Mchechu, What goes around comes around

Mchechu, What goes around comes around

Inasemekana serikali ya Nyerere ilitaifisha ukumbi.Sasa kuna wahindi pia walitaifishiwa majumba yao badae wakarudishiwa.Iweje huu mjengo wa Mbowe tena mzawa ubakie NHC?
Mi nlisikiaga eti serikali ya Nyerere ilitaifisha jengo fulani la Mbowe enzi hizo.. so baada ya hapo Mwalimu alipoona alifanya utata ndo akafanya compensation Mbowe baba akapewa afanye shughuli zake hapo Bilcanas
 
Lisemwalo lipo.
Kuna tetesi Mchechu ana maslahi binafsi katika hili.[HASHTAG]#Kupalilia[/HASHTAG] kibarua kisiote nyasi.
Tukiacha ushabiki wa kisiasa kutetea kibarua sio kosa, nafikiri wafanyakazi wote tunafanya hivyo mara nyingi tu! kama ni kweli Mchechu ana shinikizo la kisiasa na sababu za msingi zipo sioni namna ambavyo angeeamua vingine.
 
Mi nlisikiaga eti serikali ya Nyerere ilitaifisha jengo fulani la Mbowe enzi hizo.. so baada ya hapo Mwalimu alipoona alifanya utata ndo akafanya compensation Mbowe baba akapewa afanye shughuli zake hapo Bilcanas
Kuna mambo mengi nyumba ya pazia.Si ada ya pango tu kama wanavyodai NHC.
 
Tukiacha ushabiki wa kisiasa kutetea kibarua sio kosa, nafikiri wafanyakazi wote tunafanya hivyo mara nyingi tu! kama ni kweli Mchechu ana shinikizo la kisiasa na sababu za msingi zipo sioni namna ambavyo angeeamua vingine.
Tatizo ni pale taasisi za umma zinapotumika kukihujumu chama cha upinzani.Ni kinyume na katiba.
 
Kama kutimuliwa kwake kuna a political motives behind, then karma itamtake care Mchechu kwa formula ya "what goes around comes " will apply, lakini kama NHC wamemtimua tuu katika normal regular operations za kuwatimua rent defaulters, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki and nothing will come around! .

Pasco
Pasco concern yangu ni timing, nadhani kuna mkono wa wanasiasa katika kumdhalilisha au kumpunguza nguvu kwa kum frustrate

Sina tatizo na hatua hizo, nina wasi wasi na kazi za visasi.
Mchechu atafikiri kama huu ulikuwa wakati muafaka.

Kama kodi imefika bilioni 1 kuna muda mwingi ulipita na shirika halikuathirika, ingalikuwa busara angeangalia jinsi tukio litakavyotafsiriwa

Mchechu 'amenunua' ugomvi atakaoishi nao maisha yake yote, si kwa Mbowe tu bali waliochukizwa na timing yake

Lakini Mchechu huyu si ndiye alihusika na ghorofa iliyoua watu?

Uadilifu ameupata wapi wakati alishirikiana na mkandarasi kuongeza ghorofa kinyume na michoro?

Kwa serikali, kazi ya 'visasi' haisadii kuleta Taifa pamoja.

Hizi ni kazi za umma, kesho anaweza kukalia kiti mwingine tukashauhudia visasa vikubwa zaidi ya kuondolewa mjengoni.
 
Sina cha kukulipa zaidi ya dua tu .
 
Pasco dhamira itakusuta huko mbele! Nguvu yote hiyo kwenda kwa Mbowe ya nini while kuna wengi tu hawajalipa. Sawa it might be kweli hajalipa, lakini ni kweli wanakusanya madeni au kuna mtu wanamlenga. Yanatokeaga huko mashuleni unawapa watu adhabu lakini kuna mlengwa. Ukifika kwa wengine kama ni kiboko unalegeza mkono! Humpigi akaumia! Ukifika kwa mlengwa unakaza mkono mpaka vidonda vinamtoka.
Mkuu Rutakyamirwa, dhamira haitanisuta kwa sababu nimeweka both scenarios za kutimuliwa kwa kukomolewa for political motives na kama ni hili then Karma will take care.

Lakini kama kutimuliwa kwa utaratibu wa kawaida wa NHC kufuatilia madeni yao na sasa ndio ilikuwa imefikia zamu ya MHL, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki kabisa and nothing will happen! .

Ikiwa ndio zamu imefikia hapo, NHC haipaswi kuogopa kutimiza wajibu wake kwa sababu tuu owner wa MHL happens to be a chairman wa a certain political party! .

In Tanzania everything is possible, ila sometimes lazima tujifunze, mtu ukiishi nyumba ya vioo usiwe wa kwanza kutupa mawe kwa wengine! . Hata mimi niliwahi kuwa mtumishi wa umma pale TBC, nilitimuliwa kazi kama mbwa for political motives or reasons ila barua yangu ya kutimuliwa kazi iliandikwa "sum
Pasco concern yangu ni timing, nadhani kuna mkono wa wanasiasa katika kumdhalilisha au kumpunguza nguvu kwa kum frustrate

Sina tatizo na hatua hizo, nina wasi wasi na kazi za visasi.
Mchechu atafikiri kama huu ulikuwa wakati muafaka.

