Mchange anateswa na njaa baas!
Mchange anaumwa ugonjwa uitwao amnesia,
Wakati chacha wangwe anapata ajali,hatua zote za kitaalamu zilizowahusisha polisi zilifuatwa,nani alihusika,mazingira yaliyopelekea ajali polisi ni wataalamu wanajua,iweje mchange mbumbu wa criminal and intelligent investigation hana leo aseme chadema inahusika katika kifo hicho.
Suala la Tundu lisu kufisidi fedha na mali,atupe ushahidi,lakini pia katika nchi hii kila halmashauri ina idara ya ukaguzi ambayo ni wakaguzi wa ndani na wa nje ambaye ni CAG hajatoa taarifa ya lini,wapi Lissu amefisidi fedha.?,
Mh.mbowe ambaye anadai kuchota ruzuku na kulipia deni lake kwenye mfuko wa hifadhi,hivi mchange na kamati kuu ya chadema Taifa nani anajua kuwa mbowe anafuja mali ya chama?
ni katika siasa za maji taka zisizo na mashiko ndio ameona atoke nazo.
Yeye mtaalamu wa kufuatilia mambo atuambie pia ndani ya ccm nani alimuua Horace korimba,nani alimuua mwandishi wa habari mwangosi?
katika hali ya vijana chadema kuwamwagia tindikali wanaccm, je hivi chama kinachoshawishi watu wajiunge chadema ni kwa mazingira gani kinaweza kutekeleza hilo bila dola ya chama tawala chenye Tiss,polisi,wapelelezi,washindwe kuwatia mikononi hao cdm?
Lakini pia hivi tujiulize toka tuingie kwenye vyama vingi wafanyafujo ni wapinzani tu?, kwa nini mahala ambapo polisi hawakuingilia kati mikutano ya vyama vya upinzani mbona hakukuwa na fujo?
zanzibar toka 1995-2009 cuf siku zote kukamatwa,kuitw wahaini,kupunguzwa kwa majimbo ya pemba nakuongezwa ya unguja hadi sasa,cuf hawako salama dhidi ya chama kilichozoea kutawala.
Tanganyika,enzi za nccr mageuzi,cuf,na sasa chadema,ccm imeendelea kutumia polisi kudraw attetion ya wanachadema kuwa ukiwa tofauti na ccm kimawazo ni adui hata mijadala hawataki ushahidi mwanaccm mwenzao jaji warioba.
Mchange anajisumbua watanzania,sasa wanajua chama kipi kinaensesha fujo hapa Tanzania na kila aina ya ubabe( tazama bunge la katiba,matusi kwa kwenda mbele).