Watu mnapenda kujisahaulisha wakati wengi wenu mmetokea familia za Mama Golikipa na maisha yalikuwa yanaenda na mkalelewa hadi leo mmekuwa hivyo mnajifanya kama vile ni jambo ambalo haliwezekani.Kwahy mdada anatakiwa akae nyumbani awe anasubiria mshahara wa mume? Ikiwa alikuwa ashatafuta nafasi na akapata? Aiache kwasababu gani? Na huyo kaka umeskia anaenda kusoma nje ya nchi, ikitokea akapata mchumba mwingine huko yy huyu wa huku atabakije?
MWISHO WA KUNUKUUAcheni kuchumbia wanawake ambao hawajajipata, bado wanajitafuta. Hawa hubadili gia angani wakishajipata wanabadili mawazo ya kuolewa. Oeni wanawake ambao wametulia kwenye shughuli zao na wanahitaji wa kuwaoa bila tamaa
Barikiweni mnoo.ahsante sanaπ
Anaacha kwenda Ulaya akatafute mwanamke wa kizungu yeye anamuwaza huyu mnuka chupi wa unga limited..Em anza kula vizuri, oga vizuri, nenda maduka ya scents chukua moja au mbili, kila weekend usikose outing yako mwenyewe, pata muda kaa chini waza future yako,
Fikiria your next school life na maisha ya england,
Watakaa miezi tisa na wewe mwaka hahaha,
Pole sana, tafuta mwanamke sahihi kwako mkuu,
Work hard en good luck
Nilitaka kusema hivi mkuu.Kwenye hili la Upolisi Hakukusikiliza japo wewe una mshahara mzuri tuu wakuweza kumudu mahitaji yake hata pia ya familia yake kwa kiasi furani lakini bado unamuita ni msikivu!!!!!.
Inaonekana bado hujawajua wanawake Vizuri hasa hawa Career women. Hiyo ni redflag na unaipuuzia kama ambavyo wanaume wengine wanaoteseka kwenye Ndoa zao hivi leo walipuuzia mambo kama haya huko nyuma.
Labda nikwambie tuu Her Career and then her Job are more important than you and your future marriage (if it will happen)
Polisi mafunzo yao kwasasa ni Mwaka mmoja ndio Recruit wanaksoma muda mrefu kiliko Jeshi lolote lile na kufukuzwa n kugusa tuHuwa wanakaa miezi mingapi huko mafunzoni??
sijamuoa ni girlfriend tu mkuuWatu mnapenda kujisahaulisha wakati wengi wenu mmetokea familia za Mama Golikipa na maisha yalikuwa yanaenda na mkalelewa hadi leo mmekuwa hivyo mnajifanya kama vile ni jambo ambalo haliwezekani.
Anyway Mimi sijasema Mwanamke huyo akae nyumbani ila nimekuonesha tuu kuwa maisha ya Mama anabaki nyumbani kusimamia nyumba na malezi sio tuu yanawezekana bali ndio asili ya Familia zetu nyingi huko nyuma.
Hapa tunazungumza kuhusu hiyo kazi yenyewe ambayo hata mtoa mada ndio ametaka ushauri kwayo.
Unadhani kama ingekuwa ni Post ya TRA mtoa mada angetaka ushauri??
Kwaiyo nimemshauri kuwa kama ambavyo hajakusikiliza now kuhusu hilo la upolisi basi hatokusikiliza Chochote kuhusu career yake au kuhusu Ajira yake kwani hivyo kwake ni vya Muhimu kuliko Hata Ndoa yenyewe.
Sasa Mwanamke kuwa na msimamo huu ni Vizuri kama hajaolewa ila akiwa ameolewa kuna shida itapatika huko Mbeleni kwa sababu ndoa nayo ni taasisi inayohitaji kusimamiwa kuheshimiwa na kupewa kipaumbele jambo ambalo wanawake wakileo hawalijui au hawalitaki tena.
Wao kazi zao ni muhimu kuliko Chochote hata kuliko watoto wake mwenyewe.
Na ndio utaona watoto wa siku hizi wanalelewa kama mayatima ilihali baba na Mama wote wapo hai.
sijamuoa ni girlfriend tu mkuu
ππππkaka kwani milion ni hela nyingi? nadhani ninatazamia kutengeneza zaidi -sipo comfortable na kazi ninayofanya hapa hospital ,nimeandika haraka tu sababu nimeumizwa na maamuzi ya familia yake.Kwa unavyoandika sioni kama unaingia milioni kwa mwezi, milioni haionekani kwenye huu mwandiko...... halafu kwa huu uandishi utaendaje kusoma masters Uingireza...
Hakuna kutembelewa mpaka graduation. Kwanini asiendelee na kazi yake au kujiunga nawe Uingereza?kumbe hairuhusiwi kuwatembelea?
kaka wazungu hawana mashape mimi napenda shape π ,on a serious note ni kwamba binti hana kasoro so nimempenda ,mimi nimenyooka sana sio mtu wakicheat au kumuumiza mwanamke aliyenyooka kama yeye ndo maanaAnaacha kwenda Ulaya akatafute mwanamke wa kizungu yeye anamuwaza huyu mnuka chupi wa unga limited..