Mchengerwa Ashinda Tuzo Ya Mbunge Bora Afrika Na Carribean

Mchengerwa Ashinda Tuzo Ya Mbunge Bora Afrika Na Carribean

Ujinga tu
Kwa lipi alilolifanya Hadi apewe hyo Tuzo

Yawezekana waandaaji wa hzo Tuzo washaona sehemu ya wao kutajirika ni kuwa karibu na watawala wa bongo maana wanapenda sifa sana
 
Ujinga tu
Kwa lipi alilolifanya Hadi apewe hyo Tuzo

Yawezekana waandaaji wa hzo Tuzo washaona sehemu ya wao kutajirika ni kuwa karibu na watawala wa bongo maana wanapenda sifa sana
Kwani yericko nae anakibunda?!
Hii nchi watu walishakata mshipa wa aibu
Namii naandaa Tuzo kuelekea 2030 kuna pesa mingi sana
 
Ushamba tu Tanzania! Pengine Mnigeria mmoja tu anayetaka mipango yake iende, kavumbua (tazama GPT). Tuzo hii imeanzishwa mwaka 2021 na hupewa zaidi wasanii na warembo wa mitindo. Tanzania waishapata Diamond, Harmonize na Nigeria Davido. Ni hao tu! Infact, Zikomo ambayo ni lugha ya Chichewa (Zambia) inayomaanisha 'asante' inalalamikiwa mitandaoni kuwa huenda ni scam. Ni mataifa sita tu ya Afrika ndiyo yanayoshiriki, Zambia, Nigeria, Afrika Kusini, Tanzania, Ghana, Kenya na Malawi.
 

Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025.

Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa niaba yake katika sherehe za ugawaji wa tuzo hizo usiku wa Desemba 17.

Aidha Waziri Mchengerwa amewapongeza waandaji wa Tuzo za Zikomo na amewashukuru wote waliompigia kura huku akisisitiza kuwa ushindi huu sio wake peke yake ni ushindi wa watanzania wote
Source Paza Sauti Media
======================
My take: Vita ya URAIS
Hao watoaji tuzo ni wajinga, mtu huyu aliyevuruga uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024 ndiye anaonekana ni jembe, huu ni upuuzi mkubwa sana.
 
- Cha Muziki wa Dansi-?!
Apigwe na Cha Asubuhi...

Mambo ya C'CM haya wanayajua wao tu!!
 
Mkuu, hivi watu huwa hawana haya? Kweli nimeamini ili uwe tapeli ni lazima uwe na confidence za kufa mtu. Na huko juu kuanzia Samia na waliomzunguka wote wako hivi.
Mkuu ndio wapi hivyo na hapo hivi karibu I ataanza kuitwa Daktari Mchengerwa wanapenda Sana titles..
Nimeona mahala anasoma Open PhD .. nadhani hata heading ya thesis yake haijui wanamuandikia tu
 
Back
Top Bottom