Mchepuko akatalia kwangu. Nifanyaje wadau?

Mchepuko akatalia kwangu. Nifanyaje wadau?

akifahamu ndoa kwaheri, kaa ukijua ikusute umemfanyia mkeo dharau kubwa sana sana na haufahi kuwa mumewe. Wanawake jambo hili litamrudia tu one day kuwa tayari. akijua akakaa kimya ujue utakuwa cooked kwa namna hautaweza ifikiria maishani mwako. wewe ni mume tabia mbaya ya kichafu...👿
Wewe usinitishe....😀😀😀
 
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.

Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.

Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.

Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.

Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.

Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu na kumpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.

Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah! 😭
Safiri usimwachie matumizi
 
Mzuka wana jf! Hii shida yangu inaweza kuonekana kama maigizo lakini si maigizo ni ukweli kabisa, japo mimi ni mwanaume ila nimefeli kutatua hili tatizo naombeni mawazo mapya.

Mke wangu alisafiri kwenda kwao mwezi uliopita, kuna shida fulani ilimpeleka huko na kupelekea kukaa siku zote hizo, mimi nikaona hii ndio chance acha nilete mchepuko ndani niwe najilia mdogo mdogo wife akikaribia kurudi nitamuondoa.

Kwasababu watoto wote wapo shule na wanakaa board isipokuwa mdogo ambaye alisafiri na mama yake, nilimwambia wife asafiri na house girl mimi nitakuwa nakula hotelini, na kweli wife alikubali kusafiri na house girl na ninavyomjua hata nisingesema angesafiri nae tu.

Basi mi niliingiza ndani mwanamke na nikamuonya asijaribu kutoka nje ya geti maana majirani wasije wakamuona.

Sasa wife amenipigia simu juzi kuwa anataka kurudi nimtumie nauli, na juzi hiyo hiyo nilimwambia yule mchepuko jioni aondoke asije akaniletea balaa, cha ajabu alikataa katu katu akasema yeye tayari ameshafika na haendi kokote, nikajaribu kumuelewesha akakataa, nikamuacha huku kichwani nikijua ananitania huwenda hajataka kuondoka kwa siku hiyo labda ataondoka asubuhi ya siku inayofuata, siku iliyofuata nikamuuliza ataondoka saa ngapi, akaniambia hana mpango wa kuondoka, yeye ameshafika labda nimuue au niite greda lije limng'oe, mwanzoni nilikuwa nacheka kwa majibu yake nachukulia utani na masihara.

Sasa hivi ndio nimegundua kumbe mwanamke huyu hatanii, maana leoD jumatanoo wife ndio ameanza safari ya kutoka kwao Bukoba kuja Dar, na hivi ninavyoongea na nyie wana jf yuko njiani, huyu mwanamke nimemwambia yote nimemuonesha mpaka sms na hata nikiongea na wife anasikia lakini ameshindwa kuwa muelewa na kuondoka, nimetumia mpaka nguvu nimempiga makofi mengi sana, kiukweli nimempiga sana na mpaka ameumuka sura lakini anasema haondoki labda nimuue, najiuliza sijui nimeokota mwanamke wa namna gani, sijui mchawi huyu, inshort nimechanganyikiwa, nimejaribu kumvuta vuta nimtoe nje nimeshindwa, kwanza ameniharibia mlango kisa kuvutana sana kutaka kumtoa nje, nimetumia busara kuongea nae kistaarabu nmpa mpaka pesa akubali lakini amegoma.

Wadau naombeni mnisaidie mawazo mapya, nifanyeje nimtoe ndani huyu mtu. Daah!
Umechelewa kuomba ushauri.ungeomba ushauri kabla ya mkasa.sasa yanakukuta ya mtema kuni.
Maana ya mtema kuni.
Kuna mtu alikuwa akikata kuni msituni.katika kusaka kuni akakutana na bibi kizee ambaye alikuwa anataka kuvuka mto lakini akashindwa,kwa huruma ya yule mtema kuni akajidai mwema akamwambia yule bibi akae mgongoni mwake huyo mtema kuni ili amsaidie kuvuka.Bibi akakubali kupanda mgongoni kwa mtema kuni.alipovuka mto kufika upande wa pili wa mto akamwambia bibi tayari nimekuvusha salama hivyo unaweza kuteremka mgongoni ili uendelee na safari yako ili na mimi nirudi upande nilipokuwa nikikata kuni.Yule bibi hakuelewa somo akakataa kushuka mgongoni mwa mtema kuni.ikawa asubuhi ikawa jioni bibi akagoma.sasa na wewe umekuwa mtema kuni.(mkata kuni) vipi kama ungekuwa umesafiri wewe na mke wako akafanya huo usaliti? Umenunua utumbo usiogope nzi.na paka hajui kama huyo ni mchepuko.pambana
 
Mkuu kama bado hajatoka,, kanunue pilipili kilo 3 hrf zichome Zote ndani! Nipo paleee utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom