Mchengerwa Ashinda Tuzo Ya Mbunge Bora Afrika Na Carribean

Huenda nimepitwa na mengi, lakini ndiyo nimejua leo uwepo wa hizo tuzo

Naona vita vya Urais mwaka 2030 vimeshika kasi 🙌
Ndio maana yake inaonekana "group admins" wanajipanga hata wakiwa hawana clean sheet
 
Naona timu zinajiandaa kwa 2030

Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kinieleza, Uchaguzi mmoja ukiisha ndiyo maandalizi ya Uchaguzi mwingine unapoanza

Kwahiyo Kuna ambao wanajiandaa na 2030 wengine 2035 na wengine 2040 🙌

Sisi Wakulima tujiandae kwenda kuwapigia kura tu huku tukihaidiwa pembejeo za bure🤪
 
Bila huruma unaletewa pembejeo zilizobadilishwa expire date aka nusu kaputi 🤣
 
Wameangalia vigezo gani kwani?

By the way simuoni kama ni potential contender wa 2030, hata akipata back up ya mother in law, still the man is unpopular in my opinion
 
Naona timu zinajiandaa kwa 2030

Kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kinieleza, Uchaguzi mmoja ukiisha ndiyo maandalizi ya Uchaguzi mwingine unapoanza

Kwahiyo Kuna ambao wanajiandaa na 2030 wengine 2035 na wengine 2040 🙌

Sisi Wakulima tujiandae kwenda kuwapigia kura tu huku tukihaidiwa pembejeo za bure🤪
Hakika
 
Back
Top Bottom