Mchumba wa kike kuvuta sigara mbele za wakwe!!

Bujibuji, kaka ako anaelewa fika mazingira ya kwenu maadili na destur zenu, kwanin hakumwambia kabla? Au nae ndo kama mwenzie tu! Lakin nae huyo dada lol! Angekua mzungu tungesema mgeni na mazingira ya huku, lkn kaamua kufanya vitimbwi tu ili mradi awachokoze, hata kama mazoea inamaana kashindwa hata kuvumilia siku mbili tatu za ukweni, lol! Basi si akavutie huko viwanja vya wazi, kuliko kukera wengne. Ingekua mim kiti ndo nipo hapo kwenu ningemchana live.
 
Jirani sasa naona leo nikukosoe....hivi unajua kuwa smoking in public ni against bylaws?

Najua wafahamu madhara ya moshi wa sigara kwa wale wauvutao unfiltered...
Na kweli. Asante kwa kunikosoa.
Btw I dont smoke cigarettes but huwa najaribu ku accomodate the other party.
 
kila jambo na wakati wake.
Kuvuta sigara sebuleni sidhani kama ni ujasiri....
Hata ofisini huwezi kuvutia misigara yako, utaenda kuvutia nje.

Mchumba ameonesha kwamba endapo ataolewa basi nyumbani kwake itakuwa fegi mwanzo-mwisho. Kama vipi wamteme mapemaaaa.
 
Jamani,
Bro katoka Uingereza na mchumba wake, wote ni Watanzania na wameenda ughaibuni mwaka 2010 wakiwa ma boyfriend na nyumbani wakiwa hawamjui huyo binti.
Juzi usiku wameingia Tz kwa ajili ya kutambulisha uchumba wao na mapumziko ya Xmas.
Leo usiku kulikuwa na sherehe ndogo ya utambulisho, baada ya utambulisho binti akaliwasha li Malboro lake.
Moshi nyumba nzima, kwa aibu mama akamuambia tunaomba ukavutie nje, sisi huku Tanzania hatujazoea kuvutia sigara ndani.

1. Huyo binti ni mshamba tu, hata huku ulaya havuti sigari ndani.

2. Chanzo cha tatizo hapo ni bro. wako, inaonekana naye maadili yake yameshuka vilevile baada ya hii miaka michache ya kukaa ughaibuni. Huyo msichana alipataje ujasiri wa hata kufikiria kuwasha sigara kwa wakwe, achilia mbali kuvutia ndani?

Conclusion: Bro. wako na huyo nyapu wote wameshakua vimeo. Muwaombee tu!
 
Wazo jema sana
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom