Mchekini mwanachama mwenzetu (hapa JF) akifanya mavitu yake!!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,639
Kisieni (guess) atakuwa ni nani huyu...wala sio vigumu hivyo...Lol





Yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ha ha..NN,mimi sisemi sana,namuhisi mtu fulani!..wakipatia watu watano nitamtaja na mie ninaemhisi..Mass,kumbe Yo Yo yuko hivyo?Subiri aone uliyomkisia...Nimecheka sana
 
Hehehehe mbona huyu kafanana na Yo Yo ama kweli duniani wawili wawili!

Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....

Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...
 
Ha ha ha Nyani ngabu, tattoo ya nyani ngabu umeiweka wapi? mgongoni? :)
 
Hahahaa.... Raha jipe mwenyewe bana..!!

Nani anasema muziki ni mbaya!!....Nani hatacheza wakati Msondo wakipiga live, au kwa wale wenzangu na mimi, ikiwekwa kanda ya Rozi Muhando mtakaa chini?

Mbona leo imetundikwa thread ya Banza kufariki, watu kibao wakamwaga R.I.P zao?, na mbona ilitundikwa thread ya Msondo vs Sikinde, hata wasiojua Muziki WoS wakachangia kwa kasi?

Mwacheni mwanaJF WETU ajinafasi bana!!
Kwa kujibu swali lako la msingi Bwaba NyaniNgabu, huyo huenda ni mheshimiwa sana Fidel180!
 
Heheheheheheee....sasa unajua kwa nini Yo Yo weekend hii hajaonekana hapa jamvini....

Halafu hebu angalieni hiyo picha ya kwanza....sasa hiyo aliyovaa sijui ni suruali njiwa au sijui ni pensi....mie sijui...

Hii inanikumbusha Kaboka au jamaa yangu alikuwa anataniwa kwamba kavaa kung'utio la mashineni lile linalotowa unga wakati wa kusaga
 
1242569892soljajewls.jpg
 
Aaah, NN, huyo si ni DeAndre Ramone Way? Huyu teeneger ana mahela yake, sijui humu JF aje kutafuta nini sasa wakati yuko busy na music pamoja na recording studio yake huko Batesville, Mississippi !! Nyani acha utani, au ulitaka uwe unawaenjoy watu wanavyowafikiria members wa JF jinsi walivyo? aka Soulja Boy Tell 'Em !!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom