Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

hayo maswali atayajibu DJ na padri wakiwa mahakamani wakitetewa na tundu aliyepwaya kwa dogo msando

Sasa tunajadili nini? kama hutaki kujenga hoja? mbona matusi unaturushia?

mimi ningetaka ujenge hoja kuthibitisha kile unachokitetea, tuendelee maswali yanakusubiri mtetezi wa Mchange.

quote_icon.png
By adolay

Hatutumii nguvu kubwa ila wewe ndo unakosa kuelewa msimamo wetu

1. Je nikweli Mbowe na Slaa wameuwa Daudi mwangosi? naomba majibu kwahili swali.

2. Unafaham kazi za polisi na mahakama? kama ndiyo naomba ujibu kwa usahihi maswali yafuatayo

a) Mchange anaushahidi amechukuwa hatuagani kuhakikisha haki inatendeka kwa wafiwa na marehem

b) Jeshi la polisi linafanyanini kuchukuwa hatua maana teyari shahidi amejitokeza

3. Uchaguzi wa Igunga mnyika alikuwa Zambia, sio huko Igunga nk

Lakini kwa haya machache tumefundishwa logic, projection na trajectory, tumefudishwa calculus na differential equation,

tumefundishwa falsafa na mambo mengimengi. Lengo nikutufanya tufikirie na kutoa walau majibu sahihi kwa nearest fact.

Tutamwamini vipi Mchange endapo

1. Picha zinaonesha wazi polisi wanamuwa mwangosi?

2. Anapiga kelele majukwaani badala ya kuenda polisi ( anasema hajaenda......tena anasema kapeleka ushahidi......mwiba

hutokea ulipo ingilia...) Je kwa maelezo ya kuparaza na kubabaisha namna hii unawezaje kumwamini mchange?

Tafadhali Tony Gwanco tujadili hoja kwa hoja weka pembeni mbwembwe na kashifa.
 
CDM siyo wendawazimu wa kukurupuka na kuropoka ovyo. Wako makini. Wanafahamu nini wakiseme ama wakionyeshe kwa nani na wakati gani. Principle ni hii:- Jambo sahihi, njia sahihi ya uwasilishaji, mahali sahihi, kwa watu sahihi na muda sahihi. Hii songombingo ya ccm na vibaraka wake, ni dalili inayodhihirisha kwamba kwenye kambi ya ccm kumetaharuki. Kila mtu kachanganyikiwa na anataka kutoka kivyake. Kuanzia mwenyekiti wao, ACT mchepuko wao, wakandarasi wao kina mchange hadi wabeba zege lao kina weston songoro wa jf.

Vinginevyo, subiri utaona.

Na ile video ya bomu la Soweto vipi mbona hatuonyeshwi?
 
Acha uvivu wa kufikiri. miccm mna shida kweli hamtaki watu wawe na uwezo kuhoji na kuuliza linalokwenda ndivyo sivyo. mnataka watu wote wafanane akili kama za kwenu

wewe unaona kipi bora kukaa kimya au kuuliza ujue? kwanza wewe sio moderator mbona una kimbele mbele kama unataka kutaga. swali halikuhusu unadandia. kaa kimya kwa vitu visivyokuhusu vinginevyo utabeba mimba

Mbona mchange amehoji mnataka kumtoa macho kama ulivyo mfanya huyu mbunge wa bunge la katiba last week
 
Attachments

  • 1408271414580.jpg
    1408271414580.jpg
    19.5 KB · Views: 88
Mhe Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia zzk alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing". Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini. Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, zzk, na kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia". Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai! Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!
 
Hutu naye cdm wanshusika

leta majibu basi sio kurukaruka tu mbona hueleweki

quote_icon.png
By adolay

Hatutumii nguvu kubwa ila wewe ndo unakosa kuelewa msimamo wetu

1. Je nikweli Mbowe na Slaa wameuwa Daudi mwangosi? naomba majibu kwahili swali.

2. Unafaham kazi za polisi na mahakama? kama ndiyo naomba ujibu kwa usahihi maswali yafuatayo

a) Mchange anaushahidi amechukuwa hatuagani kuhakikisha haki inatendeka kwa wafiwa na marehem

b) Jeshi la polisi linafanyanini kuchukuwa hatua maana teyari shahidi amejitokeza

3. Uchaguzi wa Igunga mnyika alikuwa Zambia, sio huko Igunga nk

Lakini kwa haya machache tumefundishwa logic, projection na trajectory, tumefudishwa calculus na differential equation,

tumefundishwa falsafa na mambo mengimengi. Lengo nikutufanya tufikirie na kutoa walau majibu sahihi kwa nearest fact.

