Range Rover EV imekuja officially. Imekuja na range ya 600 km kwa full charge!

Range Rover EV imekuja officially. Imekuja na range ya 600 km kwa full charge!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,346
Reaction score
103,737
EVs are here to stay.

JLR wametangaza officially RR EV baada ya teasers za miaka na miaka, na utaanza kuuzwa mwakani, 2027.
74.jpg

Kwanza muonekano wa nje na ndani, ni karibia sawa na RR ya ICE. Wao JLR wamesema "it will look, feel and drive like normal RR".
76.png


Kuhusu Bei ni £154,070, inakuja na dual motor, 120kWh battery na 540 HP.
75.jpg

range-rover-electric-2026-057.jpg
 
Mad Max Extrovert hii chuma nimekuja kuielewa naombeni muongozo
Hio chuma nishaikalia sana, naielewa vyema. Its an all-round off-roader with looks. Durability sio ya kuuliza kwa sababu ina Engines kama 4, tatu zikiwa za Petrol na moja ni Diesel. Niliyotumia ni 3RZ-FE Petrol iko Sluggish sababu ni engine kongwe ila ni imara.

Gari balance ipo ya kutosha sana tofauti na Prado sababu ya body yake kwenda juu ni fupi ila ina upana. Gari nzuri sana kwa safari.
 
Itafute ata Picha au video YouTube, iyo ni ya 2004 nadhani, nzuri kama mtu wa kazi kazi.
Shukran
Hio chuma nishaikalia sana, naielewa vyema. Its an all-round off-roader with looks. Durability sio ya kuuliza kwa sababu ina Engines kama 4, tatu zikiwa za Petrol na moja ni Diesel. Niliyotumia ni 3RZ-FE Petrol iko Sluggish sababu ni engine kongwe ila ni imara.

Gari balance ipo ya kutosha sana tofauti na Prado sababu ya body yake kwenda juu ni fupi ila ina upana. Gari nzuri sana kwa safari.
Miamia mkuu
 
Back
Top Bottom