Mchepuko unaolewa

Mchepuko unaolewa

I'm serious Chief. Mifano hai pia iko mingi sana. Tuna different tastes, qualities, upbringing, mazingira, maadili. The so called wife material kwa A, anaweza kuwa smash or even pass kwa B, and vice versa.

Mnenguaji anaweza kuwa na vigezo navyovihitaji kwa mke, zaidi ya muimbaji wa injili.

Unakubaliana na mimi kwamba kuna maneno yanatumiwa na watu na huwa kuna hali fulani ya makubaliano ya kinadharia na maudhui?

Mfano; je, mwanamke mzuri, ni mzuri kwa kila mtu? Ila hujasikia watu wengi tu wakisema kuwa Binti fulani ni mzuri sana?

Vile vile nadharia ya wife material. Wazee wetu waliitumia sana na kweli ilifanyakazi!
 
Hahaha dah! That's unfair. Tubaki tu kwenye kuzini kwa vitendo. Hizo nyingine hakuna atakayepona.

Good boy......

Halafu ndiyo maana tunasema kuwa when boys grow up, they turn into men! Kuna mambo wengi wetu tulidhani ni kujiendekeza. Ila ule usemi wa kua uyaone siyo bure mkuu!!

cc Asprin
 
Last edited by a moderator:
Unakubaliana na mimi kwamba kuna maneno yanatumiwa na watu na huwa kuna hali fulani ya makubaliano ya kinadharia na maudhui?

Mfano; je, mwanamke mzuri, ni mzuri kwa kila mtu? Ila hujasikia watu wengi tu wakisema kuwa Binti fulani ni mzuri sana?

Vile vile nadharia ya wife material. Wazee wetu waliitumia sana na kweli ilifanyakazi!
Ndio maana huwa nasema, the fact that everybody is buying it, doesn't make it less ----. And vice versa.

Kwa tafsiri ya wengi (nikiwemo), Kim K na Coco ni hoes, lakini leo hii wako kwenye ndoa zao.

Kwa wengi pia, Flora Mbasha was the definition of wife material. I don't need to stress the rest.

Bottom line is, kila mtu anamfaa mtu. Na sio kila mtu atamfaa kila mtu.
 
Sawa mkuu Sauli.....

The bottom line ni kwamba kuna vitu tunakubaliana kukubaliana, na vingine tunakubaliana kutokubalina...

Maisha yanasonga mbele....tunajenga paa moja, kwa nini kugombania fito??
 
Sawa mkuu Sauli.....

The bottom line ni kwamba kuna vitu tunakubaliana kukubaliana, na vingine tunakubaliana kutokubalina...

Maisha yanasonga mbele....tunajenga paa moja, kwa nini kugombania fito??
Haha Sauli alikuwa mdhambi, Chief.

Fair enough. It's always worth debating with the Old timers. Sometimes we push, so they open up their wisdom more.
 
yaani nyi lazima muendelee kupeana mzigo.....labda ya abadili mawasiliano kabisa
 
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....

Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana sana...ni zaidi ya mchepuko kwangu. Hakuwahi kuniharibia home, alikuwa very understanding...we enjoyed each other's company! i dare to say that WE LOVE EACH OTHER!

Kaniambia anataka kuolewa now..na bwana kashampata....ingawaje bado tunapendana ila sina jinsi!Najisikia vibaya sana, but i have to let her go akaanze maisha yake mapya ya familia....

I'm sure hata akiwa huko anaweza bado kunipa mzigo kwa jinsi tulivyoshibana...Lakini sitaki hilo litokee, sijui ntalizuiaje?Nenda salama mama nenda, nafuta namba zako zote na ku block kila kinachokuhusu, nenda salama mama...

Chonde chonde mheshimu mumeo, ingawa humpendi kama unavyonipenda mimi...ila sina jinsi i have to let u go!..Sijui kama nichangie harusi ama lah! na nihudhurie ama lah! nisije kulia mbele ya kadamnasi bure....nenda salama mama, i'll always miss you!

Inauma sn
 
People do marry for so many other reasons and true love (to me) plays a very small role! I know it might be debatable but I can argue my case with millions of evidence!

cc RRONDO naomba upite hapa haya maneno yaweke akiba ipo siku ntakukumbusha
 
Last edited by a moderator:
Umekubali?

Nakubali kabisa babu
Ndicho huwa nasema hapa,love iwepo sawa ila kuna vitu vingi sana zaidi vinahitajika,six packs wala sura havileti chakula mezani...na hakuna perfection kwenye ndoa kuanzia muonekano mpaka tabia,kama zipo basi ni ndoa chache sana
 
basi ni vizuri kama unamuheshimu lakini heshima pasipo uaminifu ni Kujipa maumivu tu.. Sumbai Mkurugenzi wa Wakamata fursa jf Ongea na Dada Mchungaji

Kwani sisi sio waaminifu au sijakupata vizuri shem?
 
.............................with ocassional waves of crushes! yahooo!

Hahahahahaaa wewe itakuwa kuangalia sana katuni kumekuathiri khaa hahahahahaaaa eti yahooo kuna hii pia..... yahuuuuuu
 
Back
Top Bottom