Rais Magufuli tusaidie, Luhemeja ameigeuza DAWASCO shamba la bibi

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Mh Rais Magufuli, watanzania tumeona dhamira yako safi iliyoambatana na hatua thabiti kwa vitendo kupambana na mchwa wanaoitafuna Nchi hii bila huruma.

Cha kusikitisha hadi sasa kuna mijitu bado haijasikia wala kuelewa kile unachokisimamia cha kuitafuta Tanzania yenye Neema.

Leo nakutajia mchwa mbaya kabisa ndani ya serikali yako ambaye ni Mhandisi, mwizi anayevaa suti na tai bwana Sprian Luhemeja Afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO.

Hili jipu lina kiburi, dharau na utendaji mbovu lakini linajilinda kwa kutoa rushwa ili liendelee kubaki madarakani pamoja na kuutaka ukatibu mkuu ama uwaziri kwa kijipendekeza kwa wakubwa au hata kuununua. Kuhani wake ni Prof. Maghembe.

Turudi kwenye ufisadi wake:

Kuna kazi pale Serengeti ameipa kampuni ya mtindasi ambaye ni mtu wake wa karibu kwa gharama ya Tshs milioni 420 ambazo hizi fedha walizigawana yeye Luhemeja na Mtindasi. Ikumbukwe mtindasi pia ni mfanyakazi wa DAWASCO hivyo mchakato wa zabuni umekiukwa.

Katapila za Dawasco ni nzima lakini Shirika linakodisha mengine kutoka nje kwa laki Nane (8) na linafanya kazi kwa masaa mawili au matatu ili hela iendelee kuingia kw Luhemeja.

Amekomba mamilioni ya fedha za SACCOSS ya wafanyakazi ambayo kila mfanyakazi anachangia 60 000/- kila mwezi.

Pesa za OPEX zikitumwa vituoni kuna kijana anaitwa Costa anaenda kukusanya 3ml/- na mkurugenzi anapelekewa Milioni moja.

Kuna mtu anaitwa konyaki ambaye ni mkurugenzi wa rasilimali watu (CHRO) amefanya ufisadi wa shilingi milioni 20 akiwa mamlaka ya maji moshi na amekuwa hafiki kazini muda mwingi anafanya mambo yake nje ya dar lakini mkurugenzi Luhemeja amelifumbia macho. Huyu Konyaki baada ya kushirikiana na Luhemeja kupiga sana hela wakiwa wote moshi na ishu kubumburuka luhemeja alipopata utendaji mkuu DAwasco akamfanyia mpango akamhamishia dar kuja kumficha.

Luhemeja Analea wafanyakazi ambao wanafahamika wazi ni wezi wa maji kwa sababu wanagawana kinachopatikana mfano Costa ni mwizi wa maji na baadhi ya kesi zake ziko mahakamani lakini ameajiriwa kwa utashi wa Boss Luhemeja ili kukamilisha ishu zake za Migao ya fedha.

Hii ni part one. Zingine zaja...

Mheshmiwa Rais, Tunakuomba uichunguze DAWASCO tumechoka kwa kweli. Anzia kwa Luhemeja uje kwa waziri wa maji na bodi ya DAWASCO kuna uchafu wa kutisha. Serikali inaibiwa mno.
 
Huyu Luhemeja kafanya kazi nzuri Sana hapo Dawasco, migao ya maji hapa Dar imepungua kwa asilimia kubwa sana, sisi maeneo yetu tulikuwa hatupati hata yale maji ya mgao, jamaa alivyoingia tukaanza kupata maji kwa wiki mara moja na lazima yatoke siku ya Alhamisi.

Kuhusu tuhuma za ufisadi endeleeni kutuhumiana pengine hamkupeana mgao sawa sisi hayo hayatuhusu tunachotaka ni maji walau mara mbili kwa wiki.
 
Dawasco ....nilifikiri linahusika na Dar es salaam tuu.... kila mkoa una shirika lake la maji au nimekosea?
 
Huyu Luhemeja kafanya kazi nzuri Sana hapo Dawasco, migao ya maji hapa Dar imepungua kwa asilimia kubwa sana, sisi maeneo yetu tulikuwa hatupati hata yale maji ya mgao, jamaa alivyoingia tukaanza kupata maji kwa wiki mara moja na lazima yatoke siku ya Alhamisi.

Kuhusu tuhuma za ufisadi endeleeni kutuhumiana pengine hamkupeana mgao sawa sisi hayo hayatuhusu tunachotaka ni maji walau mara mbili kwa wiki.
maji Mara mbili kwa wiki. Aisee .
 
Hayo unayoyasema ameyakuta. Huyu mtu ni jipu baya mno. Nakuhurumia kujisifia kupata maji mara moja kwa wiki. Poor you. Isingekuwa ufisadi wa luhemeja ungepata maji kila siku bila mgao
 
Huu uzi umejaa chuki binafsi.
Namjua Cyprian Luhemeja Binafsi ni Mtu safi. Mengi yananyozungumzwa si ya kweli na muandikaji hata haelewi vizuri anachozungumzia... kwanza Hakuna Dawasco Moshi. Dawasco ni only for Dar es salaam(Parts of) na Pwani(Parts of)
Huyo Mtindasi unayemzungumzia si Mfanyakazi wa Dawasco (Kama Mimi tu) Mimi nilitimuliwa toka enzi za Jackson Midala kwa makosa ya kawaida. Ramadhan Mketo Mtindasi ameshaondoka dawasco alikuwepo zamani ingawa sio sana.
Cyprian ninaemfahamu ambaye amenifundisha mimi kazi ni mtu safi asiyependa rushwa na anayejali sana maslahi ya wafanya kazi wake(toka enzi za block maping amekuwa na tendency ya kupigania maslahi yetu) Kama uliomba kazi ukakataliwa au ulitumbuliwa jipu take it easy, its just the part of it! Mi nimetimuliwa na midala kwa chuki tu binafsi na sijawahi kumchukia wala kumuombea mabaya, nimetafuta kazi kwengine naendelea na maisha... siku zinasogea.
Ijue kwanza dawasco atleast af ndo uongee mambo ya uzushi kitaalam.
 
maji Mara mbili kwa wiki. Aisee .
Mkuu, tunapata mgao mara moja kwa wiki, tunachotaka walau Luhemeja afanye mara mbili kwa wiki. Mwanzoni kabla hajaja, tulikuwa tunanunua kwenye magari, lakini alipoanzisha oparesheni ya kumtua mama ndoo vibaka wote waliokuwa wameficha maji wakatimka mbio kwenda mafichoni.
 
Hayo unayoyasema ameyakuta. Huyu mtu ni jipu baya mno. Nakuhurumia kujisifia kupata maji mara moja kwa wiki. Poor you. Isingekuwa ufisadi wa luhemeja ungepata maji kila siku bila mgao
Hatariii, tutafika tumechoka sana! Ufisadi unaumiza kasi ya maendeleo.
 
Huu uzi umejaa chuki binafsi.
Namjua Cyprian Luhemeja Binafsi ni Mtu safi. Mengi yananyozungumzwa si ya kweli na muandikaji hata haelewi vizuri anachozungumzia... kwanza Hakuna Dawasco Moshi. Dawasco ni only for Dar es salaam(Parts of) na Pwani(Parts of)
Huyo Mtindasi unayemzungumzia si Mfanyakazi wa Dawasco (Kama Mimi tu) Mimi nilitimuliwa toka enzi za Jackson Midala kwa makosa ya kawaida. Ramadhan Mketo Mtindasi ameshaondoka dawasco alikuwepo zamani ingawa sio sana.
Cyprian ninaemfahamu ambaye amenifundisha mimi kazi ni mtu safi asiyependa rushwa na anayejali sana maslahi ya wafanya kazi wake(toka enzi za block maping amekuwa na tendency ya kupigania maslahi yetu) Kama uliomba kazi ukakataliwa au ulitumbuliwa jipu take it easy, its just the part of it! Mi nimetimuliwa na midala kwa chuki tu binafsi na sijawahi kumchukia wala kumuombea mabaya, nimetafuta kazi kwengine naendelea na maisha... siku zinasogea.
Ijue kwanza dawasco atleast af ndo uongee mambo ya uzushi kitaalam.
Haaa haaa njaa mbaya sana. Ulitimuliwa dawasco na bado luhemeja anatetea maslahi yenu?? Jipange vizuri. Usidhani uponpeke yako huko gizani. Unaonekana. Mwambie jamaa yako aache wizi, aache kunyanyasa wafanyakazi.skendo ya moshi huijui kaa chini wenzio waongee
 
Mh Rais Magufuli, watanzania tumeona dhamira yako safi iliyoambatana na hatua thabiti kwa vitendo kupambana na mchwa wanaoitafuna Nchi hii bila huruma.

Cha kusikitisha hadi sasa kuna mijitu bado haijasikia wala kuelewa kile unachokisimamia cha kuitafuta Tanzania yenye Neema.

Leo nakutajia mchwa mbaya kabisa ndani ya serikali yako ambaye ni Mhandisi, mwizi anayevaa suti na tai bwana Sprian Luhemeja Afisa mtendaji mkuu wa DAWASCO.

Hili jipu lina kiburi, dharau na utendaji mbovu lakini linajilinda kwa kutoa rushwa ili liendelee kubaki madarakani pamoja na kuutaka ukatibu mkuu ama uwaziri kwa kijipendekeza kwa wakubwa au hata kuununua. Kuhani wake ni Prof. Maghembe.

Turudi kwenye ufisadi wake:

Kuna kazi pale Serengeti ameipa kampuni ya mtindasi ambaye ni mtu wake wa karibu kwa gharama ya Tshs milioni 420 ambazo hizi fedha walizigawana yeye Luhemeja na Mtindasi. Ikumbukwe mtindasi pia ni mfanyakazi wa DAWASCO hivyo mchakato wa zabuni umekiukwa.

Katapila za Dawasco ni nzima lakini Shirika linakodisha mengine kutoka nje kwa laki Nane (8) na linafanya kazi kwa masaa mawili au matatu ili hela iendelee kuingia kw Luhemeja.

Amekomba mamilioni ya fedha za SACCOSS ya wafanyakazi ambayo kila mfanyakazi anachangia 60 000/- kila mwezi.

Pesa za OPEX zikitumwa vituoni kuna kijana anaitwa Costa anaenda kukusanya 3ml/- na mkurugenzi anapelekewa Milioni moja.

Kuna mtu anaitwa konyaki ambaye ni mkurugenzi wa rasilimali watu (CHRO) amefanya ufisadi wa shilingi milioni 20 akiwa mamlaka ya maji moshi na amekuwa hafiki kazini muda mwingi anafanya mambo yake nje ya dar lakini mkurugenzi Luhemeja amelifumbia macho. Huyu Konyaki baada ya kushirikiana na Luhemeja kupiga sana hela wakiwa wote moshi na ishu kubumburuka luhemeja alipopata utendaji mkuu DAwasco akamfanyia mpango akamhamishia dar kuja kumficha.

Luhemeja Analea wafanyakazi ambao wanafahamika wazi ni wezi wa maji kwa sababu wanagawana kinachopatikana mfano Costa ni mwizi wa maji na baadhi ya kesi zake ziko mahakamani lakini ameajiriwa kwa utashi wa Boss Luhemeja ili kukamilisha ishu zake za Migao ya fedha.

Hii ni part one. Zingine zaja...

Mheshmiwa Rais, Tunakuomba uichunguze DAWASCO tumechoka kwa kweli. Anzia kwa Luhemeja uje kwa waziri wa maji na bodi ya DAWASCO kuna uchafu wa kutisha. Serikali inaibiwa mno.
mkuu, kwani siku hizi serikalini bado sheria ya manunuzi inafanya kazi?? kama tayari nishitue niwakumbushe mabosi wangu hapa kwangu!
 
Back
Top Bottom