Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

Still unakuta hana Furaha na analia stress za kufa mtu
 
SCHICAGO.jpg
 
Huyu jamaa si lolote wala si chochote.....ukitaka kujua kuwa ni boya nenda kwake....kajengewa nyumba kwenye kiwanja ambacho hata Gaden hawezi tengeneza..maisha ya huyu jamaa hana tofauti na watu waishio Manzese.....ukimtembelea kwake mpaka mkae seblen....hawez kuchoma nyama nje,hawezi kukaa nje ili angalau apunge upepo,kiwanja kwisha kabisa hana tofauti kabisa na wakazi wa Manzese...ana katoto pale kadogo hakuna sehem hata ya mpira.......sa kama kweli ni Milionea mwenye uwezo wake kwa nini aishi kwa shida wakati ni tajiri mwenye magari ya kifahari......??kwa nini aishi maisha ambayo ni sawa na wakazi wa kwa MTOGOLE.....?? Ni mshamba mwenye kutaka sifa na ndio maana anapenda kila afanyalo anataka wana Jf tufaham....anatumia gharama kubwa sana kujitangaza kuwa yeye bilionea lakin ng'oooo hata weza kwan tumjuao zaid ni wana JF kwan ndio tupitao kwenye kurasa hizi......zuruma balaa ukifanya kaz kwake....lugha zake ni matusi ma kutisha kukufunga....yaaani kwa ujumla ni mtu ambae Mwenyezi Mungu kamnyima hekima na busara....atakuwa kafugwa na kigogo mmoja ambae hataki kujulikana na hicho ndicho kinamfanya ajitangaze sana......na kama angekuwa na uwezo angeweza hata kutangaza nguo zake za ndan.....ukweli jamaa ni mshamba sana......!!
Na yametimia leo tumepata kumjua tabia yake halisi....
 
Back
Top Bottom