King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Kama hapendi wageni mtakuwa mmemnyima kunde.mimi ukiingia sebleni kwangu na sigara mkononi junior atakurudisha nayo uone aibu
King'asti huyu binti hana adabu hata chembe, kwa mimambo yake haya ya madharau nyumbani kwetu sidhani kama kuna mtu ataweza kumtembelea nyumbani kwake.
Last edited by a moderator: