Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Wakati tuko bize na huu wa NHC kuna mwingine unaendelea kule DAWASCO (ambao kuna wakati walinipiga mkwara nisianike data za deal nzima ya Privatization yao).
Naam katika hii game ya MICHEZO ya KIFISADI na KIHUNI inaendelea kwenye ajira serikalini, kama tunavyojua ile ya NHC dili lilikuwa linachongwa na mzee LUHANJO wa IKULU, sasa kule DAWASCO main player ni waziri MARK MWANDOSYA
Nyeti ni kuwa Waziri huyu anaendeleza civil war na sasa hiviniongeavyo kuna open conflict kati yake na BODI ya shirika hili la umma ambalo tarehe 25 January, walishortlist six candidates for the post of its CEO.
Habarai zinaendelea kusema kuwa waombaji ilitakiwa wawe wamefayiwa interview mwanzoni mwa February lakini hiz interview zenyewe hazikufanyika kwa sababu tarehe 27 January kwa sababu zisizoeleweka ikaibuka shortlist nyingine yenye majina mapya 7! hivyo zoezi zima likawa kama mazingaombwe na kuwachanganya hao ma candidates na if the anything the whole thing went from farse to confusion!
Naaam, kimbembe chote hiki kilianza paleee bosi wa sasa bwana ALEX KAAYA alipofikia kikomo cha mkataba wake na baada ya hapo bodi ya DAWASCO ikamwandikia MWANDOSYA barua kumwomba aaprove mkataba wa kumwongezea muda wa miaka mingine 4 bwana Kaaya.
Mwandosya akagoma, na akawapiga mikwara bodi kuwa wamwachie yeye kazi ya kumchagua CEO mpya wa DAWASCO. Na kilichomuudh bwana mwandosya ni bodi kumu overule na kuamua kufuata sheria na wakatengeneza short-list yao wao ambayo ilikuwa na 6 candidates.
Kujibu mapigo waziri Mwandosya alitoa amri kwa vijana wake watoe short slit yake na wa Cancel ileeee ya mwanzo ya bodi. So far kinachoendelea kule DAWASCO ni total confusion btn waziri na bodi ambao wanatunishiana misuli na kila mmoja nataka kuonyesha ubosi
Na kwa jinsi mambo yanavyoeendelea tuko njiani kuona NHC deja vu!