Aende kesho asubuhi! Mitandao itajaa siku hiyoAnanyemelea aendako.
Pumzika kwa amani King Kinya. Ulipokuwa unawachora watawala nilijua tu wasiojulikana lazima wangefanya mambo yao. Nchi hii ukiwa mkosoaji wa serikali maisha yako yatakuwa mafupi sana. Ngoja tu tuenddelee kuwa machawa. Bado tunapenda kuishi.Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi.
Taarifa iliyotolewa Ofisi ya Rasilimali watu MCL imethibitisha kutokea kifo
cha King Kinya aliyehudumu kwa miaka 17 kama mchora katuni wa magazeti yanayochapishwa na kampuni hiyo.
Akizungumza na Mwananchi kaka wa marehemu, Kiondo Mjema, amesema King Kinya alianza kuugua akiwa nyumbani Tabata mwanzoni mwa Julai,2026 hali iliyomfanya kukaa ndani kwa muda kabla ya kupelekwa Morogoro.
Amesema akiwa Morogoro hali yake ilizidi kuwa mbaya na baadaye alipelekwa hospitalini, ambako alilazwa kwa takriban wiki moja kabla ya kuruhusiwa kurejea nyumbani. “Alipotoka hospitali aliambiwa arudi tena kwa ajili ya ufuatiliaji. Juzi alirudi hospitalini baada ya kusumbuliwa na tumbo, kuharisha na kutapika, akapewa dawa na kuruhusiwa kurudi nyumbani,” amesema.
Kwa mujibu wa Kiondo, hali ya marehemu ilizidi kuwa mbaya usiku wa kuamkia jana Septemba 15, 2026, akilalamikia maumivu makali ya tumbo na kichwa pamoja na kutapika na kuharisha, ambapo alifariki dunia.
Kiondo amesema msiba upo Kimara Kona na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa Septemba 18,2026 saa 10 jioni katika makaburi ya Mwananyamala.
View attachment 3672362
Mbona "tulikubaliana" kwamba hatumdai "mama"!?Inakuaje tena?Inasikitisha na kutafakarisha Hali ya uchumi wa huyu mwandishi,alianza kuumwa akiwa Dar kwenye huduma za afya Bora,akaamua kwenda Moro kwenye huduma mbaya za afya
Baadae akafa kwa kuharisha na kutapika
😭😭😭
Hakuna aliyekataa siku yake ilifika elewa hoja ya msingi ni kwenda kupambania afya mkoani ambako hakuna huduma bora za afya kama Dar alikoanzia kuugua.Hata kama angepelekwa huko unakokutaka wewe,kama siku imefika,haicheleweshi hata sekunde moja
Kwa katuni hizi, lilikuwa suala la muda tu!
Sahihi kabisa, Kuna mtu namfahamu Ni jamii ya masai aliugua mda mrefu akawa analala tu akipatiwa matibabu MNH mwisho wa siku wakampeleka kutibiwa kienyeji umasaini hali ilivyozidi kuwa mbaya wenyewe wakamrudisha tena MNH lkn baadae akafariki, tabia za kuingiza imani za kurogwa huwa zinatokea kwa ndugu pale wanapoona ndugu yao haponi na matibabu anapata.Kwa akili zetu waswahili, huenda nduguze walimpeleka Moro wakiamini kafanyiziwa aidha kwa sumu au kurogwa, hivyo brake ya kwanza ikawa kwa 'mtaalam'.
Baadaye hali ilivyozidi na 'mtaalam' wa kuchorwa akiwa hasaidii chochote anarukaruka tu ndipo wakakumbuka kutoka na kumkimbiza hospitalini. Ndio maana kwenye taarifa kuna hii statement.... "akiwa Morogoro hali yake ilizidi kuwa mbaya na baadaye alipelekwa hospitalini,"
Na kwakuwa hali imekuwa serious na Dar ni mbali ikabidi wakimbilie hapohapo kwa hospitali iliyo karibu tu.
Nimeona wengi wakiwapoteza wapendwa wao kwa kuanzia kukimbilia kwa waganga wa kienyeji na baadaye kustuka kwenda hospitali ikiwa tayari ni too late.
"My his soul" = May his soulMy his soul rest in eternal peace.
Jina lake halisi ndiyo hilohilo la King Kinya?Mfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi.
Taarifa iliyotolewa Ofisi ya Rasilimali watu MCL imethibitisha kutokea kifo
cha King Kinya aliyehudumu kwa miaka 17 kama mchora katuni wa magazeti yanayochapishwa na kampuni hiyo.
Akizungumza na Mwananchi kaka wa marehemu, Kiondo Mjema, amesema King Kinya alianza kuugua akiwa nyumbani Tabata mwanzoni mwa Julai,2026 hali iliyomfanya kukaa ndani kwa muda kabla ya kupelekwa Morogoro.
Amesema akiwa Morogoro hali yake ilizidi kuwa mbaya na baadaye alipelekwa hospitalini, ambako alilazwa kwa takriban wiki moja kabla ya kuruhusiwa kurejea nyumbani. “Alipotoka hospitali aliambiwa arudi tena kwa ajili ya ufuatiliaji. Juzi alirudi hospitalini baada ya kusumbuliwa na tumbo, kuharisha na kutapika, akapewa dawa na kuruhusiwa kurudi nyumbani,” amesema.
Kwa mujibu wa Kiondo, hali ya marehemu ilizidi kuwa mbaya usiku wa kuamkia jana Septemba 15, 2026, akilalamikia maumivu makali ya tumbo na kichwa pamoja na kutapika na kuharisha, ambapo alifariki dunia.
