Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,380
- 16,881
Siku yakitimia nitag kwenye hiyo part 2Tuendelee kuwepo hapahapa Jf .
Siku yakitimia nitag kwenye hiyo part 2Tuendelee kuwepo hapahapa Jf .
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .
Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?
......Tafakari sana mjomba .
CCM inahusikaje NHC na mkurugenzi wake?Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .
Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?
......Tafakari sana mjomba .
Tatizo unachanganya madesa. Soma kwanza uelewe. Kwenye "Hapana" unaweka "Ndiyo"Alipodaiwa Mkono au Sabodo mlikuja humu JF bila nguo..leo baba yenu mnalialia!
Gosh.....Mbowe amepotoka
Unapokuwa mwenyekiti wa chama mbadala kinachotaka kupewa dola unapaswa kuwa safi
Makandokando haya hapaswi kuwa nayo Mbowe
Tutamtetea weeee...lakini it wont make sense.....
Mbowe is already tired...anakoelekea reputation yake mbaya sasa itakiharibu chama au itazidi kukiharibu chama
cc Pasco
una uhakika hajalipa?Nonsense yani mtu anayejidai anatetea maisha ya watu wa chini ndio halipi kodi. kila week anaingiza hela kibao pale arafu anagoma kulipa kodi. no way.
Bila kujali Hiyo tarehe na kadhalika , wewe kwa kutumia akili yako unaona sawa Mtu kukaa ktk pango kwa muda wote Huo bila kulitatua au kwenda mahakamani ni sawa . Yeye mpangaji Kama alikuwa anaona anaonewa kwa njiaoja au nyingine alitakiwa kulipeleka Suala ktk mahakama ya nyumba au Biashara ili kuepusha kuwa evicted na sio kutumia mwa mbili wa siasa kujikinga ktk Suala la kibiashara. Na Kama ni Mtu mwenye akili alitakiwa kuwa a step ahead ya wapinzani wake iwe wa kibiashara au kisiasaKama ungejua kwanini sakata hili limeanza September 1 usingethubutu kuandika ulichoandika , stay tuned .
Umeongea ya maana SANA .....huyo mchechu atalipukiwaaaa soon...Kama ungejua kwanini sakata hili limeanza September 1 usingethubutu kuandika ulichoandika , stay tuned .
Kama ungejua kwanini sakata hili limeanza September 1 usingethubutu kuandika ulichoandika , stay tuned .
Ndo mana hata we wa upinzani unashangilia lkn angekua riz moko ungetetea mno sasa cjui ndo udikteta uchwara wako huo wa akiliAngekua mwana CCM katolewa hivyo vitu wala usingetetea hivyo, ila ndo mahaba ya chama yamekufanya uje umtete mwenyekiti wako
Tushajuta kwa Lowassa,tuliambiwa fisadi kumbe waliyotuambia walikuwa hawajui vizuri.Wengi tunaojadili suala hili hatulijui undani wake vizuri. Tusubiri taarifa rasmi ya Mbowe kwani huenda tukajajutia maoni yetu kwa kuangalia upande mmoja tu.
Hujawahi kuwa na Akili.Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .
Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?
......Tafakari sana mjomba .
Hio dua la kuku!Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .
Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?
......Tafakari sana mjomba .
Kwa sababu ilikuwa siku ya kupatwa. Hivyo wakwepa kulipa kodi nao walipatwa pia.Tena wamesubiri sept mosi kabisa.
Ni aibu kwa chama cha siasa,mbunge,mwenyekiti wa chama cha siasa na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni kutolipa kodi!yeye ni nani asilipe kodi?amepoteza sifa ya ubunge,kiongoz wa kambi ya upinzani na kiongozi wa chama....mfikishie taarifa.naona uko karibu nae na unauchungu zaidi kwa mkwepa kodi...pia ajitathimin kama kweli anafaa kuwa kiongozi!sisi masikini na wafanyakazi tunalipa kodi!mkumbushe kulipa!mkumbushe pia kodi tunazolipa ndo zinanunua dawa hospitalini....zinajenga barabara nk....alipe kodiKama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .