TANZIA Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia

TANZIA Mchora katuni gazeti la Mwananchi, King Kinya afariki dunia

Kuharisha kutaoika kama sio kulishwa kitu,

basi utumbo /tumbo lilisha liwa na vimelea vinavyo fananan na cancer.

Ni maoni tu na sio report kamili ya kitabibu
 
Inasikitisha na kutafakarisha Hali ya uchumi wa huyu mwandishi,alianza kuumwa akiwa Dar kwenye huduma za afya Bora,akaamua kwenda Moro kwenye huduma mbaya za afya

Baadae akafa kwa kuharisha na kutapika

😭😭😭
Kwamba huduma za afya alizopata Morogoro zimeishia kumpa contamination?

RIP
 
Inasikitisha na kutafakarisha Hali ya uchumi wa huyu mwandishi,alianza kuumwa akiwa Dar kwenye huduma za afya Bora,akaamua kwenda Moro kwenye huduma mbaya za afya

Baadae akafa kwa kuharisha na kutapika

😭😭😭
What if alikwenda Morogoro, lakini hakuenda hospitali??

Mengine tuwaachie wanafamilia

Kuchamba kwingi kutoka na m@vi!!
 
Inasikitisha na kutafakarisha Hali ya uchumi wa huyu mwandishi,alianza kuumwa akiwa Dar kwenye huduma za afya Bora,akaamua kwenda Moro kwenye huduma mbaya za afya

Baadae akafa kwa kuharisha na kutapika

😭😭😭
Baba mkwe wangu aliugua huko mkoani akaletwa hapa Dar kwa mabingwa wenye vifaa na gharama za juu,mwisho wake akafa tena kwa uzembe wa hao mabingwa. Maisha ni fumbo.
 
Mungu atusaidie sana na haya maisha ya kuungaunga, yani mtu unauguwa Dar kwenye kila kitu unakwenda kuuguzwa Morogoro, msiba Kimara badala ya Tabata.

Kuna wakati wanaohoji uwepo wa Mungu wana hoja za msingi sana.
Badala ya kumchallenge Mungu wangejikita kwenye kutafuta kumjua alivyo kwa uhalisia wake wangekuwa na Amani timilifu mioyoni mwao!
 
Hata kama angepelekwa huko unakokutaka wewe,kama siku imefika,haicheleweshi hata sekunde moja
Wewe mpaka Leo inaamini eti kifo kinapangwa na Mungu? 😂😂
Hivi Kuna haja ya kuwa na huduma za afya kweli kama mungu ndio anapanga vifo? Kwamba mwanao anaweza kuugua ugonjwa kama kipindupindu, au akapata ajali mbaya na ukamuacha tu na akapona mwenyewe kwa sababu mungu hajapanga?
 
Inasikitisha na kutafakarisha Hali ya uchumi wa huyu mwandishi,alianza kuumwa akiwa Dar kwenye huduma za afya Bora,akaamua kwenda Moro kwenye huduma mbaya za afya

Baadae akafa kwa kuharisha na kutapika

😭😭😭
Kwa akili zetu waswahili, huenda nduguze walimpeleka Moro wakiamini kafanyiziwa aidha kwa sumu au kurogwa, hivyo brake ya kwanza ikawa kwa 'mtaalam'.

Baadaye hali ilivyozidi na 'mtaalam' wa kuchorwa akiwa hasaidii chochote anarukaruka tu ndipo wakakumbuka kutoka na kumkimbiza hospitalini. Ndio maana kwenye taarifa kuna hii statement.... "akiwa Morogoro hali yake ilizidi kuwa mbaya na baadaye alipelekwa hospitalini,"

Na kwakuwa hali imekuwa serious na Dar ni mbali ikabidi wakimbilie hapohapo kwa hospitali iliyo karibu tu.

Nimeona wengi wakiwapoteza wapendwa wao kwa kuanzia kukimbilia kwa waganga wa kienyeji na baadaye kustuka kwenda hospitali ikiwa tayari ni too late.
 
Mtu anaumwa Dar.

Hali inakua mbaya.

Unampeleka Morogoro.

Dar kuna health facilities na kila huduma stahiki ambayo angeweza kuipata.

Ila akapelekwa Morogoro.

Kwa ninavyojua mimi kwenye hizi ishu hapa walijaribu tiba mbadala.

Zikadunda. Wakamrudisha hospital.

Sasa hospitali ya Morogoro na ya Dar hizi ni hospitali mbili tofauti.

Turudi kwa kampuni yake. L

Bima ya mfanyakazi wao wa miaka 17 ilikua inaweza kumpa huduma za ubora gani? Hospitali gani?
 
Kwahiyo wanao ugua Dar wote hua wanapona kwa vile kuna huduma bora za kimatibabu?
Kwahiyo wanaougua nje ya Dar,wote hua wanakufa kwa vile hakuna huduma bora za kimatibabu?

Kuna watu husafirishwa mpaka India kwenye matibabu bora zaidi,ila hua wanafia huko,kuna wagonjwa hupelekwa kutibiwa Europe na US ila hufia huko huko.
 
Back
Top Bottom