Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Belive me, .....hata wao hawawezi kulijibu...... Nadhani pia inategemea na kiu ya mhusika!
Teh labda watakuja kujibu babu
Belive me, .....hata wao hawawezi kulijibu...... Nadhani pia inategemea na kiu ya mhusika!
Mkuu labda niulize walio oa...
Teh teh....
Yaani mie nawaangalia tu.
Laiti wangejua kwamba enzi zetu kazi ya kutafuta mke haikufanywa na watoto.
Unajua enzi zetu hatukuwa na hiki kitu kinaitwa "semina za ndoa" kabla ya kufunga ndoa. Siku hizi kama huna cheti cha kuonyesha umehudhuria semina ya ndoa, ndoa haifungwi.
Mzee mwenzangu umeona hii tofauti??
Kadiri tunavyoenda mbele mambo yanazidi kwenda mrama. Namshukuru Mungu sikuzaliwa enzi hizi.
Teh labda watakuja kujibu babu
Nyie wazee wazinguaji tuu, maana mmetutekeleza, nyie wazee wenu walikuwa wanawapa hizo semina ila nyinyi mmeshindwa kabisa kuweka utaratibu wa kuwarithisha vjana hayo mafunzo
Mwambie akueleze nini maana ya "wife material".
Wife material ni psychological term ililetwa kuwachanganya wanamama into giving up that apple pie. Hakuna wife material, wala vice versa.
Hakuna jibu wala nini....
Mambo ya michepuko ni mtambuka na kizungumkuti....Watoto na vijana hawawezi kutuelewa ila wakikua watajua!!
That's how I can put it!
Hebu tafuta muda upitie thread za MMU za miaka ile halafu uje utueleze kama lawama zako ziko sahihi!
Eti nini?
Kawaulize wazee halafu uje utupatie mrejesho....!
Si mnasemaga kucheat ni nature yenu eti. Kwa hiyo hata mle hadi mvimbiwe majumbani kwenu, mtafika barabarani mtamani juice ya ukwaju tena mwee
hivi unaamini kweli mwanaume ukimtosheleza anaweza kucheat?
Khaa kwani huwa mnatosheka? Mweew
daima Ukiona mtu anathamini Uchungu Wa Bia na Kudharau Utamu wa Juice mwangalie vizuri na katika kiwango cha Mwisho cha Utizamaji... Huwezi kuacha kuogelea kwenye bwawa ulilolijenga kwa Gharama zako kisha kwenda kuogelea kwenye bwawa ambalo hutumiwa hata kwa kunywesha mifugo... Kuweni na Adabu katika hilo
Adabu tunayo sana shemeji. Nyie watu mnatushangazaga hadi basi, mnaachaga assets ndani afu mnaenda kuokota hizo liabilities hadi tunaishia kuwaombea tu
Adabu tunayo sana shemeji. Nyie watu mnatushangazaga hadi basi, mnaachaga assets ndani afu mnaenda kuokota hizo liabilities hadi tunaishia kuwaombea tu
shemeji Ukiona mtu anamuacha binti mrembo na Mtamu kama wewe kisha Anakwenda kupiga mbizi kwenye mto msimbazi basi Huyo atakuwa na Akili ovyo
Kwa hiyo unataka kusema hakuna wanaume waaminifu?