Nimesitika sana kusikia kuwa John Mnyika alishiriki mauaji ya Chacha Wangwe.
Mchange mchange...!!mbona ww ulihongwa na Mbunge wa Kibaha ili ukubali matokeo..ukaenda kujenga nyumba pale kwenu Uyaoni..Kibaha..!!😀😀😕
Mkuu humfahamu Pasco, huyu ni propaganda aliekubuhu wa ccm.Pasco inakuaje mtu kama wewe unaungana na hawa political failures with cheap politics in this stiff political competition? Au these guys are your type?
Mtu ambaye mpaka sasa anafanya kazi ya ccm ni kijana asiyeaminika maana ccm haina maana yeyote sasa zaidi ya kukaba kila ambacho kinaweza msaidia mtanzania.
Mkuu Idawa, kwanza asante angalau kwa kunifagilia, ili na mimi nipewe heshima yangu humu jf kwa kunifahamu Pasco, ni propaganda wa CCM aliekubuhu.Mkuu humfahamu Pasco, huyu ni propaganda aliekubuhu wa ccm.
Mimi nilichoka nae kwenye ishu ya Rwakatale.
Na kikwete akamuachia msamaha wa wafungwa baada ya mwezi mmoja tu gerezani kama pongezi kwa kutekeleza kazi ya CCM na TISSWewe ndo unaujua ukweli kuliko Mahakama iliyomwachia huru deus Mallya? Uweke hapa huo ukweli
mkuu yaani na wewe umeamini huo uharo ulioandikwa hapa? Pole sana, wajinga ndio waliwao, si unajua mwamba ngoma huvutia kwake? Za kuambiwa changanya na za kwako!Hizi siasa zina mambo mengi sana.
Watu ukiwakuta majukwaani mishipa na jasho imewatoka unaweza kusema ni watu kweli na wana machungu na nchi.
Lakini wanayoyafanya wakiwa huko faragha yanatisha sana.
Jamaa kanitia hofu iliyonipelekea kukiogopa hiki chama hadi naogopa hata kukiandika hapa na katu sitokiandika popote pale make nahisi nitaota matendo yao ndotoni.
Natoa wito kwa watanzania wapenda amani. Heri nusu shari kuliko shari kamili.
Na zimwi likujualo halikuli likakwisha. Bora kuendelea kubaki na mkoloni mweusi kuliko hawa wapaka poda.
Yaani we ndo umejua leo? Huyo ni muuaji anayejulikana siku nyingi. Amekua akitumika kwa sababu hajitambui na hawezi kuwa na maisha nje ya siasa.
Wewe hujawahi kushangaa mtu aliyefeli chuo kikuu cha Dar es Salaam kurundikiwa madaraka kibao wakati hana elimu? Sababu kubwa ni kuwa huwa anaweza kutumika kirahisi kuua watu.
Mchange anateswa na njaa baas!
wewe ni muhalifu kama wahalifu wengine tu, kama unajua wahalifu kwa nini usitoe taarifa kwenye vyombo vya usalama?Kaka acha kutoa povu. Hayo yote aliyoyasema Mchange wengine tunayajua siku nyingi. Mnyika ndio maana alishindwa kumaaliza Chuo kwa sababu ya laana ya damu za watu. Haiingii kichwani kijana asiyekua na elimu yoyot katika karne hii anakabidhiwa majukumu mengi katika Chama wakati vijana wasomi wapo. Ni mbulula tu kama wewe unayeweza kuwaaminisha watu kuwa viongozi wa Chadema siyo wauaji.
Eti ndege iliyombeba Babu Slaa na Mnyika ilitaka kulipuliwa!! This is no sense!! What is so special in them? Kama ukiwataka hao huhitaji hata kusubiri ndege yao.
Damu za watu alioshiriki kuwaua Mnyika zitamfuata popote. Huwezi kuwa unashiriki kuua watu halafu wewe ubaki salama.
Chadema nje ya siasa za mauaji hawana lolote. Kila mtu anajua jinsi wanavyohangaika kila siku ili wamuue Zzk.
Unajisumbua bure kunitukana bora ujibu hoja za Mchange mkuu na kama huyo tiba ametoa majibu kwenye hoja za mchange weka hapa
"...Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831..." Source: KAPINGAZ-MAFOTO: RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE ... Ili tuamini Maneno aliyoyasema Habib Mchange kwa waandishi wa habari leo, ni vema akatueleza kama kweli alipokea fedha hizo kiasi cha laki moja na nisu kama nilivyonukuu hapo juu kwaajili ya kuihujumu CHADEMA ... otherwise tutaichukulia kama anajaribu kujisafisha kwa jamii ili kuficha aibu kubwa iliyowakumba yeye na wasaliti wenzake ...
Mh! hilo la Chacha Wangwe!!