Unaona sasa! Halafu wamefanya zoezi septemba mosi...kana kwamba kuna ujumbe flani wa kisiasa wanataka kutuma.Alafu katika utoaji vyombo hiyo jana (kwa mujibu wa picha) walikuwepo maaskari kama wale wa ffu wakati kwa kawaida huwa linafanya ma madalali na kama ni mbaya zaidi wanatumia mgambo!