Kiondo amesema msiba upo Kimara Kona na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa Septemba 18,2026 saa 10 jioni katika makaburi ya Mwananyamala.
View attachment 3672362
ukute miccm ndio imemuuaMfanyakazi wa Idara ya Habari ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Kinyagulo Tuzo, maarufu King Kinya, amefariki dunia leo, Septemba 17, 2026 baada ya kuugua kwa kipindi kifupi.
Taarifa iliyotolewa Ofisi ya Rasilimali watu MCL imethibitisha kutokea kifo
cha King Kinya aliyehudumu kwa miaka 17 kama mchora katuni wa magazeti yanayochapishwa na kampuni hiyo.
Akizungumza na Mwananchi kaka wa marehemu, Kiondo Mjema, amesema King Kinya alianza kuugua akiwa nyumbani Tabata mwanzoni mwa Julai,2026 hali iliyomfanya kukaa ndani kwa muda kabla ya kupelekwa Morogoro.
Amesema akiwa Morogoro hali yake ilizidi kuwa mbaya na baadaye alipelekwa hospitalini, ambako alilazwa kwa takriban wiki moja kabla ya kuruhusiwa kurejea nyumbani. “Alipotoka hospitali aliambiwa arudi tena kwa ajili ya ufuatiliaji. Juzi alirudi hospitalini baada ya kusumbuliwa na tumbo, kuharisha na kutapika, akapewa dawa na kuruhusiwa kurudi nyumbani,” amesema.
Kwa mujibu wa Kiondo, hali ya marehemu ilizidi kuwa mbaya usiku wa kuamkia jana Septemba 15, 2026, akilalamikia maumivu makali ya tumbo na kichwa pamoja na kutapika na kuharisha, ambapo alifariki dunia.
Kiondo amesema msiba upo Kimara Kona na mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa Septemba 18,2026 saa 10 jioni katika makaburi ya Mwananyamala.
View attachment 3672362
Pole yao sana wafiwa...
Una insight nzuri lakini inaenda kinyume na logic.Kwahiyo wanao ugua Dar wote hua wanapona kwa vile kuna huduma bora za kimatibabu?
Kwahiyo wanaougua nje ya Dar,wote hua wanakufa kwa vile hakuna huduma bora za kimatibabu?
Kuna watu husafirishwa mpaka India kwenye matibabu bora zaidi,ila hua wanafia huko,kuna wagonjwa hupelekwa kutibiwa Europe na US ila hufia huko huko.
Umetoka nje ya uhalisia na kuchagua kutoa mfano ambao utasupport ulicho kisema,hapa wala hatujaongelea issue ya Wilaya wala Kijiji,tumeongelea Hospitali nje ya Dar,ndio maana nimekwambia kua umetoa mifano ambayo utaona ina support ulichokisema,Una insight nzuri lakini inaenda kinyume na logic.
Mfano kijijini kwenu kuna mgonjwa wa kansa hospitali ya wilaya ya kijiji chenu ikampa rufaa aende Mhimbili kwa matibabu zaidi.
Kama kaamua kula miti shamba na kukataa matibabu ya hospitali,hiyo ndio justification ya kuona kua Hospitali nje ya Dar hazina matibabu bora? umechagua kutoa mfano wa Cancer coz unajua Hosp kuu ipo Dar,mgonjwa kukataa matibabu na kwenda kwa waganga wa kienyeji ndio ina maanisha kua,Hospitals bora zipo Dar peke yake? issue ya kwenda kwa mganga wa kienyeji inahusiana vipi na ubora wa matibabu ya Hospitali?Mhimbili wakahandle sehemu yao kisha wakamuambia mgonjwa kwa palipobaki inabidi aanze tiba ya mionzi Ocean Road.
Huyu mgonjwa anasema mionzi itamuua bora akale mitishamba.
Sasa hapa hili ni tatizo la mgonjwa kukataa matibabu au Hospitali kutokua na matibabu bora?Anarudi kijijini kwenu. Kisha anazidiwa, mnamrudisha tena hospitali ya wilaya, ambayo mwanzo kabisa iliona haina uwezo ikatoa rufaa.
Ndio maana nikakwambia kua,mgonjwa anaweza kufia popote pale,hata wanao enda India na Europe hufia huko pia,Mgonjwa anafariki. Mfano wa hii sequence ya matukio inaweza kukupa picha kwanini kumuondoa marehemu Dar haikua jibu sahihi.
Una data zozote za kusupport ulichokisema hapa?Wanaotibiwa Dar wanakufa, lakini wanakua karibu na kila fursa ya kupona kuliko aliyepo Kakonko kwa ugonjwa ule ule.
Sasa kuhudumia wagonjwa wengi inahusiana nini na ubora wa matibabu? hujui kua Dar ina population kubwa? so,hata wagonjwa ni lazima watakua wengi?Kituo cha Afya cha Magomeni Dar kinahudumia wagonjwa wengi kuliko hospitali za wilaya za mikoani.
Cases za namna hiyo ni nyingi mno.Sahihi kabisa, Kuna mtu namfahamu Ni jamii ya masai aliugua mda mrefu akawa analala tu akipatiwa matibabu MNH mwisho wa siku wakampeleka kutibiwa kienyeji umasaini hali ilivyozidi kuwa mbaya wenyewe wakamrudisha tena MNH lkn baadae akafariki, tabia za kuingiza imani za kurogwa huwa zinatokea kwa ndugu pale wanapoona ndugu yao haponi na matibabu anapata.
R. I. P King.