Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

DU! Kazi si kutafuta utajiri!! Bali kazi ni kufuga PESA ili upate na uwe tajiri!!
 
duh gari zuri sana hivi ni shilingi ngapi???? najiuliza watu wanapata wapi hela nyingi hivyo jamani??? mimi hata hela ya mboga tatu inanipiga chenga....hongera zake
 
King Kong III

Hii nimeipata kwenye website ya Delina

Davis Mosha lives a fulfilling life by doing what he loves best: business, rallying and football. He is an entrepreneur, a rally driver and owns a football club in Tanzania, his motherland.

Davis anamiliki kilabu oops Klabu gani ya mpira?
 
Last edited by a moderator:
this is what i am talking about
 

Attachments

  • buggati.jpg
    buggati.jpg
    64 KB · Views: 514
Mpambe wa Riz1,utajiri ameupata mara baada tuu ya JK kuingia madarakani,ukimuuliza amepataje utajiri huo atakuambia malori ya kusafirsha mafuta wakati wapo akina KUGI's miaka nenda rudi wanafanya biashara hiyo hawajakua na pesa hizo.Na ni kawaida ya mtu anayepata pesa bila jasho ndiyo huchezea hivyo maana hata kuna gari ya mtoto wa Bakheresa aliinunua huyu jamaa.Ila kwa Manji aligonga mwamba na kutimuliwa Yanga

Mkuu data zako ni verifiable ama tetesi?
 
Hajafikia level ya kuitwa billionea wakuu, mbona hamumtendei haki yake jameni. Wengine wakiwa na Vogue mbili tu mnawaita mabillionea huyu mnamuitwa Davis Mosha, vipi?
 
Kaka hongera sana kama yote unayapata kwa FEDHA safi. Nyumba yako inafananaje kama una Gari la kfiahari jinsi hii! Sipati picha nadhani ni kama zile za matajiri wa USA.
 
Back
Top Bottom