Tutamwamini vipi Mchange endapo

1. Picha zinaonesha wazi polisi wanamuwa mwangosi?

2. Anapiga kelele majukwaani badala ya kuenda polisi ( anasema hajaenda......tena anasema kapeleka ushahidi......mwiba

hutokea ulipo ingilia...) Je kwa maelezo ya kuparaza na kubabaisha namna hii unawezaje kumwamini mchange?

Tafadhali Tony Gwanco tujadili hoja kwa hoja weka pembeni mbwembwe na kashifa.
 
Kweli Mbowe na Dr Slaa wana kazi nzito. Kuongoza na kuvumilia watu kama Mchange, Mwigamba, Zitto N.K hayitaji moyo!

Kwakuwa walianza na Mungu watamaliza na Mungu!
 
Mhe Slaa alipokuwa akisoma majina ya mafisadi pale Mwembeyanga miaka ile alikuwa sahihi, pia zzk alipotaka kutoa orodha ya walioficha mabilion Uswiss na Kafulila alipotoa "siri" ya Escrow account BOT, wote walikuwa sahihi maana kitendo hicho kwa lugha na taaluma ya wanaoifahamu, huitwa "whistleblowing". Tendo hili haliishii kwa uchumi tu au kufanya na viongozi peke yake, hufanyika pia kwenye siasa, taasisi na hata serikalini. Mchange ni whistle-blower kwa yaliyofanyika cdm, na hata kosa kama Slaa, zzk, na kafulilla hawakuwa na kosa la jinai! "Mwiba hutokea pale pale ulipoingilia". Habari ndiyo hiyoo! Tendo la mchange sio jinai ila ni ushirikiano wake kukomesha jinai! Sheria inayolinda kitendo hichi ipo, wanasheria chimbeni Muone!

Unaweza kuwa sahihi mkuu, iliniamini unachokisema naomaba unijibu maswali yangu kisha tuendelee.

quote_icon.png
By adolay

1. Je nikweli Mbowe na Slaa wameuwa Daudi mwangosi? naomba majibu kwahili swali.

2. Unafaham kazi za polisi na mahakama? kama ndiyo naomba ujibu kwa usahihi maswali yafuatayo

a) Mchange anaushahidi amechukuwa hatuagani kuhakikisha haki inatendeka kwa wafiwa na marehem

b) Jeshi la polisi linafanyanini kuchukuwa hatua maana teyari shahidi amejitokeza

3. Uchaguzi wa Igunga mnyika alikuwa Zambia, sio huko Igunga nk

Lakini kwa haya machache tumefundishwa logic, projection na trajectory, tumefudishwa calculus na differential equation,

tumefundishwa falsafa na mambo mengimengi. Lengo nikutufanya tufikirie na kutoa walau majibu sahihi kwa nearest fact.

Tutamwamini vipi Mchange endapo

1. Picha zinaonesha wazi polisi wanamuwa mwangosi?

2. Anapiga kelele majukwaani badala ya kuenda polisi ( anasema hajaenda......tena anasema kapeleka ushahidi......mwiba

hutokea ulipo ingilia...) Je kwa maelezo ya kuparaza na kubabaisha namna hii unawezaje kumwamini mchange?

leta majibu basi sio kurukaruka tu mbona hueleweki

quote_icon.png
By adolay

Hatutumii nguvu kubwa ila wewe ndo unakosa kuelewa msimamo wetu

1. Je nikweli Mbowe na Slaa wameuwa Daudi mwangosi? naomba majibu kwahili swali.

2. Unafaham kazi za polisi na mahakama? kama ndiyo naomba ujibu kwa usahihi maswali yafuatayo

a) Mchange anaushahidi amechukuwa hatuagani kuhakikisha haki inatendeka kwa wafiwa na marehem

b) Jeshi la polisi linafanyanini kuchukuwa hatua maana teyari shahidi amejitokeza

3. Uchaguzi wa Igunga mnyika alikuwa Zambia, sio huko Igunga nk

Lakini kwa haya machache tumefundishwa logic, projection na trajectory, tumefudishwa calculus na differential equation,

tumefundishwa falsafa na mambo mengimengi. Lengo nikutufanya tufikirie na kutoa walau majibu sahihi kwa nearest fact.

Tutamwamini vipi Mchange endapo

1. Picha zinaonesha wazi polisi wanamuwa mwangosi?

2. Anapiga kelele majukwaani badala ya kuenda polisi ( anasema hajaenda......tena anasema kapeleka ushahidi......mwiba

hutokea ulipo ingilia...) Je kwa maelezo ya kuparaza na kubabaisha namna hii unawezaje kumwamini mchange?

Tafadhali Tony Gwanco tujadili hoja kwa hoja weka pembeni mbwembwe na kashifa.

