Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
63,422
Reaction score
96,550
DAVIS 2.jpg
DAVIS 23.jpg
DAVIS 3.jpg
 
lakini nasikia huyu jamaa ni mmoja ya wanaosababisha vijana wetu kufungwa nje ya nchi. ni mshirika mkubwa wa riz na riz aliingia kichwa kichwa akashikwa china.
 
Hivi yule ndugu yake kwa jina la Chale alikuwa ga mwehu flan hivi ashapona???Huyu jamaa sijui yupo nyuma ya kigogo gani?
 
Mpambe wa Riz1,utajiri ameupata mara baada tuu ya JK kuingia madarakani,ukimuuliza amepataje utajiri huo atakuambia malori ya kusafirsha mafuta wakati wapo akina KUGI's miaka nenda rudi wanafanya biashara hiyo hawajakua na pesa hizo.Na ni kawaida ya mtu anayepata pesa bila jasho ndiyo huchezea hivyo maana hata kuna gari ya mtoto wa Bakheresa aliinunua huyu jamaa.Ila kwa Manji aligonga mwamba na kutimuliwa Yanga
 
DAVIS MOSHA LAMBO.JPG

Waanhe Braaaaaa.
 
sitashangaa nikiambiwa amenunua yatch ya usmanov
 
King Kong III hivi hili limezidi uzuri wa gari la yule mdada wa kihaya ile subaru?? amepimp gari yake sijui KOKUKENDA. jamani ile mashine nimeikubali.................
 
Last edited by a moderator:
ndio nani huyu wakuu?cc wengine tupo vijijini huku hao wa dar hatuwajui.lol
 
Back
Top Bottom