Mchechu, What goes around comes around

Mchechu, What goes around comes around

Kama ungejua kwanini sakata hili limeanza September 1 usingethubutu kuandika ulichoandika , stay tuned .
Mimi naomba nikuulize, mbowe hadaiwi? Na kama anadaiwa wewe unaona ni sawa kutokulipa deni? Hata kama hili deni limegeuzwa kisiasa huoni kuwa anayo yaongea majukwaani ni tofauti na anayo yatenda? Hizi siasa mbona zimetawala akili zenu kiasi cha kuwafanya muwaone binadamu kama malaika. Acha kujishushia heshima uliyo nayo kwa kuleta uzi wa kijinga namna hii. Mshauri alipe deni ili tuje kuburudika.
 
Hizi akili za kushikilia zisiponyoke ndo zinaandaliwa mazingira ya kuingia uchumi wa kati.hata kama hizo mali zingekamatwa akiwa katikati ya maandamano still there is no excuse kwa mwenyekiti Taifa kuwa criminal mkwepa kodi.he is in for it .hiyo pesa ndo inapeka madawa kwa yule bibi yako kule kazuramimba yeye amachukua loop hole tu na mafisadi wengine
 
Hivi Watanzania tutaacha lini ujinga? Siasa zimetupimbaza kiasi cha kutoona makosa ya wakubwa wa vyama vyetu,?

Je, angekuwa mwanaccm ungemtetea hivyohivyo ? Mbona tumekabidhi akili zetu kwa wanasiasa?
Anatoa mapovu yotehayo kisa Mbowe ndie raisi wa Chadema,pia ameshasahau Mbowe amewahikukimbilia mahakamani kwa kudaiwa na NSSF,na ni watu wengi tu wanatolewa vitu vyao nje na NHC na hatujasikia mto uzi akilalamika ,yeye anadhani Mbowe hawezi kudaiwa,wanadaiwa walioko kwenye orodhaya Forbes sembuse Mbowe,vijana wa siku hizi akili zao zimekuwa butu kweli wanalala ,wanaamuka wao ni kuwaza siasa tu,kwenye mambo ya maana wao huleta siasa na kusahauakina Mchechu wanayafanya haya yote kwa ajili hata ya faida ya mtoa uzii huu.tuache ujinga.
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .

Unasema na kutetea upuuzi na uwendawazimu. Unaacha kulipa pango unaleta siasa huo ni wendawazimu
 
Ni kweli, hili sio zoezi jipya kwa NHC..ni jambo la kawaida sana. Ila ninachojiuliza ni hiki: kwanini safari hii DG Mchechu aliita vyombo vya habari kutangazia umma kwamba anaenda kufanya hii eviction? Tena akahakikisha siku ya kuondoa hivyo vitu waandishi na macamera yao wapo ili dunia nzima ione mbowe anavyodhalilishwa. Huko nyuma kwa wateja wengine...jambo limefanyika kimya kimya...kati ya NHC na mteja wao....ila kwenye kesi ya mbowe...ma press conference kila dakika. Hii ndio inafanya watu waone fitna za kisiasa kwenye jambo ambalo hua la kawaida tu.
Wewe ndiye msemaji wa mbowe??
 
Hivi
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
kwa nini kia kitu mnaelekeza kwenye siasa? Kwa gwajima mlisema hivi hivi na huyu nae hivyo hivyo. Jamani kipindi cha utapeli kimekwisha ndio maana mzee wa nywele nyeupe anajitahidi kukaa karibu na waridi
 
Mimi naomba nikuulize, mbowe hadaiwi? Na kama anadaiwa wewe unaona ni sawa kutokulipa deni? Hata kama hili deni limegeuzwa kisiasa huoni kuwa anayo yaongea majukwaani ni tofauti na anayo yatenda? Hizi siasa mbona zimetawala akili zenu kiasi cha kuwafanya muwaone binadamu kama malaika. Acha kujishushia heshima uliyo nayo kwa kuleta uzi wa kijinga namna hii. Mshauri alipe deni ili tuje kuburudika.
Mimi naomba nikuulize, mbowe hadaiwi? Na kama anadaiwa wewe unaona ni sawa kutokulipa deni? Hata kama hili deni limegeuzwa kisiasa huoni kuwa anayo yaongea majukwaani ni tofauti na anayo yatenda? Hizi siasa mbona zimetawala akili zenu kiasi cha kuwafanya muwaone binadamu kama malaika. Acha kujishushia heshima uliyo nayo kwa kuleta uzi wa kijinga namna hii. Mshauri alipe deni ili tuje kuburudika.
Cooked things.
 
Mkuu Rutakyamirwa, dhamira haitanisuta kwa sababu nimeweka both scenarios za kutimuliwa kwa kukomolewa for political motives na kama ni hili then Karma will take care.

Lakini kama kutimuliwa kwa utaratibu wa kawaida wa NHC kufuatilia madeni yao na sasa ndio ilikuwa imefikia zamu ya MHL, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki kabisa and nothing will happen! .

