Mchepuko unaolewa

Mchepuko unaolewa

Si mnasemaga kucheat ni nature yenu eti. Kwa hiyo hata mle hadi mvimbiwe majumbani kwenu, mtafika barabarani mtamani juice ya ukwaju tena mwee

Teh teh...sio kila siku unakula mchicha tuu...unakinai. hata kama unashiba na kuvimbiwa lazima utafute flavour tofauti tofauti
 
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....
Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana sana...ni zaidi ya mchepuko kwangu. Hakuwahi kuniharibia home, alikuwa very understanding...we enjoyed each other's company! i dare to say that WE LOVE EACH OTHER!
Kaniambia anataka kuolewa now..na bwana kashampata....ingawaje bado tunapendana ila sina jinsi!Najisikia vibaya sana, but i have to let her go akaanze maisha yake mapya ya familia...I'm sure hata akiwa huko anaweza bado kunipa mzigo kwa jinsi tulivyoshibana...Lakini sitaki hilo litokee, sijui ntalizuiaje?
Nenda salama mama nenda, nafuta namba zako zote na ku block kila kinachokuhusu, nenda salama mama. Chonde chonde mheshimu mumeo, ingawa humpendi kama unavyonipenda mimi...ila sina jinsi i have to let u go!..Sijui kama nichangie harusi ama lah! na nihudhurie ama lah! nisije kulia mbele ya kadamnasi bure....nenda salama mama, i'll always miss you!

Mkuu pole saana, kwa kumpoteza huyo mchepuko wako kipenzi....
Muombee ndoa yake iwe njema na apate kila kitu ndoani asije kukusumbua
Mkuu umeoa? Hivi vyote vizuri ulivyomfanyia mvjepukpo na mkeo unamfanyia?
 
Mwenzako amegundua kufanywa mchepuko siku zote sio dili kaamua kuenda kutengeneza family na wewe ndo uznduke sasa uache michepuko utakuja kumuua mkeo bure kwa VVU
badili tabia from now
 
Duuh kumbe ndo inavokuwaga aiseeh mna kazi sana mlioko kwenye kifungo cha ndoa na mahusiano ya muda mrefu.
Thanks God am sailing on the bachelor's boat yiipiiiii.
Mkuu uta sail daima?
 
Teh teh...sio kila siku unakula mchicha tuu...unakinai. hata kama unashiba na kuvimbiwa lazima utafute flavour tofauti tofauti

Nna uhakika account yako imekua hacked, ikirudishwa utoe taarifa.....
 
Hahaha nacheka kama mazuri. Wanaume wenzio wanaentertain mchepuko na boyfriend wake na wala hawaoni ubaya. Uanaume ni kujikaza, anasemaga eric omondi. Changia harusi na uwalipie honey moon walau nights tatu.
 
Sijui kwanini tuu, yani mchepuko anakupa sifa zaidi ya mke. Hadi unajifeel upo wapi sijui kumbe mchepuko...
Acheni hizo...

Kawaida ya mwizi, anajitahidi akuteke kwa maneno ili akuibie vizuri
 
Yeah I will sail in bachelor's boat for the rest of my life. I don't need a change.

My eyes are wide open all the time am not missing a thing full enjoyment and pleasure....

Tatizo hujui kama unamiss,
Nitakutafutia mbabu japo awe anakufariji kidogo.....siku moja moja....angalau.

Kuna raha...bibi
 
Tatizo hujui kama unamiss,
Nitakutafutia mbabu japo awe anakufariji kidogo.....siku moja moja....angalau.

Kuna raha...bibi
Mdogo wangu, mwanangu, mjukuu wangu wafikiri sijui kinachoendelea..........? na Utu uzima huu nilionao nafahamu na najua kilakitu kinachoendeleana from AM to PM......... Upooo. ...... najua na wao watasoma hapa hivo hamna haja ya kuwaambia.
Life is to live the moment son, and am living. Am not waiting or searching for kind of life ndo nianze kuishi. I flow with the flow......... you are the ones who are missing a lot ...... yaani hamjui tuu na nikiwafahamisha naogopa mtazamisha boti langu buree let me keep on sailing Kasie mie.
 
Back
Top Bottom