KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Mchepuko huwa aachwii labda yeye akuache kama anajitambua otherwise kamwe hautokuja kuacha..
Ka we ni me, inamana mke wako ulimkuta bikra?
Mchepuko huwa aachwii labda yeye akuache kama anajitambua otherwise kamwe hautokuja kuacha..
Kuna mambo yanaumiza jamaniii sipati picha bibie getting married na asiempenda.....Mungu niepushe na maumivu ya namna hiii
Imerud account yangu...
Teh teh mchepuko sio dili kumbe
Mdogo wangu, mwanangu, mjukuu wangu wafikiri sijui kinachoendelea..........? na Utu uzima huu nilionao nafahamu na najua kilakitu kinachoendeleana from AM to PM......... Upooo. ...... najua na wao watasoma hapa hivo hamna haja ya kuwaambia.
Life is to live the moment son, and am living. Am not waiting or searching for kind of life ndo nianze kuishi. I flow with the flow......... you are the ones who are missing a lot ...... yaani hamjui tuu na nikiwafahamisha naogopa mtazamisha boti langu buree let me keep on sailing Kasie mie.
Kuvaa tu? Si unaweza kusubiri ukavaa kwa unayemkubali, au unajinunulia mwenyewe unatupia mara kadhaa.
Inategemea hawara na hawara..... kuna mahawara wengine unalazimika kuwauza kwa wadau ili upate sababu ya kuwaacha LOL
Ewaaaaa..... yani ni hawara unayemfanyia Usamaria wema ili naniliu yake isizibe. Sasa hawara kama huyu anapokaba kama Roberto carlos unategemea nini??Ha ha ha huyo ni hawara mzigo
Brenda, Brenda. Why would you get married to a man you don't love? Peer/society pressure?
Hivi we mchuchu, magufuli hajapitia kwenye njia zako?
Brenda, Brenda. Why would you get married to a man you don't love? Peer/society pressure?
Nimekumisi...:A S 12:
Asipite tena hapa ndo passaway ya kwenda home kwake uzuri wake tuu shimo lenyewe huwa halizibi hata aje na pipa hahahahaa basi aaah akiwa babu Asprin maisha yanaendelea club kama kawa.
Babuu shkamoo looh nakuona ushanyanyua bakora leo sio zamu yangu looh heheheheeee ngoja aje mwenye zamu........
Huku kunimiss hakuji bure bure,tanguliza kitu kwanza ndio kunimiss kuje...
Haha hii inamaanisha, either wanaume tuna-fall short, or wanamama wana ndoto zisizo na uhalisia.Where do you get a man of your dream?
Labda uchongeshe kwa fundi viatu. But uzoefu wangu wanandoa wengi waliamua kukamilisha maandiko.
Hivi unaweza ukauambia mchepuko "nampenda mume wangu, kuliko navyokupenda wewe"?[/
NA MWENYEWE ANAAMINI ANAPENDWA KULIKO MUME! MWE!!!
angalia inbox ya PM yako afu urudi hapa.
Wakuu sihitaji kutukanwa maana its too late for that! n its a true story....
Nataka tu ku 'share nanyi my story.. We've dated for more than 4 years, mabonde na milima tumepitia..tumeshibana sana...ni zaidi ya mchepuko kwangu. Hakuwahi kuniharibia home, alikuwa very understanding...we enjoyed each other's company! i dare to say that WE LOVE EACH OTHER!
Kaniambia anataka kuolewa now..na bwana kashampata....ingawaje bado tunapendana ila sina jinsi!Najisikia vibaya sana, but i have to let her go akaanze maisha yake mapya ya familia....
I'm sure hata akiwa huko anaweza bado kunipa mzigo kwa jinsi tulivyoshibana...Lakini sitaki hilo litokee, sijui ntalizuiaje?Nenda salama mama nenda, nafuta namba zako zote na ku block kila kinachokuhusu, nenda salama mama...
Chonde chonde mheshimu mumeo, ingawa humpendi kama unavyonipenda mimi...ila sina jinsi i have to let u go!..Sijui kama nichangie harusi ama lah! na nihudhurie ama lah! nisije kulia mbele ya kadamnasi bure....nenda salama mama, i'll always miss you!