HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,880
- 5,879
Kasema ana miaka 16Ana umri gani huyo?it seems like she is bb
Kasema ana miaka 16Ana umri gani huyo?it seems like she is bb
Si kweli, story za mtaani haswa zile za kwenye maeneo karibu na mafundi viatu, haiwezekani mwenye PHD akaweza akashindwa kuongea kingereza halafu mwenye degree moja ya economics tena ya mwaka 1975 akaweza kuongea kwa ufasaha kingereza, Watanzania tunao uwezo wa kuamini habari ya kijinga tukazifanya zikawa ndio za maana na zile zenye mantiki tukaziona ni za kijinga.Ndio, with evidence
16Ana umri gani huyo?it seems like she is bb
Assume wewe ni muandishi wa habari na katika pita pita zako ukakutana na vijana wawili boda boda mmoja mbongo mwenzetu na mwingine mzungu , wote wako bize kuita abiria, yupi kwako atakuwa news?Media na waandishi wa habari naona gumzo limekua mchina kushika nafasi ya pili na kupata B ya kiswahili, mbona mshindi wa kwanza hawamzungumzii au kwa kua yeye si mchina!?
Ulimbukeni huu jaman,mchina anapewa airtime sana kuliko mtanzania
Lo! we ndo bure F9 mwaka gani?Hata Mimi nilipata F 9 Na D moja ya kiingereza
Haha...sawa mkuu!Teh teh..Poa bro..Ntakuwakilisha
Hii shule ina historia nzuri tangu ianzishwe,nimeona video ya huyu dada,anagonga swanglish vizuri hâta kushinda masista do wa tz....hongera zakeView attachment 324142
Mara Nyingi Sana jina linaweza kuwa sababu ya wewe Kupenya ama Kukwama kwenye maisha. Baada ya matokeo ya Kidato cha Nne siku ya Jana Story kubwa ni Mchina aliye pata nafasi ya Pili kitaifa ambaye ni Mchina.
CongCong Wang ambaye amepata A tisa na B Moja Ya Kiswahili anasema Cong Maana yake ni Clever na Wang Maana yake ni King... So Jina lake lina maana Clever Clever King. Katika Mtihani wa Mock mkoa wa Dar alikuwa wa 2.
Alianza kusoma darasa la pili alipomaliza darasa la saba akaamua kuchagua NECTA badala ya Mfumo wa CAMBRIDGE sababu mfumo wa NECTA ni mgumu zaidi.
Kiswahili ni lugha yake ya 4 kujifunza anasikitika kupata B wakati MOCK alipata A.
Kati ya masomo aliyokuwa anafurahia zaidi ni somo la Historia ambalo mwalimu alikuwa anafundisha vizuri sana kama Movie.
Source: Clouds Media Group
Tukupandishie video clip ujionee? Utafanya mjadala ugeuke bure hapa, kuna watu huwa hawaguswi humu na ukimgusa utaitwa Majina yoteSi kweli, story za mtaani haswa zile za kwenye maeneo karibu na mafundi viatu, haiwezekani mwenye PHD akaweza akashindwa kuongea kingereza halafu mwenye degree moja ya economics tena ya mwaka 1975 akaweza kuongea kwa ufasaha kingereza, Watanzania tunao uwezo wa kuamini habari ya kijinga tukazifanya zikawa ndio za maana na zile zenye mantiki tukaziona ni za kijinga.
Dogo langu limepata ZERO kama lako ....kumbe fahari !!!Hata Mimi nilipata F 9 Na D moja ya kiingereza

Hao wanaweza kubadili hata matokeo kisayansi maana hata wamarekani wamekubali.Tuacheni utani wachina ni wagumu sana kuelewa huyo mchina ni genius tu kazaliwa hivyo.. Mimi nimesoma na wachina nchi za nje ni vilaza hatari. Wao wataluburuza tu kwenye Hesabu basi ..
Video clip moja ambayo anaongea na mkandarasi?, mnayo video clip wakati anaidefend PHD yake?. Anazo video clips nyingi sana ambazo nyinyi kwa sababu ni watu one sided hamuwezi kuzionyesha. Nyinyi ndio mnaosema Makonda alimpiga mzee Warioba wakati sio kweli, nyinyi ndio mnaosema Makonda kamfunga kamba za viatu Ridhiwani wakati sio kweli. Nyinyi habari za kipuuzi ndio za maana kwenu, na yale ya maana mnayaona ujinga. Watanzania walipowapiga chini mwaka jana walitazama mbali sana. Hamuwezi mkamtumia Mr Zero kama mtu muhimukwenye kampeni halafu mkastahili kupewa nchi. Jipangeni kwa ajili ya 2020, huu ujinga wa kusema eti rais hajui kingereza upelekeni kwa watoto wa shule ya msingi.Tukupandishie video clip ujionee? Utafanya mjadala ugeuke bure hapa, kuna watu huwa hawaguswi humu na ukimgusa utaitwa Majina yote
Yaaah yupo mkenya aliesoma uingereza aerospace engineering na akawapiga chini wazungu wotee kwa kupata maksi za juu sanaaKusema ni Waafrika wangapi huongoza ni rahisi sana kila mtu anaweza kusema na ndiyo maana nikatoa changamoto kama yupo Mwafrika Diaspora aliongoza huko aliko nchi nzima mtaje, ni rahisi kivivyo tu!
Usibishe wewe, ni kweli kuna walimu wa vyuo vikuu hawako fluent kiingereza,Si kweli, story za mtaani haswa zile za kwenye maeneo karibu na mafundi viatu, haiwezekani mwenye PHD akaweza akashindwa kuongea kingereza halafu mwenye degree moja ya economics tena ya mwaka 1975 akaweza kuongea kwa ufasaha kingereza, Watanzania tunao uwezo wa kuamini habari ya kijinga tukazifanya zikawa ndio za maana na zile zenye mantiki tukaziona ni za kijinga.