Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

Kwani huangalii FUTUHI hata siku moja,ukaona zile SALUTE zilizoenda shule za yule anaesema anatoa mitaji kwa MUHA wote wa Mwanza !
 
ndio nani huyu wakuu?cc wengine tupo vijijini huku hao wa dar hatuwajui.lol

Walete na wewe wa huko kijijini, anyway huyu jamaa aliwahi kushika wadhifa katika klabu ya Yanga pia ni mfanyabiashara lakini si kama Mengi au Bakheresa wanaojulikana na raia wengi kuhusu investment zao nadhani ndio maana humjui maana mjini wengine wapo hoi wengine wanaingiza hela za kutosha
 
Sijabahatika kuiona ila hii machine ya jamaa haipimiki ipo poa sana.
ni kweli hii mashine kali wangu manake hata kama ni kwenye folen uko pembeni na kipisi chako utaona aibu mweeeh!
basi wewe tafuta mchuma wa huyu dada
ni kama land cruser fulan lkn ni ya subaru
nafkiri anafanya kazi hapo ppf tower.
 
King Kong III hivi hili limezidi uzuri wa gari la yule mdada wa kihaya ile subaru?? amepimp gari yake sijui KOKUKENDA. jamani ile mashine nimeikubali.................

Chukua hiii....hapana chezea mhaya
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371614669481.jpg
    uploadfromtaptalk1371614669481.jpg
    77.9 KB · Views: 744
Last edited by a moderator:
Chukua hiii....hapana chezea mhaya

lakini best huyu dada kasimama, kwana ni mzuri ile mbaya halafu anaendesha gari zuri hadi balaa.
nafikiri hili ndilo lililokuwa the most expensive car kwa hapa mjini may be hili la Davis limemtoa kwenye rank
 
Huyy kokwenda anaendesha jeep sio subaru na kama wataka kuiona tembelea mitaa ya UDSM huwa anapita pita sana mitaa ile

asante kwa ufafanuzi mie nimeliona mara moja tu nilipigwa butwaa but the looks nikaona kama lina logo ya subaru kumbe ni jeep??
anyways hongera zake
 
jamani tufanyekazi mafanikio hayaji kwa kubweteka. Kivyovyote jamaa anafanya kazi hata kama haramu lakini anafanya kazi
 
Back
Top Bottom