Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.

Mpe tu, ila mazoea yaczd😂 afu ucpokubali kuliwa huliiii....we unataka kula tuu? Ala😏
 
.
IMG_20190701_185648.jpeg
 
Mm ni mwanamke na mama wa watoto wawili nina Mume ila pia si Wandoa japo tuna mpango wa kufunga ndoa.

Nina rafiki yangu ambae ni mchungaji nimemwomba mtaji wa sh 2M sasa kanihakikishia kunipa ila anataka ni mpe papuchi; yani nimechoka.

Naombeni ushauri nifanyeje matusi sitaki. Pesa ya biashara nataka ila papuchi sitaki kutoa kwa sababu ni mtumishi wa Mungu.
huyo mchungaji kama jina lake linaanzia na G nakushauri mpe tu naskia anakata mauno sana ila ndo ujiandae kisaikolojia yeye mwisho wake ni dakika moja na sekunde thelasini tu..
 
Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Napingana na wewe, imagine umempenda binti ukaamua kupeleka barua kwao na wazazi wake wakakuruhusu umuoe, then ukamchukua ukamweka ndani bila kufunga ndoa na Mungu akawajaalia watoto. Je hiyo siyo ndoa? Au ndoa ni kusherehekea na kualika watu kula pilau na kuwatangazia huyu ni mume/mke wangu?
My point: Ndoa ni makubaliano ya wawili kuishi pamoja.
 
Hivi kweli mkuu, unaishi na 'mwenza wako' unaenda kukopa mkopo wa biashara bila kumshirikisha? Ni surprise unamuandalia?

Hainiingii akilini huyu mama wa watoto watatu
Its simple eti mume wangu huyu ananitaka,nimkubalie? kisha unasubiri utashi wa mume!
 
Sikiliza dada,
wewe huna mume,ungekua na mume mngefunga ndoa,huyo uliezaa nae ni bwana tu mmezini akakuzalisha,kwa hiyo hata pasta akikutaka sawa tu,kwa kuwa si mke wa mtu,je jamaa akikataa kukuoa?.
Wajuzi waje wanikosoe kwa ukweli niliokwambia.
Kama wanaishi nyumba moja,huyo ni sawa na mume
 
Milion mbili Mbona pesa kidogo sana muambie apande dau
 
Back
Top Bottom