Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,635
- 167,558
Ewaaaaa..... yani ni hawara unayemfanyia Usamaria wema ili naniliu yake isizibe. Sasa hawara kama huyu anapokaba kama Roberto carlos unategemea nini??
Ni kumpiga red card akakae bench asubiri kusajiliwa msimu mwingine