Mchechu, What goes around comes around

Mchechu, What goes around comes around

Jumuiya ya wazazi ccm chini ya bulembo ilitolewa nje vitu vyake wakalipa wakarud,taasisi za serikali zimeshafanyuwa hivyo Who is mbowe!..kaa mbali na mchechu kawa mchachu deni had lina 1b alikuwa nafanya biashara ya nini bila kulipa pango..!tusione akam viongozi ni malaika na wao wana madudu yao.!na sio busara kila hatua inayochukua serikali dhid ya mwanasiasa ina uhusiano na siasa chafu.!
Ni kweli, hili sio zoezi jipya kwa NHC..ni jambo la kawaida sana. Ila ninachojiuliza ni hiki: kwanini safari hii DG Mchechu aliita vyombo vya habari kutangazia umma kwamba anaenda kufanya hii eviction? Tena akahakikisha siku ya kuondoa hivyo vitu waandishi na macamera yao wapo ili dunia nzima ione mbowe anavyodhalilishwa. Huko nyuma kwa wateja wengine...jambo limefanyika kimya kimya...kati ya NHC na mteja wao....ila kwenye kesi ya mbowe...ma press conference kila dakika. Hii ndio inafanya watu waone fitna za kisiasa kwenye jambo ambalo hua la kawaida tu.
 
Mleta mada ni aina ya wale waliomeza bendera za vyama
 
Lumumba hoyee mumejazana kumjibu kisiasa kesi ikiwa mahakamani kwa nini mchechu amsikilize Lukuvi na Magufuri badala ya mahakama
 
Kama kutimuliwa kwake kuna a political motives behind, then karma itamtake care Mchechu kwa formula ya "what goes around comes " will apply, lakini kama NHC wamemtimua tuu katika normal regular operations za kuwatimua rent defaulters, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki and nothing will come around! .

Pasco
Mchechu kijiji cha jangwani hivi alikipataje njia ya whitesands ajiulize what goes around comes around ataswagwa kama mbwa
 
Kama kutimuliwa kwake kuna a political motives behind, then karma itamtake care Mchechu kwa formula ya "what goes around comes " will apply, lakini kama NHC wamemtimua tuu katika normal regular operations za kuwatimua rent defaulters, then NHC inatimiza wajibu wake kwa haki and nothing will come around! .

Pasco
Pasco dhamira itakusuta huko mbele! Nguvu yote hiyo kwenda kwa Mbowe ya nini while kuna wengi tu hawajalipa. Sawa it might be kweli hajalipa, lakini ni kweli wanakusanya madeni au kuna mtu wanamlenga. Yanatokeaga huko mashuleni unawapa watu adhabu lakini kuna mlengwa. Ukifika kwa wengine kama ni kiboko unalegeza mkono! Humpigi akaumia! Ukifika kwa mlengwa unakaza mkono mpaka vidonda vinamtoka.
 
Absolutely hopeless post.

Yeye asilipe pango kwani yuko juu ya sheria? Sasa kaja na mpya eti ni mali yake. Sijui walinunua Shs ngapi na waliuziwa na nani?
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizihizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa ?

......Tafakari sana mjomba .
Alipodaiwa Mkono au Sabodo mlikuja humu JF bila nguo..leo baba yenu mnalialia!
 
Gosh.....Mbowe amepotoka

Unapokuwa mwenyekiti wa chama mbadala kinachotaka kupewa dola unapaswa kuwa safi

Makandokando haya hapaswi kuwa nayo Mbowe

Tutamtetea weeee...lakini it wont make sense.....

Mbowe is already tired...anakoelekea reputation yake mbaya sasa itakiharibu chama au itazidi kukiharibu chama

cc Pasco
Aliyeko madarakani hana makandokando? Ya kivuko? Nyumba za serikali etc! Muogope Mungu kama una dini
 
Yaani NHC mnaonea sana watu. Mimi nimepanga ofisi nalipa 280,000/= kwa mwezi. Nikapitiliza kutolipa mwezi mmoja, kilichotokea ni kuletewa barua ya kusitisha mkataba na baadaye nikaletewa barua na dalali. Kinyume chake mwingine anakaa miaka kibao bila kulipa kodi mpaka inafikia 1b/= na yupo. Kweli nyie waonevu. Hasa.
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizihizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa ?

......Tafakari sana mjomba .

Kwa hiyo tuseme umetoa laana kwa huyo Mchechu!
 
Ni kweli, hili sio zoezi jipya kwa NHC..ni jambo la kawaida sana. Ila ninachojiuliza ni hiki: kwanini safari hii DG Mchechu aliita vyombo vya habari kutangazia umma kwamba anaenda kufanya hii eviction? Tena akahakikisha siku ya kuondoa hivyo vitu waandishi na macamera yao wapo ili dunia nzima ione mbowe anavyodhalilishwa. Huko nyuma kwa wateja wengine...jambo limefanyika kimya kimya...kati ya NHC na mteja wao....ila kwenye kesi ya mbowe...ma press conference kila dakika. Hii ndio inafanya watu waone fitna za kisiasa kwenye jambo ambalo hua la kawaida tu.
Alafu katika utoaji vyombo hiyo jana (kwa mujibu wa picha) walikuwepo maaskari kama wale wa ffu wakati kwa kawaida huwa linafanya ma madalali na kama ni mbaya zaidi wanatumia mgambo!
 
Pasco dhamira itakusuta huko mbele! Nguvu yote hiyo kwenda kwa Mbowe ya nini while kuna wengi tu hawajalipa. Sawa it might be kweli hajalipa, lakini ni kweli wanakusanya madeni au kuna mtu wanamlenga. Yanatokeaga huko mashuleni unawapa watu adhabu lakini kuna mlengwa. Ukifika kwa wengine kama ni kiboko unalegeza mkono! Humpigi akaumia! Ukifika kwa mlengwa unakaza mkono mpaka vidonda vinamtoka.
Ulitaka waanzie kwa nani?TRA walipomfungia Mkono ilikuwa sawa?..Kinondoni walianza na Sabodo,kwa nini asilipe malimbikizo?
 
Wengi tunaojadili suala hili hatulijui undani wake vizuri. Tusubiri taarifa rasmi ya Mbowe kwani huenda tukajajutia maoni yetu kwa kuangalia upande mmoja tu.
 
Kama kwenye sakata la Mbowe kulikuwa na masuala ya kisheria yanaendelea , halafu ukaamua kufuata mkumbo wa kisiasa ili kulinda kibarua chako NHC , basi ukae ukijua kwamba siku moja miongoni mwa siku hizi hizi zilizoumbwa na Mungu haya yatakurudia .

Mh Mbowe si mwehu kiasi cha kuamua kukaa bure kwenye nyumba hizo , na hili unalijua lakini umeamua kutumika , ngoja nikuulize , kati ya wewe na Ngombare Mwiru au Lowassa ni nani alikuwa Mwanaccm hasa?

......Tafakari sana mjomba .
Mbowe asitake huruma yetu. Kama alikua anadaiwa akalipe na kama kaonewa aende mahakaman
 
Aliyeko madarakani hana makandokando? Ya kivuko? Nyumba za serikali etc! Muogope Mungu kama una dini
kama hiyo ndiyo thinking yako...basi kama wote wana makando kando ..basi hakuna haja ya kumtoa aliyeko madarakani...sasa tumtoe kwa nini? wakati na kina mbowe ni walewale?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom