ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,467
- 28,908
Comment ya mwaka hii🔥Kwahiyo Mkuu Kitanda unacholalia na Mkeo umekifanya Gest

Pole mwamba,kama uliweza kufanya hivyo haamini kuwa kweli unamke na familia hapo nikama uliamia awe mke pili,hivyo mpangie nyumba yake na uendeelee kuenjoy.Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.
Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.
Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.
Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.
Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.
Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.
Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
Mbona kitu rahisi tu,we muache aje akutane na mkeoMzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.
Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.
Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.
Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.
Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.
Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.
Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
Ilinitokea kama hiyo ila sikuwa na mke,nilienda kituoni nikarudi na difenda wakamchukua kesi ikaishia huko.
Wahuni kama hawa ukiwa nao ni issue ndogo sana hiyo..Huna washikaji Vipande ??
Tafuta kama wa4 waeleze ishu Yako waje hapo home na kuijtambulisha kua wao ni maafisa wanatafuta mtuhumiwa ambae ni yeye (uyo mwanamke ) wammbebe kama alivo kusiwe na mjadala wakamtelekeze uko nje ya mji...
anajua wanapoishi atarudi tuSikia we msenge fanya haraka nenda kituo cha polisi ongea na poti wawili washikishe 40k kila mmoja uwaelekeze waje kwako kufanya arrest mission, wakifika wawazoe nyote wewe na huyo malaya alafu mtaachiwa mbele kwa mbele........
Ninyi ndo mnaofanya wake zenu waje kugombania Mali na mahawara kwa vitu km hivi,,
Umemdharau sana mkeo, Yaani mchepuko anajua kitanda anacholalalia mke mkubwa mbali zaidi atakuwa amefokoonyoa kujua ana vaa nguo zipi ndani mpk nje,,
Nyie ndo wale mnawaanika wake zenu kwa mchepuko
Yupo mmoja aliwahi unguzwa pumbu na mke mdg hvhv na kuja kufa,,
Mtoa huyo punguani mmoja shenzi type!!!!!!
Hata mimi juzi tu wife alijichanganya kwenda kwao nikaingiza limchepuko hasimu lake paka na panya😂😂😂anajua wanapoishi atarudi tu
na akimkosea zaidi aombe asiwe mbaya kuuiza familia yake.. huyo akome na iwe mfano kwenye wenye tabia za kutojiheshimu kama waume
HUYO MWANAMKE NI MPUMBAVU ANAMILIKI UBONGO KAMA WA SAMIA BUSHIRIMzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.
Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.
Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.
Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.
Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.
Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.
Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
akifahamu ndoa kwaheri, kaa ukijua ikusute umemfanyia mkeo dharau kubwa sana sana na haufahi kuwa mumewe. Wanawake jambo hili litamrudia tu one day kuwa tayari. akijua akakaa kimya ujue utakuwa cooked kwa namna hautaweza ifikiria maishani mwako. wewe ni mume tabia mbaya ya kichafu...👿Hata mimi juzi tu wife alijichanganya kwenda kwao nikaingiza limchepuko hasimu lake paka na panya😂😂😂