ibra87
R I P
- Jul 22, 2015
- 5,614
- 5,360
Hamuwezi wote tukajitambua siku moja, tunawaombea na wengine wazidi kujitambua
kujitambua sio kwa kuamua kubaki katika kuamini kuliko vitendo.. Mwanamke Mzuri na Muelewa ni YuLe Anayepima kila neno na Kuchukulia kila Tendo kwa Uzito wa juu.. Huwezi kujitambua ikiwa Huna Maamuzi katika muongozo wa Kile Unachokiamini. Lawama kwa sisi Wanaume hazitakwisha kwa kuwa bado mnataka wenyewe kuchezewa