Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,031
- 74,722
Sina hakika kama huyu Habib Mchange anaweza kuyakumbuka maneno anayoyasema!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Mkuu inatia huruma sana jitu zima kukubali kujitoa ufahamu ili upate mkate wako. Hivi hana shughuli zingine anazoweza kufanya? Mwanzo walipoleta tuhuma zake za kuiba simu nilidhani ni siasa za majitaka,ila baada ya kumfatilia hizi tabia na maneno yake nimeamini ni mtu anayeweza kuiba sii simu tuu bali hata akikuta mihogo ya kuchoma naye ana njaa.
Sent from my iPad using JamiiForums