Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

mchizi anapiga dili na riziwan kule kwenye gesi mtwara,mafuta yote yanayotumika kule ana-supply yeye na rizmoko
source;mshikaji mwajiriwa wa mosha na keshapeleka trip kibao za wese mtwara...dah
 
asante kwa ufafanuzi mie nimeliona mara moja tu nilipigwa butwaa but the looks nikaona kama lina logo ya subaru kumbe ni jeep??
anyways hongera zake

Hizi JEEP mbona zipo nyingi sana mjini; pengine mmempenda tu huyo dada na pia hiyo rangi ya gari lake!!!
 
Huyu jamaa si lolote wala si chochote.....ukitaka kujua kuwa ni boya nenda kwake....kajengewa nyumba kwenye kiwanja ambacho hata Gaden hawezi tengeneza..maisha ya huyu jamaa hana tofauti na watu waishio Manzese.....ukimtembelea kwake mpaka mkae seblen....hawez kuchoma nyama nje,hawezi kukaa nje ili angalau apunge upepo,kiwanja kwisha kabisa hana tofauti kabisa na wakazi wa Manzese...ana katoto pale kadogo hakuna sehem hata ya mpira.......sa kama kweli ni Milionea mwenye uwezo wake kwa nini aishi kwa shida wakati ni tajiri mwenye magari ya kifahari......??kwa nini aishi maisha ambayo ni sawa na wakazi wa kwa MTOGOLE.....?? Ni mshamba mwenye kutaka sifa na ndio maana anapenda kila afanyalo anataka wana Jf tufaham....anatumia gharama kubwa sana kujitangaza kuwa yeye bilionea lakin ng'oooo hata weza kwan tumjuao zaid ni wana JF kwan ndio tupitao kwenye kurasa hizi......zuruma balaa ukifanya kaz kwake....lugha zake ni matusi ma kutisha kukufunga....yaaani kwa ujumla ni mtu ambae Mwenyezi Mungu kamnyima hekima na busara....atakuwa kafugwa na kigogo mmoja ambae hataki kujulikana na hicho ndicho kinamfanya ajitangaze sana......na kama angekuwa na uwezo angeweza hata kutangaza nguo zake za ndan.....ukweli jamaa ni mshamba sana......!!
 
wewe ni mwongo kabisa yote uliyoandika ni uongo na wivu mwogope mungu wako umeshafika kwake? acha wivu tafuta vya kwako
 
Namfaham sana huyu jamaa....sitanii kuwa jamaa mshamba....niliwahi kuwa nae cku moja hivi pale oficin kwake PPF TOWER kuna duka pale pale chini opp na CITY GARDEN akanunua VIATU.....baada ya muda cku nyingine nikiwa nae akawa anamsimlia mtu mwingine kuwa viatu vile alinunua UK ......sa kama si mshamba mtu huyo unahis nini kinamsumbua kujitangaza humu JF.....?? Mbona hapa BONGO wapo vijana wengi wenye pesa na Gar nzuri kuliko zake...ni nini kinamuwasha mpaka kila afanyalo analeta JF kama si USHAMBA......?? cna wivu na mtu kama huyo....naona wivu kwa watu kama Mzee Baharesa ana viwanda na si magari kama jamaa yako....polen sana mnaoumpa kichwa mshamba mwenzenu.....anajisifu kwa mali inayoliwa na kutu.....?? Mweleze ukweli kuwa ni mshamba tu.
 
Hivi inakuaje m/ume mzima unapoteza muda wako hadi unaandika na kusifia mali za m/ume mwenzio?kwanini na wewe usitafute zako ili baadae mpambe wako na mkeo wakusifie?
Sikulaumu kama una uhusiano na mmoja wa hao watu ni niliowataja hapo juu,,au pia ni shemeji yako?

By the way,,ni mtazamo wangu tu.
 
Ni kweli mkuu STATA MZUKA watu wamekaa kujadili na kutoa sifa kwa mpenda sifa mshamba yule.....au ndio kama ulivyosema....yawezekana watoa sifa jamaa anamega Dada zao.....wanampa sifa ili kuvuna maana ni iman yangu jamaa huwa anatoa pesa kwa sms nzuri ndan ya JF,watakuwa wanamweleza angalia jina furan leo nimepost vizuri sana,kisha kichwa kinamvimba mshamba anatoa pesa......wajinga ndio waliwao......ingekuwa pesa ya jasho unahis angetumia vibaya kias hicho....huyo ipo namna anashiriki aiza kutuibia Watanzania au njia za bibi au babu....maana wapo wenye pesa wengi hawana mbwembwe kama za mshamba huyu.....Mengi,Ndesambulo,Shubashu Patel,Baharesa,na wengine wengi....hao wangeamua kujitangaza unahis huyu mshamba angestahiri hata kujadiliwa humu JF.....?? naomba iwe mwanzo na mwisho kuweka ujinga wake humu JF na kuujadili....anatutia shombo mshamba tu.....!!
 
Huyu jamaa si lolote wala si chochote.....ukitaka kujua kuwa ni boya nenda kwake....kajengewa nyumba kwenye kiwanja ambacho hata Gaden hawezi tengeneza..maisha ya huyu jamaa hana tofauti na watu waishio Manzese.....ukimtembelea kwake mpaka mkae seblen....hawez kuchoma nyama nje,hawezi kukaa nje ili angalau apunge upepo,kiwanja kwisha kabisa hana tofauti kabisa na wakazi wa Manzese...ana katoto pale kadogo hakuna sehem hata ya mpira.......sa kama kweli ni Milionea mwenye uwezo wake kwa nini aishi kwa shida wakati ni tajiri mwenye magari ya kifahari......??kwa nini aishi maisha ambayo ni sawa na wakazi wa kwa MTOGOLE.....?? Ni mshamba mwenye kutaka sifa na ndio maana anapenda kila afanyalo anataka wana Jf tufaham....anatumia gharama kubwa sana kujitangaza kuwa yeye bilionea lakin ng'oooo hata weza kwan tumjuao zaid ni wana JF kwan ndio tupitao kwenye kurasa hizi......zuruma balaa ukifanya kaz kwake....lugha zake ni matusi ma kutisha kukufunga....yaaani kwa ujumla ni mtu ambae Mwenyezi Mungu kamnyima hekima na busara....atakuwa kafugwa na kigogo mmoja ambae hataki kujulikana na hicho ndicho kinamfanya ajitangaze sana......na kama angekuwa na uwezo angeweza hata kutangaza nguo zake za ndan.....ukweli jamaa ni mshamba sana......!!

hater???
 
Mkuu mi inanipa tabu kidogo mtu hadi unapiga na picha gari ya m/ume mwenzako kabisaaa?
 
Davis Mosha, founder, Delina Enterprises, one of KenolKobil’s key transporters in the region.

Davis Mosha lives a fulfilling life by doing what he loves best: business, rallying and football. He is an entrepreneur, a rally driver and owns a football club in Tanzania, his motherland.

But this has been made possible courtesy of his business. Mr Mosha is the founder and director of Delina General Enterprises a company that transports fuel and other products to KenolKobil depots throughout East Africa. The company’s name Delina is derived from the first initials of his wife and children: D for David, E for Edgar, L for Lisa N for Nancy and A for Angela.

From Mombasa to Kampala, Dar to Congo, Delina serves KenolKobil clients with a passion born out of experience and a mutually beneficial relationship. Delina and KenolKobil have come a long way. It started in early 2000 when KenolKobil was seeking to expand its operations to Tanzania. The oil company rented his fuel station in Chalinze, Morogoro, the first that Kenol Kobil established in the country. Due to his experience doing business in East Africa’s biggest country, he also advised the company.

The watershed of Delina’s relationship with KenolKobil came in 2004 when the company asked him if he could invest in transportation. The deal? Move fuel products from Dar es Salaam to the Democratic Republic of Congo. He was the right man for the job. Mr Mosha was in transport as the owner of tippers which he rented to, among others, road construction companies. As a former owner of a fuel station, he also knew the sensitive nature of the product. “It was a good business opportunity with an even better business partner,” he says. He mopped up his savings and invested in five vehicles to pry the route.

Eversince, Delina’s growth has reflected that of Kenol Kobil. True to its goal of becoming the continent’s leading oil marketer, KenolKobil now operates in Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi and recently started operations in Burundi. Mr Mosha has since expanded his fleet and operations to all the five East African Community countries. His fleet has grown from the initial five to over 70 all serving KenolKobil.

The oil company has been more than a business partner to him. For instance, when he needed money to increase his fleet from 30 to 50 vehicles in order to serve KenolKobil’s Rwanda and Burundi operations, the oil firm offered Delina the guarantee it needed to secure a loan from one of the regional banks. “Few, if any, companies can give you this kind of support. KenolKobil has really uplifted me.”

Delina operates in a sector characterized by many vices. Drivers sometimes pilferage fuel and mix with other Kerosene to make up for the stolen product. In addition, freak accidents leading to spillage have dented the image of some of players and in some cases with fatal consequences. A tanker for instance overturned along Kenya’s Nakuru-Eldoret highway. Many members of the public who rushed to scoop the fuel died after the tanker exploded.

But Delina’s trucks have not been involved in such vices. On the contrary, his safety standards have kept him as one of the leading KenolKobil transporters. Delina has taken several measures to ensure safe and efficient delivery of oil products. Before recruiting a driver, Delina conducts a background check to ascertain their character. Once hired, they are “trained and well taken care of”. There is a monthly bonus for drivers who meet their targets and timelines. There are over 90 drivers working in the firm. “We also maintain friendly working relations and they have direct access to me,” he says.

To avoid accidents, theft and guarantee safety of the vehicles and drivers, Delina has one golden rule: no vehicle travels after 6 p.m. “We get an alert in case a driver violates the provision and immediately get in touch with the them to find out why they are still on the road.” The vehicles are also fitted with GPS tracking sytems that show the location of the vehicle and notify Delina if product are being interfered with.

Like many firms, Delina also faces a number of challenges. Axle load limits in East Africa are for instance a logistical nightmare. The trucks pay different rates when passing each of the country’s weighbridges. “East African countries should harmonize the charges and axle load limits.” Roads, especially on the Kenyan side of the border are in a bad condition although “the situation is improving”, he says.

Mr Mosha, 38, was born into “a family of business people”. But he opted for an engineering course at “Dar Technical” and later worked as a cargo officer. It was during this time that he developed an interest in transport and bought his first lorry. Since he was still in his ‘20s, few people entrusted the young man with big contracts and he was hired either as a sub-contractor or to complement other larger companies. “This is why I am grateful to KenolKobil. They looked at my potential not my age before supporting my business,” says the tall, light complexioned entrepreneur who is married with three kids.

But courtesy of his hardwork and Kenol Kobil’s assistance, Delina is expanding beyond transport. He is already building two hotels in Tanzania, owns a car hire firm, a crane company and several other enterprises. “To succeed in business you must be very passionate and hardworking,” he says before adding, “of course it helps to have a partner like KenolKobil.”

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
thanks for the info nice..
 
Huyu jamaa si lolote wala si chochote.....ukitaka kujua kuwa ni boya nenda kwake....kajengewa nyumba kwenye kiwanja ambacho hata Gaden hawezi tengeneza..maisha ya huyu jamaa hana tofauti na watu waishio Manzese.....ukimtembelea kwake mpaka mkae seblen....hawez kuchoma nyama nje,hawezi kukaa nje ili angalau apunge upepo,kiwanja kwisha kabisa hana tofauti kabisa na wakazi wa Manzese...ana katoto pale kadogo hakuna sehem hata ya mpira.......sa kama kweli ni Milionea mwenye uwezo wake kwa nini aishi kwa shida wakati ni tajiri mwenye magari ya kifahari......??kwa nini aishi maisha ambayo ni sawa na wakazi wa kwa MTOGOLE.....?? Ni mshamba mwenye kutaka sifa na ndio maana anapenda kila afanyalo anataka wana Jf tufaham....anatumia gharama kubwa sana kujitangaza kuwa yeye bilionea lakin ng'oooo hata weza kwan tumjuao zaid ni wana JF kwan ndio tupitao kwenye kurasa hizi......zuruma balaa ukifanya kaz kwake....lugha zake ni matusi ma kutisha kukufunga....yaaani kwa ujumla ni mtu ambae Mwenyezi Mungu kamnyima hekima na busara....atakuwa kafugwa na kigogo mmoja ambae hataki kujulikana na hicho ndicho kinamfanya ajitangaze sana......na kama angekuwa na uwezo angeweza hata kutangaza nguo zake za ndan.....ukweli jamaa ni mshamba sana......!!

Duuuuh!!! Toooo personal..na Unafiki uliotukuka.......Awe bilionea asiwe awe Frontman asiwe. Mtoto wa kiume huwezi andika upuuzi kama huu. ukienda kwake si ajabu unajichekelesha mwenyewe anajua ana rafiki wa maana:bump2:
 
Baharesa au mzee Mengi au Mzee Subashu Patel au wengine wengi wenye pesa kuliko huyo bwana enu na wao wangetangaza mali zao kama huyo Mshamba si kurasa zote za JF zingejaa......mwelezeni nyie wake zake mnaotetea ujinga na upuuzi kusifia Ushamba wa mjinga mmoja kuwa asijitangaze mwenyewe....yeye afanye vitu vyake kama hao wazee au vijana kama akila Joseph Kusaga ambao hawajitangazi bali mambo yao na vitu wafanyavyo vinawatangaza Bongo nzima......sa leo huyo ---- wenu ni nan anamfaham kama si humu humu JF......?? Wangapi wanatumia mtandao,au wangapi wanaouwezo wa kuingia kwenye net......?? Leo hii hata ukiuliza pale pale jiraz watoto hawamfaham.....USHAMBA HUO.....unatangaza Gar......?? Tangaza viwanda,majumba,vitu ambavyo hata kutu haiwezi vitafuna.....GAR...??KUTU inakula na kumaliza kabisa.....usilete tena USHAMBA WAKO HUMU JF.....tangaza kwa njia zako kuwajulisha wake zako kila ununuacho hata nguo za ndan.....JF iache kabisa......??
 
Back
Top Bottom