Ikiwa ndio zamu imefikia hapo, NHC haipaswi kuogopa kutimiza wajibu wake kwa sababu tuu owner wa MHL happens to be a chairman wa a certain political party! .

In Tanzania everything is possible, ila sometimes lazima tujifunze, mtu ukiishi nyumba ya vioo usiwe wa kwanza kutupa mawe kwa wengine! . Hata mimi niliwahi kuwa mtumishi wa umma pale TBC, nilitimuliwa kazi kama mbwa for political motives or reasons ila barua yangu ya kutimuliwa kazi iliandikwa "sum
Mkuu Nguruvi3, nakubaliana na wewe kuwa visasi sio jambo jema, au kukomoa sio jambo zuri, na ndipo hapo justification ya what goes around comes around, lakini kama MHL ni rent defaulter, NHC iko kwenye normal routine ya kuwaondoa hao defaulters kwenye nyumba zao, then, hana sababu ya ku mu evict MHL simply because the owner ni Mwenyekiti wa Chadema!. Sometimes lets give them some benefits of doubt!, mfano Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa DSM, Madabida na Mkewe. waliburuzwa mahakamani kwa utengenezaji wa ARV fake, kesi ile ilikuwa ni kesi ya civil, wakati kutengeneza kitu chochote especial madawa fake, kwa wenzetu ni 1st degree murder by criminal negligence!, thankGod huku kwetu mgonjwa akifa baada ya prescription ya fake madicine, hakuna postmortem yoyote zaidi ya kueleza amekufa kwa huo ugonjwa uliomleta!.

Nilishauri ili NHC isionekane imemuonea Mbowe, then ifanye disclosure ya wadaiwa wake wote ambao ni wadaiwa sugu na kiasi wanachodaiwa ili kuonyesha MHL ndio the top anayedaiwa most, kisha zoezi la eviction liendelee kwa mdaiwa mmoja baada ya mwingine!.

Pasco
Nakubaliana na wewe, definitely kama ni genuine rent defaulter hakuna anayemtetea. Lakini kama nilivyosema kinachoonekana hapa ni ule mfano wangu wa viboko darasani. Anyway, nadhani kama ana just cause atakwenda mahakamani. Tukiona kimya ujue hajaonewa ingawa yeye amepigwa kiboko mapaka matako yametoka vidonda na wenzake wamerushiwa tu!
 
Kelele nyingi kumbe wakwepa kodi wakubwa.

Mabadiliko mabadiliko kumbe wao ndio wa kwanza kuwaibia wananchi!!!!!

Shame on you Chadema
 
Mimi naomba nikuulize, mbowe hadaiwi? Na kama anadaiwa wewe unaona ni sawa kutokulipa deni? Hata kama hili deni limegeuzwa kisiasa huoni kuwa anayo yaongea majukwaani ni tofauti na anayo yatenda? Hizi siasa mbona zimetawala akili zenu kiasi cha kuwafanya muwaone binadamu kama malaika. Acha kujishushia heshima uliyo nayo kwa kuleta uzi wa kijinga namna hii. Mshauri alipe deni ili tuje kuburudika.
Mkuu Majebere nakushauri uendelee kubaki hapahapa jf , Mungu akupe maisha .
 
Kelele nyingi kumbe wakwepa kodi wakubwa.

Mabadiliko mabadiliko kumbe wao ndio wa kwanza kuwaibia wananchi!!!!!

Shame on you Chadema
Siku si nyingi utakula haya maneno yako .
 
Anatoa mapovu yotehayo kisa Mbowe ndie raisi wa Chadema,pia ameshasahau Mbowe amewahikukimbilia mahakamani kwa kudaiwa na NSSF,na ni watu wengi tu wanatolewa vitu vyao nje na NHC na hatujasikia mto uzi akilalamika ,yeye anadhani Mbowe hawezi kudaiwa,wanadaiwa walioko kwenye orodhaya Forbes sembuse Mbowe,vijana wa siku hizi akili zao zimekuwa butu kweli wanalala ,wanaamuka wao ni kuwaza siasa tu,kwenye mambo ya maana wao huleta siasa na kusahauakina Mchechu wanayafanya haya yote kwa ajili hata ya faida ya mtoa uzii huu.tuache ujinga.
Kikolo ukwasilele ndaga , utwa mbombo ?
 
Dah deni hadi linafika bilioni walikiwa wapi sku zote
 
Ccm ni wazuri sana pale wanapokutumia,ila wakikuchoka utatamani dunia ipasuke ujifuche. Mfano ni Lipumba
 
Nonsense yani mtu anayejidai anatetea maisha ya watu wa chini ndio halipi kodi. kila week anaingiza hela kibao pale arafu anagoma kulipa kodi. no way.
Kuna tofauti Kati yakutokulipa kodi na kutokulipa kodi ya upangaji wa jengo hasa kama ww ndo umekarabati na mkakubaliana kwenye mkataba sasa unaposema hakulipa kodi unaegemea kodi kwa maana kile anachoingiza au kodi ya jengo ambayo Ina mgogoro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom