Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Mchumba wangu ameenda CCP Moshi

Of course limekuwa jambo lakuhuzunisha sana lakini sina Budi maana binti alinieleza kabisa kwamba kabla sjaanza nae mahusiano wiki moja nyuma alishaconfirm na familia yake kwamba anaenda Polisi japo aliniambia kwamba hakutamani kwenda ila msisitizo wa Familia na yeye kusema ugumu wa maisha ,japo nilimwambia kwamba baada ya miez miwili ntaenda kupeleka posa kwao then nikae nae maana hapa ninapofanya kazi ninaingiza zaidi ya milion kwa mwez

Niseme kwamba niligombana nae sana alivyoniambia kuhusu polisi maana kwa mimi sijaiona kama ni kazi ambayo nilitaka mke wangu aje kuifanya kulingana na purukushani zake ,nikamtishia hadi kuachana nae ila ndyo hvyo binti hameshindwa kasema kuacha huku akidai kwamba atamuua mama yake kwa presha akikataaa sasa hivi

Ujumbe wake wa mwisho kwangu sababu kulingana na sheria za Chuo cha polisi Moshi hairuhusiwi kutumia simu ,nimeconfirm pia jina lake kwenye pdf la waliochaguliwa

Ujumbe wake wa mwisho ulikuwa " Nakupenda na naamin ndani yako kuna mwanga ambao Mungu mwenyew ameuweka,kila unachogusa kitafanikiwa naomb kwa Mungu akulinde na akutie nguv akufungulie na milango ya baraka Usisahau Nipo nawe na naamin kwako na moyo wangu upo upande wako daima....ubaki salam naiman kat ya watu waliochaguliwa kwenye scholar ship nawe upo ntakutafut Nikipata nafas na ikiwa nmerud hutakii mahusian na mim ni sawa ntakubalian na halii ila juwa Nakupenda San kutokukusikiliz kweny hili sio shida kwangu Niachee kukupendaa coz ni mwanaume mwema San kwangu na haijawah kutokea...sijawah kufikiria ksm ntskuj kupenda kuwa polis ila maish ya nyumbn na yangu nmeamua kufany maamuz haya...nakupenda San kaa ukifaham Hilo"

Niongeee kwamba huyu binti amekuwa mwanamke bora sana kuwa nae anasifa zote ,ni mpole anaskiliza ,hana mawenge yani she is perfect , binti pia anatokea Tanga ila anakaaa pwani.

Japo na mimi nina ondoka kwenda kusoma masters kwa scholarship Nchini Uingereza mwez wa tisa mungu akipenda ambapo ntakaa mwaka mmoja ila jambo hili limeniuma maana she is the one sitamani nimpoteze

Je nauliza Utaratibu wakumtembelea Mtu CCP moshi ukoje ,nikisema atleast niwe naenda moshi kila mwisho wa mwezi kumtembelea ruhusa yao ipoje ?

Wameondoka juzi tarehe 12 na ameniahidi kunitafuta japo sjui ni lini maana hawaruhusiwi simu ?

Kwenda moshi sio shida maana ndo nyumbani nimezaliwa na nimesoma mpaka form six kabla yakuja dar kusoma chuo na kufanya kazi

Je Kuna usalama kwel wa watoto wakike hapo CCP ? japo binti anajitambua sana najua hawez fanya ujinga .

Ntashukuru Nikipewa majibu
Tafuta mchumba mwingine mkuu labda kama, sorry kukwambia hivi.




NB:Niliwahi kuwa na mchumba miaka kadhaa iliyopita akaenda JWTZ, mipango yote ilivurugika..... saizi ni rafiki tu ni captain yupo hapo upanga,amezaa na wanaume watatu tofauti, daah ni story ndefu ila inasikitisha maana huko majeshini kuna mengi,japo usichana wake ni dhambi yangu 😔
 
kama unampenda sioni sababu ya wewe kumuacha kisa tu anakwenda kuwa askari polisi labda kama kuna jingine hujaliweka wazi.
mwanzo niliovereact tu ila sasa hivi nishakubali ,siwezi kumuacha ntakua naenda kumtembelea
 
Likija suala la wanawake kujitafuta na kujipambania watu wengi mnatanguliza negativity nyingi
Mbona hamuongelei suala la jamaa kwenda kusoma masters.
Yaani kila mwanamke mnaona priority yake ni umalaya tu
Shame on you!!
 
vumilia arudi uje uichape iyo kitu ,me na Mjeshi huwa namchapa na sare zake kufidishia machungu ya deni la taifa , saiv kuna trafiki anaingia mtegoni lazima akae na sare zake 💥
mangekimambi80-20250613-0001.jpg
 
Wata.tomba sana ila usiwe na wasi wasi kwa sababu hukumkuta bikira.

Anaweza kumaliza mafunzo ya upolisi na asifanye hiyo kazi kama kweli wewe una hela
This sender isn't in your Contacts
 
😂😂😂😂 ila MM jamaniii, waache wenzio wateseke na mapenzi hadi wakufe. Lol
Vijana ni wajinga sna hawajui hata maana ya mapenzi na kujiweka mbele wao kama wao kazi yao ni kujali tu kisa demu analo tako🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom