Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange una umri gani? Mwaka 2008 wakati chacha anapata ajali ulikuwa uko na nafasi gani kwenye chama? Na Chadema ilikuwa na vijana wenye uwezo kiasi gani kipindi hicho mpaka uchaguliwe we we? Inasemekana 2010 ulikuwa Mdogo Sana wakati unagombea ubunge iweje leo uje kutamka kuwa ulipewa nafasi kubwa ya kushawishi vijana wajiunge na Chadema?
Je ukifunguliwa kesi kwa haya uliyozungumza unaweza kuthibitisha?
 
Kumekucha tena Ayayeyaaa!!! kuchochea kuni tu.

Dada yake Tundu Lissu kapewa ubunge kabla ya kuwa mwanachama wa Chadema kadi kapewa Dodowa bungeni siku ya kuapishwa.

Teh teh teh teh

Na wewe hukupewa vitu maalum?! Au umeogopa kuwa mmoja wa MaCCM yanayochakachua maoni ya wananchi.
 
Last edited by a moderator:
Ni shida Ghorofa la lissu lipi tegeta sehemu gani? kwa ndevu au kibaoni?
 
Huu ni zaidi ya ujuha,,,cdm ndyo mnayotaka haya.mnaleta siasa za kijinga kufanya ligi na wendawazimu waliojifia nyie mnawafufua kutoka kwenye wafu...ni upuuuziiii,.,,mpelekeni mahakamani akathibitishe madai yake
 
Ni pale unapogundua nusu ya wa Tz n vipofu, mpaka wajikwae ndio wataelewa
 
Hii inadhihirisha kuwa tuhuma iliyotolewa na wale madiwani wa Chadema ni za kweli. CCM ni wauaji, sasa nimeamini 100%. Eti chadema INA mkono kifo cha Mwangosi, kijana mwuza magazeti Morogoro,mauaji ya Arusha... Ushahidi uko wazi polisi na CCM ni wahusika. Kwa nini Rais alikataa kuunda tume ya mahakama?
 
Hili ni tatizo la kuwa na watu katika serikali ambao hawawajibiki hili swala la kuteswa watu na mauaji ya Chacha wangwe lilitakiwa liwe wazi ili zijulikane mbivu na mbichi maana kila siku Chadema inahusishwa katika hili na huyu Mchange katoa ushahidi mwingine.Kwa nchi yenye userious na mambo ya wananchi lazima alisaidie jeshi la polisi...
 
Muhariri wa ugoro huu hana tofauti na wa gazeti la Uhuru ni upuuzi na ushamba wala siyo adabu hata mama yako hajakufunda kijana? Watu wajinga na wenye njaa na kutumika kama wewe ndiyo wataamini makamasi yako haya, mnatumika mpaka aibu sana vijana kila ulichoandika dunia inakijua tangu zamani na acha kuweweseka. Nyie ni vinyago tu mmechongwa na CHADEMA hamumtishi mtu endelea kutumikia matumbo yenu, eti nitaongea ukweli daima mbona ukuyaongea mapema haya makamasi yako kajambe mkalale munanuka mikojo kama beberu la mjomba wangu.
 
yaani toka Ritz afurahie tamko la kiongozi wa CCM ndugu W. J. Malecela la kumwita sheikh Ponda mende naona akili imeisha kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
alaa duu kumbe mnyika alikuja kuomba radhi malya sasa naelewa siku moja baada ya malya kutoka gerezani niliwaona na mnyika kimara alaaa kumbe
 
nimesoma comments zote na hiyo hoja ya mchange, tujiulize maswali macheache,
1.kama tuna serikali imara yenye kutetea raia wake, kwanini huu ushahidi wa mauaji ya watu wake mpaka sasa huyu mtu yupo nje? na ana ushahidi mf: ana ushahidi kifo cha mwangosi mpiga picha aliandaliwa, sasa tujiulize je na zile vurugu ziliandaliwa? (serikali fanyieni kazi aya maandishi ya huyo dogo, mabomu arusha n.k)
2. tutaamini vipi kuwa hili tamko hujaandikiwa na wabaya wa cdm ili kujisafisha na hizo tuhuma ambazo zinawakabili wao?
3.wewe ni mwananchama wa chama gani mpaka sasa, mbona avatar yako inaonesha nyuma kuna bendera ya cdm na gwanda umevaa?
4.umesema mbowe anachukua ruzuku na kulipa deni la NSSF, je wewe ni mfanyakazi wa hilo shirika mpaka ujue njia anazotoa mbowe ela kulipa? au unatumia ukaribu wa Dau na Zitto?
5.ni akina nani waliokulipia press conference yako ya leo?
6, mbona hujajibu tuhuma ulizopewa na hao madiwani, na kwanini kila ishu chafu unatajwa wewe?
yanatosha japo ninayo mengi zaidi, ila ushauri, ki ukweli umejiharibia future yako ya kisiasa, sidhani hata hilo jimbo la kibaha mjini unalolisema utalipata, lisahau kabisa kwa hizi siasa zako za njaa, unafuata ela inaponukia ndio unaenda zinakumaliza mwenyewe na umeshajimaliza tayari. narudia mimi si mwanachama wa chama chochote, uwa nafanya navyo vyote kazi za kijamii ila kwa hili usitegemee kama chadema watapotea zaidi mmewaongezea umaarufu, jitahidini muwe mnasoma na alama za nyakati, halafu mje na mikakati itakayosaidia kuiondoa nchi hapa ilipo. pole sana dogo kumbuka story ya yuda iskarioti.
 
Huyu mchange amepagawa..angekuwa mwanamke ndo wale wanye gubu wanafungua taarabu kwa nguvu kuwananga mashosti zake na khanga moja
 
Huyu mchange amepagawa..angekuwa mwanamke ndo wale wanye gubu wanafungua taarabu kwa nguvu kuwananga mashosti zake na khanga moja
Mkuu ina maana wewe hujasikitika kusikia kijana John Mnyika kuhususika kwenye mauji ya Chacha Wangwe?

R:I😛 Chacha Wangwe!
 
Last edited by a moderator:
Mchange alidisco chuo kikuu UDOM so Anahangaika sana .....ndio maana alimpelekea Maswi nyaraka zote za ki Benki za Zitto na jinsi walivyo ends PAP kuchukua fedha za IPTL na wakili wao!!!!!!!

Tukumbushe Mbowe alidisco kwenye level gani?
 
alaa duu kumbe mnyika alikuja kuomba radhi malya sasa naelewa siku moja baada ya malya kutoka gerezani niliwaona na mnyika kimara alaaa kumbe
Mallya alipotlewa gezanikwa hisan ya kikwete alipewa Rav 4 kwa Kazi nzuri aliyofanya
 
Back
Top Bottom