Kwa lipi
.... Si Imedhihirisha Jins Mbinu Zao Chafu Za Kuichafua Cdm
Kwa lipi
Uzoefu gani tena mkuu wakati Mchange anajibu kuchafuliwa jina lake kuwa alipanga mipango ya kulipua Chopa ya Dr.Slaa, majibu yake ni sawa tu.mchange anakosa uzoefu wa kuongea katika jukwaa kama hilo.
Ila wote wanapiga siasa tu.
MCHANGE MTU WA HOVYO KABISA "at highest level of stupidity"nani hakuona bomu la machozi alilopigwa d.mwangozi kwa karibu na kumtawanyisha ndg yetu
Je Mchange anafaham taratibu? kwanini haendi polisi?
Mwanasiasa kijana Mchange Habib ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu
we yeyo na siasa wapi na wapi?
Huyu mchange ni mpumbavu sana,nina class mate wangu na rafiki yangu wa karibu sana ni askari mpelelezi na alinihakikishia alikiwepo eneo la tukio siku Mwangosi anauwawa...anakiri kilichofanywa na askari mwenzao ni bahati mbaya na jamaa anajutia sana kwani hajui nini kilitokea hadi akafyatua lile bomu,sasa huyu mwehu analeta upuuzi wake
CHADEMA Mtavuka tu haya ni MAPITO. Naona traitors wako kazini kutaka kukivuluga chama,
huyu Mchange ana elimu gani mbona mjingamjinga anashindwa kabisa kujieleza
Taarifa hiyo waliipata lini?Lissu yupo Singida na jana alikuwa akisimamia uchaguzi jimbo la Singida magharibi
Kweli Mchange arudi UDOM kumalizia shule maana anaongea pumba tupu. Anaulizwa kwanini anaitwa msaliti anakwepa swali na kuruka huko na huko na bado anadai Mwangosi hakuuliwa na Michael Kamuhanda na vijana wake bali CDM.
Wanaotuhumiwa ndio wakamatwe au hujui
huyu mchange ana elimu gani mbona mjingamjinga anashindwa kabisa kujieleza
Kamsaidie Mnyika kujibu maswali Tundu Lissu kakata kona.hatimae kada mtiifu wa ccm Habibu Mchange amekili kuwa polisi ccm wanaogopa siasa za chadema..