Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

acha shobo wewe


waliokuwa star tv si viongozi wenu
ni wa CCM au CUF

waliokuwa wanarushiana maneno si viongozi wenu

TUNAWATIZAMA TU

pita mbali nami wewe tomboy

Waache wafu wazikane sisi tunajenga nchi tu
 
Machange anafaakuwa mpuliza vuvuzela wa timu ya yanga wakiwa na yule anaye lianga hafai kuwa mwanasiasa ata mjumbe wa nyumba kumi
 
Mbona muda hauko fair na kwa nini hakuna descipline huyu mchange akiongea anapewa mda mwingi na mnyika ametulia akipewa nafasi mnyika huyu mchange anaingilia ingilia au ndo ngumu kumeza
 
Mpaka sasa Mchange ameongea kwa zaidi ya Dk 20 kaanza saa tatu na anaendelea kuwaga umbea

Kipindi kinaisha saa tatu na nusu

Mnyika ataongea kwa mudagani? Hiyo ndiyo kazi ya Evona Kamuntu

Mkuu hili ni jambo la kumshukuru Mungu. kwani Star tv imezidi kuonyesha ugamba wake
 
Back
Top Bottom