bodyguard loversingh
Member
- Oct 17, 2015
- 7
- 0
Umefuta kila kitu chake, sema namb yake haipo kichwani
Nakubali kabisa babu
Ndicho huwa nasema hapa,love iwepo sawa ila kuna vitu vingi sana zaidi vinahitajika,six packs wala sura havileti chakula mezani...na hakuna perfection kwenye ndoa kuanzia muonekano mpaka tabia,kama zipo basi ni ndoa chache sana
Brenda hayo maneno nakubaliana nayo 100% ya Dark City. Lakini tafsiri yake sio watu kujirahisisha kwa tamaa za pesa.
shemeji Ukiona mtu anamuacha binti mrembo na Mtamu kama wewe kisha Anakwenda kupiga mbizi kwenye mto msimbazi basi Huyo atakuwa na Akili ovyo
basi ni vizuri kama unamuheshimu lakini heshima pasipo uaminifu ni Kujipa maumivu tu.. Sumbai Mkurugenzi wa Wakamata fursa jf Ongea na Dada Mchungaji
Fulsa ilikuwa disqualifaid...
Nimeokoka nimeachana na fulsa japo nazimis na kuzitamani mno......
My dada Heaven Sent siku hizi huwa tunashirik nae maombi tuu, na kuhimizana kuhus neno la mungu,
Mkuu ibra87 nitake radhi, fulsa nimeacha
Huwezi Kujiondoa Chamani bila Kushirikisha Bodi Ya Wenyeviti.. Hapo Umekiuka Kifungu Cha 28 ibara ya pili kisemacho kiongozi hawezi kujitoa katika Cheo chake bila kushirikisha Wajumbe waliomchagua... Hii Staili Ya Jecha Haikubaliki hapa jf sisi tunakutambua kama kiongozi uliotukuka
Mkuuu,
Nitatangaza rasmi hilo, ila kwa sasa nimejitenga pembeni na ubazaz na kushea....
Nimekuacha wewe , na mito na kaboom
mkuu neno ubazazi kulitumia hapa ni kutukosea Heshima.. Kukamata fursa Sio Ubazazi, ubazazi ni kutafuna karanga za watu huku zako hutaki zitafunwe. Itabidi tuitishe kikao na Tukusimamishe kazi ili upishe Uchunguzi.. Na hili suala ni lazima Hata Dada Mchungaji Heaven Sent Awajibike kwa kuwa katika wachezaji bora wa timu ya wakamata fursa wewe na Peterchoka ndio washambuliaji mahiri na Heaven Sent amechangia wewe kujiondoa
Teh teh....hiyo maana ya ubazazi nimeipenda mno.
Namshukuru dadakipenzi, dada mtumishi Heaven Sent kwa kunileta katika maombi
Kunifanya nizaliwe upya
Teh mimi kazi yangu ni kurudisha kundini wale kondoo waliopoteamkuu neno ubazazi kulitumia hapa ni kutukosea Heshima.. Kukamata fursa Sio Ubazazi, ubazazi ni kutafuna karanga za watu huku zako hutaki zitafunwe. Itabidi tuitishe kikao na Tukusimamishe kazi ili upishe Uchunguzi.. Na hili suala ni lazima Hata Dada Mchungaji Heaven Sent Awajibike kwa kuwa katika wachezaji bora wa timu ya wakamata fursa wewe na Peterchoka ndio washambuliaji mahiri na Heaven Sent amechangia wewe kujiondoa
Amen kaka mtumishiTeh teh....hiyo maana ya ubazazi nimeipenda mno.
Namshukuru dadakipenzi, dada mtumishi Heaven Sent kwa kunileta katika maombi
Kunifanya nizaliwe upya
Aisee kumbe "unahisi" tu kunipenda, huna hata uhakika mwee. Ntakuombea mpendwalakini nahisi kumpenda Dada Mchungaji.. Kusubiri miaka Tisa Miye Sio Jux lazima ni Move On na mtu wa kunisaidia katika hilo ni Heaven Sent
Hivi unaweza ukauambia mchepuko "nampenda mume wangu, kuliko navyokupenda wewe"?
Hahahaa well said. Huyo dafa anampenda sn mme wake mtarajiwa ndo mana anakubali kuolewa naye...mm kama mwanamke huwa inafika kipindi huwez kuendelea kubaki mvhepuko kwa kuwa kuna hamu kubwa ya kuwa mama wa mji anayetambulika na jamii yote na si kuhangaika miaka yooote kujifichaficha.
Yani me huwa Nacheka afu naishia tu kumuhurumia mchepuko. Utamsikia mtu " yani kasema ananipenda mimi kuliko hata mkewe"
wanaume Wengi Hulizwa na Hili suala, Wanaamini Sana Maneno kuliko vitendo pia kumkubali mwanaume huku Ukijua ana mwanamke ni sawa na kukubali kuchezewa.... Siku Mtakayojitambua basi nadhani na Hivi Vilio Vitakwishwa