Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange anasema mnyika katika uchaguzi wa igunga alishiriki kufukia tindikali at the same time Mnyika kamwambia wakati wa uchaguzi huo alikua Zambia kama muangalizi wa uchaguzi chini ya mwamvuli wa SADC.kweli kua mwanasiasa nadhani inatakiwa uwe kichaa.Endeleeni na siasa zenu.
 
Kuweni makini, huyu jamaa Mchange, ana lake. Kama nikutumwa haya kajizatiti kweli. Kwanini aibuke leo na tuhuma hizi nzito wakati tunaelekea uchaguzi mkuu? Kuna kitu hapa? Fungueni macho!

lakini wote ni viongozi wa CHADEMA
am not in a position of critisize any of them but

kama yupo chamani ni wazi kuna mengi anayajua hivyo nadhani la kujiuliza
JE WHY ATOE SIRI ZA CHAMA na sio WHY ANASEMA AYASEMAYO SASA
ila ifike wakati tubuma dhidi ya damu ya mtu iangaliwe kwa umakini

tuache ushabiki wa kisiasa

upande wowote uliohusika kwa tuhuma moja

tutumje aauti yetu kama wanajamiii kushinikiza polisi kuhoji tuhuma hizi pande zote mbili
 
Ni muhimu CCM wakatafakari kwa makini kama waendelee kumtumia Mchange au la. Umeridhika na alivyowawakilisha mkuu?
Nyie ndiyo mlionza kumshambulia kuwa alikuwa anataka kuripua Chopa ya Dr.Slaa amewajibu mnailalamikia CCM.
 
Ritz na Mchange uelewa wenu upo sawa kabisa. Iwapo vijana tulionao ni aina yenu basi tumekwisha. Hatuna Taifa la kesho. Majanga matupu. Ila nawe kama hujamaliza shule urudi ukamalizie masomo maana nameona hapa kuwa Mchange kakimbia UDOM hakumalizia Shahada yake

Hivi mnyika alishamaliziaga digirii yake??
 
Kwa nini star tv hawakuwaita madiwani waliotoa shutuma kwa Mchange, Mwigulu, Masele na wengine? Wamehamisha focus kwenye tuhuma nyingine kwa CDM badala ya kuwapambanisha Mchange na wenzake na Madiwani.

Kwahiyo wewe humuamini Mnyika?
 
Last edited by a moderator:
Unapokuwa na watangazji washenzi kama Evona kamuntu Bado tutakuwa nasafari ndefu kudhibiti upotoshaji na uzushi.

Star Tv kupitia Vilaza kama akina Evona kamuntu nikaburi la dhana kwa jitihada za vyombo vya habari kujinasua na ubabaishaji na propaganda ilikujenga heshima na weledi kwenye vyombo vyetu vya habari

Nasema Evona kamuntu anatumika kwasbabu vipindi vyake vyote ni mtu wa kujikomba na kujifaraguwa akiamini kupta chochote siku moja huko ccm.

Ameingilia mjadala ilikutimiza yale yaliyopangwa na ccm, yaani kumpa muda wa kutosha mropokaji mchange ambaye kwa chombo makini nikama kujiabisha na kujishushia heshima

- kwahili Star tv kupitia Evona inajishushia heshima siku baada ya siku.
Hizo ni fikra zako!
 
lakini wote ni viongozi wa CHADEMA
am not in a position of critisize any of them but

kama yupo chamani ni wazi kuna mengi anayajua hivyo nadhani la kujiuliza
JE WHY ATOE SIRI ZA CHAMA na sio WHY ANASEMA AYASEMAYO SASA
ila ifike wakati tubuma dhidi ya damu ya mtu iangaliwe kwa umakini

tuache ushabiki wa kisiasa

upande wowote uliohusika kwa tuhuma moja

tutumje aauti yetu kama wanajamiii kushinikiza polisi kuhoji tuhuma hizi pande zote mbili

...Tmshinikize Rais aunde tume ya kijaji kuchunguza vifo vyote vilivyotokea katika mikutano na maandamano ya CHADEMA kama CHADEMA wanavyodai kila mauwaji ya aina hiyo yanapotkea. Sijajua kwa nini Rais anaogopa hilo.
 
Mchange anasema mnyika katika uchaguzi wa igunga alishiriki kufukia tindikali at the same time Mnyika kamwambia wakati wa uchaguzi huo alikua Zambia kama muangalizi wa uchaguzi chini ya mwamvuli wa SADC.kweli kua mwanasiasa nadhani inatakiwa uwe kichaa.Endeleeni na siasa zenu.

Mchange hajielewi yule
 
Bila kuegemea upande wowote Star Tv mmechemsha katika kipindi chenu cha leo.watu wanabishana kila mtu anaropoka tu.Labda mbadilike la si ivyo siku watu watatemeana mate hapo studio ndio mtakapotufukuza fans wote.
 
Ritz basi kama umri umesogea kuna kisomo cha watu wazima pia. Chintu anawashauri mtafakari upya iwapo Mchange bado anawafaa CCM kwenye mkakati wa kuidhoofisha Chadema. Ameshindwa kukana vikao vyake na Madiwani 2 waliorudi Chadema. Huenda CCM ilitoa pesa ya kutosha ila Yuda Iskariote (Mchange) akapiga panga kubwa mno na kuwaacha wale Madiwani kwenye mataa.
 
tupesababu kaka

Ndugu yangu ili uitwe kiongozi inakubidi wewe binafsi ujielewe,kama huyu mchange anashindwa kujieleza,kueleza nini amekitolea tuhuma,atamuongozaje mwananchi wa kawaida?huyu jamaa anatoa tuhuma akiambiwa adhibitishe anapandisha jazba.
 
Chadema ina kila sababu ya kuwafurumisha hawa jamaa wenye akili za mwampamba na shonza
 
kATIKA mada yenye kichwa kinachosomeka "MIVUTANO YA BAADHI YA WANASIASA HADHARANI NI KWA MASLAHI YA NANI" inayoendelea STAR TV, katika studio ya TV hiyo katika kituo cha DAR ES SALAAM wageni waalikwa walikuwa ni TUNDU LISSU, HABIB MCHANGE, JOHN MNYIKA NA JOHN HECHE. katika hali isiyo yab Kawaida LISSU, MNYIKA NA heche wote wamekacha na yupo HABIB MCHANGE peke yake na hata walipopigiwa simu hawakutaka kuongea na mwandishi wa habari, JOHN HECHE aliomba atumiwe ujumbe, na alipotumiwa hakujibu chochote.

Hii maana yake nini? wamemuogopa MCHANGE na kwa maana hiyo tuhuma dihidi ya Mchange ni za kughushi?

Usijifanye una Tv peke yako. Waalikwa ni Mchange,v/s Mnyika au Heche. Mnyika mbona yupo. Udaku mwingine nuksi
 
Back
Top Bottom