijikomba hawaachagi kitu
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Mpe mara moja nawew x unachukua m2 mara moja au unampango wa kuwekeza maombi ya mtaji
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
Kwa hiyo angekuwa bodaboda usingeleta uzi hapa. ungetoa papuchi ki roho safi.
 
wewe shida zako amezisikiliza,ila zake hutaki kuzisikiliza,una shida kweli wewe na M2 au unazingua?
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
mtumishi wa Mungu wewe au mchungaji???
 
Wekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..

Wewe umekomaa na point yako ambayo hujui ulisemalo. Sheria ya ndoa inatambua kuwa watu walioishi pamoja kwa miaka miwili ni wanandoa japo hawajafunga hiyo ndoa.
Usikariri.
 
Back
Top Bottom