Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Hehehehe mbona huyu kafanana na Yo Yo ama kweli duniani wawili wawili!
Wanaita Kipedo!
au don tachi my shoes..
Yo Yo Tell 'em....
Ha ha ha Nyani ngabu, tattoo ya nyani ngabu umeiweka wapi? mgongoni?
Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....
Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...
au don tachi my shoes..