Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

lakini nasikia huyu jamaa ni mmoja ya wanaosababisha vijana wetu kufungwa nje ya nchi. ni mshirika mkubwa wa riz na riz aliingia kichwa kichwa akashikwa china.

Hivi kumbe masuala ya Riz kushikwa China ni ya kweli? Kama ni hivyo basi tumekwisha jamani.
 
mi naomba kuuliza zinapita kwenye barabara hizi hizi tunazopita sisi au wao wanazo special?
nauliza tu

Zinapita barabara zetu hizi hizi...!
mcclaela-sumbawanga_500x375.JPG
 
...huu nao ni ugonjwa mwingine, hasa kwa wapambe wenye muda.
 
hapana mkuu ni kichaka cha mwanamfalme kuficha utajiri wake...jamaa ni kama boya tu!!!

...kwetu china tunanyonga fastaaaa, kwa staili hii chadema kuchukua nchi inahitaji nguvu kubwa sana ya wazalendo waliopata elimu ya uraia wakaelewa...
 
Wachaga mpo juu salute sanaaaa big uppp
Huu mchuma ni safi sana hongera zake nyingi. Cha muhimu awe amepata kwa njia halali na wala sio kwa kumeza pipi na pia awe amelipa kodi zote husika
 
...kwetu china tunanyonga fastaaaa, kwa staili hii chadema kuchukua nchi inahitaji nguvu kubwa sana ya wazalendo waliopata elimu ya uraia wakaelewa...
Naunga mkono hoja mia kwa mia,mapambano ni makali sana kwa kweli mafisadi utafikiri yana hisa za maisha....
 
King Kong III hivi hili limezidi uzuri wa gari la yule mdada wa kihaya ile subaru?? amepimp gari yake sijui KOKUKENDA. jamani ile mashine nimeikubali.................
Mkuu gfsonwin, ile KOKUENDA si ya mke mpya wa yule fisadi wa Kihaya Johnson? Si alimfukuza mke wa ndoa (white fulani hivi wa Tanga) akaoa mpya nahisi toka kwao? Yule mkewe wa kwanza aliahangaika sana wakati ile kesi ya EPA ilimkamata jamaa!!! Na akamtema kaleta chombo kipya na kukinunulia gari la nguvu!!! Hakika mwanadamu hana shukrani!! Ila hizi dili chafu ndizo zinanunua magari kama haya!! Kala ka mshahara kako hata ka 5m kanaweza? Ni zaidi ya ujuavyo!!
 
uwiiiiiiiiiiiiii kumbe yule dada m-bondei nduguye makamba Koku ni mke mwezie??
lolest! wahaya wana mambo. naskia alisema m-bondei hajui kupika ndizi na maharage lolz!!
 
Back
Top Bottom