Familia ya wangwe au jamhuri itashitaki mchage ameonesha njia
 
Attachments

  • 1408272038133.jpg
    1408272038133.jpg
    7.7 KB · Views: 202
Huyo mkuu yupo hapo pekundu.

Taratibu ataelewa kama hataelewa, Taifa la Tanzania linaelekea gizani na huko ndiko tunakoelekezwa.

mjinga huyo achana nae ata kupotezea muda wako kubishana nae.
 
Hata wewe upo kazini

Kama hamjauwa mnaogopa nn.kwa nn mtumie nguvu kubwa kujibu hiyo hoja ya mchage

Pelekeni ushahidi polisi na si kubwabwaja hapa,cdm ndio mpango mzima hivyo mnahangaika bure na hizi siasa zenu nyepesi! Mlianza kwa kuwatumia policcm mkafeli na sasa hawa mamluki wenu watafeli tu! Kwanza huyo pi.mbi wenu alitakiwa awe ameshaitwa police kuthibitisha madai yake na kuchukuliwa hatua za kisheria kama mtuhumiwa kwa kushiriki mauaji na mipango ya kigaidi badala ya kulialia kwenye vyombo vya habari vya ccm
 
kwahiyo ndo unathibitisha kwamba Mbowe na Slaa wanamuwa Mwangosi? kwa picha hizi.

Kama ushahidi hamna, jeuri ya kutetea uovu mnaipata wapi? tushawishi tukubaliene na Machange kwamba Mbowe na Slaa

waliuwa mwangosi.

Ushahidi tutaweka mahakamani we unadhani mchange ni mjinga aseme kitu kizito kama hiking bila ushahidi.he is not fool like what you think

He has data
 
Familia ya wangwe au jamhuri itashitaki mchage ameonesha njia

Sasa mimi nikusaidie tu.

1. Muda si mrefu mchange atageukwa na ccm-Kwa taarifa yako suala la mwangosi limeharibu kazi na mikakati yote ilopangwa

kuwachafuwa chadema. Hili la mwangosi limefanya nakuthibitisha tuhuma zote ni uwongo, propaganda na upotoshaji.

2. Kazi ya polisi imekuwa ngumu kupita maelezo, hawawezi tena kuwashughulikia cdm, maana nani atawaamini iwapo kila mmoja anafaham kilichomuwa mwangosi.......

3. Watanzania wengi nakutoka wavyama mbalimbali kwa taarifa yako kwa huruma tu wataipenda na kujiunga na chadema

yaani kisaklojia wanaona chadema inaonewa- kama huamini subiri hili varangati litakapo fireback hutaamini, ccm itajuta.

4. Huko mtaani Mchange amejimaliza, tena amejitowa kafara maana sio wote wanapenda kuchezewa akili kwa hoja za kupika

muda si murefu au siku chache zijazo utamsikia akilalama kuzomewa na watu nk nk.

Watanzania wa leo sio wa jana, juzi au enzi za mwl, wanatafakali, wanahoji na wanadai haki zao.
 
kwa mtu alie soma psychology haumpi shida kukujua we ni mtu wa aina gani;

1.una umri mdogo

2.bado una elements za uanafunzi

3.kama uko above 25 basi hauko well matured

4.ume athiriwa na maisha ya kijiweni

5.haukupata malezi yaliyo mema kutoka kwa wazazi wako kutokana na sababu nisizo zijua

6.una ubishi wa asili

7.uko addicted na ulevi

8.una msongo wa mawazo

9.una ujanja wa kuiga

10.Una abnormal ya kitu fulani ktk mwili wako.

kati ya haya mambo 10 kuna mahala una fiti na hilo halina ubishi.

very true indeed...
 
Ile CD ya mbowe ya olasiti iko wapi

Kama mnajua mchange karopoka nendeni amshtaki kwa udhalilishaji aje awaumbue

Huoni wenzako wanapitia mbali Huu Uzi hawatii mguu

Tulifika tarime tunasiri nzito kilichotokea

Unajua Hii ishu sio ya kitoto kama unavyosema

R.I.p chacha wangwe kila damu yako haitapotea bure
 
Nakushauri bwana Mchange uende mahakamani, uliyo yaongea yalifaa sana usaidie polisi wakati ule dola ilipokuwa inahangaika kupata ushahidi wa mauaji. Kukaa kimya wakati wote ule wakati unazo data ni ujinga na uuaji mkubwa na zaidi umekosa uzalendo kwa nchi hii. Na kama unatumika ujue huyo aliyekutuma ndie atakumaliza kwani kibano kitakufanya upotezwe maana wanajua wewe si mwaminifu. Ni hayo tu bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom