Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

atatoboa
Kama mzuri hatoboi mark my words nimepita jeshini pia so nina uzoefu
tu namjua hana tamaaa 😂 sio kama hawa wadada wa mjini ,anapenda maisha ya kivyake vyake hana best friend ,sio hawa wadada wa makucha na maclub😅
 
Mwanamke aliegoma kukusikiliza, tambua wewe ni option kwake kwa tafsiri nyingine huna upekee wowote kakwe, ameamua kuamini katika kazi kuliko kuamini katika wewe.

Kwakua imekuuma kiasi hicho basi tambua wewe juu yake Huna option maana kama ungekua na option isingekuchanganya.

Ushauri wa bure:

Kwa kuwa unaenda ulaya kusoma, mfute katika kumbukumbu zako, ikiwezekana badili line apotelee huko, achana nae kabisa na ukishafika ulaya komaa na mishe(kule hupati k kirahisi)

Ukirudi bongo na vi dollars na pauni, jiwekeze kwenye bizness na harakati za mjini.

Nakuhakikishia ndanii ya miaka 2 itakuja pisi kali sana yenye viwango vyoote kumzidi hata huyo polisi, utainjoy maisha na kujiuliza kipindi kile unajifungia ndani unalia kisa demu kakukataa indirect(aliposema sijui nikirudi nikakuta umeanzisha mahusiano haina shida ilibidi hapo hapo udai risiti hiyo ndio talaka yako hiyo).

Polisi utakua unatomba mara moja moja, tena yeye ndio atakua anafosi na niamini wewe ndio utakua unamkwepa
Quimica
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom