Mchepuko akatalia kwangu. Nifanyaje wadau?

na kuiba anaweza iba aende kusaka njia na hizo pichu etc akaharibu zaidi ndoa, familia. lazima ataiba nguo zao amkomee akiwa hajitambui now.
Upuuzi mtupu afu ukisema utasikia wewe itakuwa kizazi cha single Maza!!

Mwanaume mwenye akili timamu, na uanaume ndani yake atamlaza vipi MTU wa nje Tena mwanamke kwenye nyumba yake,,

Ili Hali anaelewa huyo mwanamke anaweza amua kurudi na kuelezea kila kitu humo ndani ??

Mshenzi sana watu wengine watu wazima hovyo,,

Bure kabisa,, kishoiya huyu afadhali ya nyumbun wanaiingizia serikali mapato!!!
 
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.

Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.

Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.

Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.

Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.

Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.

Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
Kachukue polisi mkuu wape hela watampeleka kituoni na kumwachilia huko
 
Sikia we msenge fanya haraka nenda kituo cha polisi ongea na poti wawili washikishe 40k kila mmoja uwaelekeze waje kwako kufanya arrest mission, wakifika wawazoe nyote wewe na huyo malaya alafu mtaachiwa mbele kwa mbele........
Unakuja nao wanamchukue yeye kama mvamizi na kesi wanafungua na rb unachukua Kwa matumizi ya baadae akileta fujo unamfunga
 
Mkuu kwanza kabisa umevunja sheria no 3, kifungu cha 1, (a) cha katiba yetu wazinzi inabidi uchukuliwe hatua
 
Kuna vijana nje hapo kodi wambebe wamtupie nje, sababu amevunja mkataba mliokubaliana
 
Uzuri wa JF hata kama ni chai watadiscuss na kukoment kama ni uhalisia japo akilin wanajua ni chai
 
Hakuna kitu kinachoshindikana kufanyika Duniani, . Hii inaweza kuwa reference ya tukio kama hili endapo mtu litamkuta wakati ujao.
 
Eti mchepuko ndiomumlete nyumbani kwako na familia? Jinga Hiloooo.....halafu unatuomba ushauri wa ujinga wako
 
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.

Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.

Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.

Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.

Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.

Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.

Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
Unatuomba tukushauri ujinga
 
Chepusha kama NEC na NIDA zilivyokanusha kuwa sio vinyeo vya cable za CCM.
 
Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! [emoji24]
Wee ni fala, unaletaje kimada kwako mkuu na kuishi nae sehemu unapoishi na family yako aisee?! Huoni umem-disrespect mkeo na kumshusha hadhi kwa kumreplace na mchepuko hata kama ni kwa muda you've messed up.. kitendo cha kumuingiza ndani tu unapoishi na kuijua himaya yako it was a big mistake you ever done!
 
Ndoa zinatafutwa kwa nguvu afu unabeep,,mcheps kajishindia mume na familia apo,,vip alitoka au mkeo alimkuta!?
 
Hata mimi juzi tu wife alijichanganya kwenda kwao nikaingiza limchepuko hasimu lake paka na panya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi guts za kuingiza malaya ndani mnapoishi na familia zenu mnato wapi wakuu? Mbona hii kitu ni ushamba sana aisee mnafanya.. kulikua na haja gani sasa kuoa kama una ujasiri wa kuleta mwanamke wa pembeni anakuja ndani ya maisha yako ya ndoa na unakaa nae na analala kitanda unacholala na mkeo, anaoga kwenye bafu lenu na pengine anatumia taulo lenu na kujua mpaka ya uvunguni duuh!
 
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.

Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.

Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.

Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.

Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.

Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.

Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
Mwache aje akutane na nshomile zipigwe atakayeibuka mshindi ndio anabaki au unaonaje?
 
Haupo serious mara 2.
1.Kuleta mchepuko nyumban kwako unapoish na familia.
2.Kukiri amekushinda kumtoa, mletee wahuni wamle jicho uone atakavotoka nduki.
 
Hizi guts za kuingiza malaya ndani mnapoishi na familia zenu mnato wapi wakuu? Mbona hii kitu ni ushamba sana aisee mnafanya.. kulikua na haja gani sasa kuoa kama una ujasiri wa kuleta mwanamke wa pembeni anakuja ndani ya maisha yako ya ndoa na unakaa nae na analala kitanda unacholala na mkeo, anaoga kwenye bafu lenu na pengine anatumia taulo lenu na kujua mpaka ya uvunguni duuh!
Tulia wewe ,usifosi tufanane......tena nasema tuliaaaaaa
 
Back
Top Bottom