Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Tatizo huu uzi unaushabiki ...unataka uwapongeze wafadhili wa ccm.....ambao ni wachina wajiskie vizuri ,waendelee mwaga pesa lumumba
 
Changamoto za maisha ya shule kwa wanafunzi wetu ni nyingi sana,ni vizuri pia kuwapongeza wale waliofanya vizuri na wale amabao wanajiandaa kwa mitihani yao mwaka huu wajiandae wafanye vizuri zaidi.
 
Ungetuletea jumla Ya wachina waliofanya mtihani tuangalie kwa wastani kama wametuzidi watu weusi.na Yeye sio mchina au foreigner wa kwanza kusoma bongo na Siku zote tunawapoteza..na sisi sisi tuna record za kutisha hadi kwenye vyuo Vyao.
 
Mtoa mada, IQ za waafrika. Sio za chini kiasi hicho lkn ni suala la historia. Tume toka mbali lkn pia tumetawaliwa vibaya na watawala kama ccm hivyo lazima tuendelee kuondoka a tuna IQ ndogo.
 
Kama ni mzuri, kwa nini awe wa pili na sio wa kwanza? Halafu kwa nini wa pili anapewa promo ili hali yupo wa kwanza mtoto wa kisukuma?

Je tangu shule zianze, hii ni mara ya ngapi mtu wa asia, ulaya na marekani amekuwa kwenye nafasi hizo? Kwa nini km ni wazuri wasiwe wa kwanza hadi wa 10 wao tu?

Ninachokiona hapa ni ile kujidharau tu na kuona wageni ni safi kuliko wenyeji.
 

Kwa upande mwingine inawezekana uko sahihi na kwa upande wa Tanzania nadhani IQ ya sisi watanzania iko chini sana.Tunapinga kila kitu, Rais akifanya hivi wako wanaopinga huku wengine wakienda mbali zaidi kuwa Magufuli anatumia sera za UKAWA. Sasa kauli za namna hii inaonyesha IQ yetu iko chini mno. Yaani mtu alikuwa anasemwa juzi kuwa ni fisadi lakini amehamia upande mwingine na sasa eti amekuwa mkombozi...
 
kwahilo nawasifu kwa kweli
 
Nilikuwa nahangaika namna ya kumjibu asante umenisemea mkuu.
 
Wabongo wajitahidi tu nao wafanye vizuri zaidi ya hapo.
 
Hii mada imenichanganya sana sijaelewa.
 
tulishalaaniwa toka enzi kwa hiki kinachoendelea sasa ni mwendelezo tu aina haja ya kuumiza kichwa
 
umetoa majibu mazuri sana nadhani hoja yote iliyoletwa imeporomoka kwa kukosa miguu ya kusimamia. mleta mada ni heri angekuja na hoja ya sukari au IQ separately angeeleweka vizuri. lakini siyo kosa lake ni matokeo ya kuwa na IQ ndogo.
 
Upo sawa kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…