Kama kodi imefika bilioni 1 kuna muda mwingi ulipita na shirika halikuathirika, ingalikuwa busara angeangalia jinsi tukio litakavyotafsiriwa

Mchechu 'amenunua' ugomvi atakaoishi nao maisha yake yote, si kwa Mbowe tu bali waliochukizwa na timing yake

Lakini Mchechu huyu si ndiye alihusika na ghorofa iliyoua watu?

Uadilifu ameupata wapi wakati alishirikiana na mkandarasi kuongeza ghorofa kinyume na michoro?

Kwa serikali, kazi ya 'visasi' haisadii kuleta Taifa pamoja.

Hizi ni kazi za umma, kesho anaweza kukalia kiti mwingine tukashauhudia visasa vikubwa zaidi ya kuondolewa mjengoni.
Mkuu Nguruvi3, nakubaliana na wewe kuwa visasi sio jambo jema, au kukomoa sio jambo zuri, na ndipo hapo justification ya what goes around comes around, lakini kama MHL ni rent defaulter, NHC iko kwenye normal routine ya kuwaondoa hao defaulters kwenye nyumba zao, then, hana sababu ya ku mu evict MHL simply because the owner ni Mwenyekiti wa Chadema!. Sometimes lets give them some benefits of doubt!, mfano Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM, Madabida na Mkewe. waliburuzwa mahakamani kwa utengenezaji wa ARV fake, kesi ile ilikuwa ni kesi ya civil, wakati kutengeneza kitu chochote especial madawa fake, kwa wenzetu ni 1st degree murder by criminal negligence!, thankGod huku kwetu mgonjwa akifa baada ya prescription ya fake madicine, hakuna postmortem yoyote zaidi ya kueleza amekufa kwa huo ugonjwa uliomleta!.

Nilishauri ili NHC isionekane imemuonea Mbowe, then ifanye disclosure ya wadaiwa wake wote ambao ni wadaiwa sugu na kiasi wanachodaiwa ili kuonyesha MHL ndio the top anayedaiwa most, kisha zoezi la eviction liendelee kwa mdaiwa mmoja baada ya mwingine!.

Pasco
 
Hivi Watanzania tutaacha lini ujinga? Siasa zimetupimbaza kiasi cha kutoona makosa ya wakubwa wa vyama vyetu,?

Je, angekuwa mwanaccm ungemtetea hivyohivyo ? Mbona tumekabidhi akili zetu kwa wanasiasa?
Yaani Mkuu kwa Mheshimiwa wanaona hamna makosa kabisa hata angepanda juu ya mti aruke aumie watasema mti unamakosa.....kwanini ulipandwa
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
yaani kodi ya bil moja kwa miaka arobaini na tano haiwezekani hapana hapana atoke tu hata kama hela anayo atoke aende mahakamani ashinde tumlipe lakini katoka basi! hatuna shida nyingine! Hilo jengo wapewe IFM wajenge hostel za wanachuo wao, yeye akejenge danguro lake kinondoni.
 
Kuwa na kesi mahakamani hakumaanishi usitimize wajibu wako wa kuwa mpangaji...
 
Siku zote huwa unajipambanua kuwa una hela wewe jamaa, again juzi tu umeapa kuisupport Chadema chama chako mpaka mwisho wa maisha yako , imetokea M/kitu wako ameshapatwa na mitihani nadhani ungetumia busara kumlipia pango maana anaazirika wakati wewe unamahela na unajua bila ya Mbowe icho chama unachokisapoti hadi mwisho wa uhai wako kitakufa. Onesha uzalendo Mr.Bruce Wayne (Master Bruce)
 
Hivi Watanzania tutaacha lini ujinga? Siasa zimetupimbaza kiasi cha kutoona makosa ya wakubwa wa vyama vyetu,?

Je, angekuwa mwanaccm ungemtetea hivyohivyo ? Mbona tumekabidhi akili zetu kwa wanasiasa?
Mwambie huyo. Wangekuw w kwanza kupond
 
yaani kodi ya bil moja kwa miaka arobaini na tano haiwezekani hapana hapana atoke tu hata kama hela anayo atoke aende mahakamani ashinde tumlipe lakini katoka basi! hatuna shida nyingine! Hilo jengo wapewe IFM wajenge hostel za wanachuo wao, yeye akejenge danguro lake kinondoni.
Tatizo Magufuli kudandia gari kwa mbele hivi tuulize baba yake alitoa mchango gani kwenye uhuru wa nchi baba yake Mbowe alikuwa akitoa fedha yake ya mfukoni kumpeleka Mwalimu Nyerere UN sasa visasi vyake vya kijinga kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom