Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Cdm iache upuuuuzi na hao vichaaa.wawapotezeee mnawapa credit bure.
 
Cdm iache upuuuuzi na hao vichaaa.wawapotezeee mnawapa credit bure mijitu iliyojifia
 
Mkuu mbona sioni ulipo jibu hoja hata moja ya mchange?
Utaona vipi hoja wakati wewe ni GAMBA na macho yako kunchuzi? Kama miushahidi yote imemwagwa si mpeleke kesi mahakamani na kesi mtashinda kirahisi? Kwani hii si serikali ya chama chenu? Mnajitetea kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ili iweje?
 
huyu mtoto ni jinga sana, linakubali kugeuzwa geuzwa tu, kama samaki,.. lenyewe linaona linagain popularity kumbe ni jinga tu!!,.. ..
 
Wakati Dunia Nzima Leo inaamini kwamba polisi wa F.F.U walihusika kumuua David Mwangosi tarehe 2.9.2012 pale Nyororo Iringa,MBOWE, LISSU, MNYIKA na SLAA wanaujua ukweli, wanajua ni namna gani mchezo huu ulipangwa, namna gani mpiga picha aliandaliwa, namna gani taarifa za awali zilisambazwa na namna gani mlipuaji alifika eneo latukio na kutekeleza kazi yake maalum na baadae kuondoka kwa utaalamu wa hali ya juu, wanafahamu fika. Na kwenye hili pia mpaka sasa polisi wanahangaika kujinasua, lakini bado wamekwama.
Ama kweli picha zisingekuwepo, waongo wangepata kweli nafasi ya kufanya propaganda zao.

DAUDIMWANGOSIMAUAJI.jpg


mwangosi+kipigo.jpg


Hapa askari anaonekana kabisa akifyatua risasi na moshi unaonekana.

2153426_orig.jpg


Hapa wakiwa wamekimbia kwa woga wa kugundua wameua, na wakasahau kuwa na mwenzao kajeruhiwa..

6182083_orig.jpg


Na hapa tena, wakarudi kumchukua askari mwenzao na wanambeba huku sura zao zikionyesha kutahayari. The guilty are afraid...

9140641_orig.jpg


Oh my God, hivi kweli tumeua...!!!

9888208_orig.jpg


Na hayo yote yametokea machoni mwa Kamanda wa polisi Kamuhanda....


Leo hii wakati ambapo hata serikali bado inakumbuka kuwa kwa hili hakuna ujanja, wewe unakuja na uongo ambao unafanya hata maelezo yako kuhusu Chacha Wangwe na mengine yote yaonekane uongo wa wazi,
 
kama hujui kwamba c.c.m ndiyo walimkill wangwe,dk.muvungii,na mwangosi basi utakuwa umelazwa wodi za milembe.

Acha kupotosha Wangwe aliuawa na Chadema wakiongozwa na Mr. Zero Mbowe. Ila hata Mbowe hana siku nyingi maana kaungua siku nyingi
 
Mchange hana serikali amebaki kulalama na porojo aende mahakamani,maana kama anawajua wauaji yeye anaweza saidia polisi katika upelelezi.quality of a leader is his action and not otherwise
 
Jambo moja lililonofanya nidharau uzi mzima ni ukweli kuhusu marehemu Mwangosi. Waziri wa mambo ya ndani wakati huo Nchimbi alikiri hadharani kuwa aliyemuua ni askari, kesi ipo mahakamani halafu huyu msaliti anasem Chadema?

Hivi polisi hawajamweka ndani tu? Ukiona polisi wamempuuza ujue haya yote aliyoelePza ni pumba yupi
I
Halafu huyu jamaa alitaka kuwa mwenyekiti wa BAVICHA? Ingekuwa majanga
 
Wakuu hali ya siasa inavyoelekea kwa vijana wa nchi yetu kujifanya wanasiasa na kuupotosha umma kwa mambo mengi,imefika kipnd vijana hawa waachane na siasa na waanze kufuga kuku,kuliko kujifanya wajuaji na wataalam wa siasa hata kuwashinda waahadhiri wa kitivo cha siasa na uongozi pale udsm.
Tamko hili la mmoja ya wanasiasa vijana na anaaejifanya mpambanaji licha ya kujaa vitu vingi ambavyo havihitaji wahusika waliotajwa humo kujibu ndipo ujue ni uzushi.
Naomba kumuuliza maswali haya mh saaana mchange
01..kama uliujua ufisadi wa tundu lissu mpaka kufikia hatua ya kuiva ela za mradi na kujenga nyumba tegeta,je ulishawahi kufikisha tuhuma hizo takukuru??? na kama bado ujasiri wako kama mwanaharakati kukemea maovu ni upi???

02.kama chadema ndo walipanga na kufanikisha mikakati ya matukio ya uuaji wa david mwangosi,kumwagiwa tindikali mussa tesha,kupigwa kwa yona wa temeke,na kuuliwa kwa muuza magazeti wa morogoro na ww ukiwa miongoni mwa watu waliokua na taarifa huoni kama ungefikisha taarifa hizo mapema katika jeshi la polisi ungesaidia kuokoa maisha ya watu hao na matukio yale?? na hata baada ya matukio kutokea na ww kuendelea kukaa kimya huoni unakosa sifa za kuyasema haya kwa umma wa watanzania na kuaminika???

03.madiwani waliorudi chadema wasinge fanya hivyo ungekua radhi kuitisha conference hii na kutaja maovu haya???

naomba majibu yako nguli mh habib
 
Hii kitu inachanganya sana, kila mtu anatoa tuhuma tu haendi kushtaki, hawa wanasema kuna watu wataka kulipua kausafiri kao, hawajaenda mahakamani, mtuhumiwa nae kawatuhumu, wote hakuna alieshtaki kuchafuliwa jina, wengine wana ushahidi wa jinsi pesa zilivyoibwa benki kuu lakini haendi mahakamani, na tuhuma zenyewe zimetolewa mahali ambapo huwezi kumshtaki mahakamani, hata na wale wenye majina ya mafisadi waliowataja pale mwembe yanga nao hawajashitaki wala kushitakiwa. Mi naomba anaejua elimu hii aanzishe uzi wa kutujuza wenzao hii ishu ili twende sawa, tafadhali.
 
Hana ajualo, yeye huandikiwa tu kisha hupewa asome bila kupunguza ama kuongeza neno
 
Chadema ni wauaji kubali kataa hasa hilo la Wangwe aliuawa tu. Chama kina siri nzito lakin zitaanza kufichuka moja baada ya nyingne
 
Kukosa ajira za uhakika madhara take ndio haya. Rtutashuhudia mengi miaka Hii.
 
Back
Top Bottom