Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

uzuri wa mchange husema ukweli ambao hauna hata chenga suala la chacha wangwe chadema hawakwepi.

Jaribuni kutafuta watu wapya wenye propaganda mpya sio kila siku mnaimba wimbo uleule!
 
Pumba za lumumba na vibaraka wake, chacha Wange ni Mungu hadi asife?
 
Ulitegemea akubali? Uliona wapi?

Asituletee ujuha. Tuanchojua Yeye ni gaidi. Aende akakanushe mahakamani siyo hapa mtandaoni. Tena aka sue kwa kusingiziwa na kuchafuliwa, akionekana hana uhusika, mahakama itamsafisha. Kwa nini anaogopa kwenda mahakamani?

Gaidi mkubwa.

HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.
 
Du?!, Mkuu Serikali Tatu, kwanza asante!, ila umejuaje kuwa Pasco ndio alikuwa mmoja wa waratibu?!. Kiukweli inteligensia yenu, naivulia kofia!, kwa sababu ni kweli mimi ndio mratibu wa hii shughuli yote na nyingine zote za kuichafua Chadema, kuelekea 2015!, ila mpango wenyewe ulikuwa ni siri kubwa sana, kiasi kwamba sasa nashangaa, umejuaje?, na kibaya zaidi, umeiweka humu jf!, sasa kibarua changu kitakuwaje wakati umeisha niumbua hivi!?, sasa najulikana ni mimi!.

Oh poor me!, sass nitakula wapi?!.

Thanks.

Pasco
 
Mkuu Pasco mi najua hizi ni kachumbari tu za kunogesha mnakasha. Huna haja ya kukasirika
 
Last edited by a moderator:
Sijaona alipokanusha kuhusiana na tuhuma zake..ngoja nivae mawani yangu labda.
 
HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.

Hivi kuna mtu bado anaweza kumuamini Mchange ambaye amekuwa dalali kwenye siasa. Mi namuona huyu kijana ni kijana aliyepoteza maelekeo kabisa ameua kuwa na bei yoyote dhamni yake sasa ni kama machungwa au nyanya sokoni.
Zitto amemtumia baadaye amemuunganisha kwenye uwakala wao kwa chama mshirika wa ccm ili kupambana na UKAWA pamoja na CHADEMA sasa najiuliza kama ccm imeshindwa je act itaweza?
Sasa ni dhahiri UKAWA Inapambana na ccm+act hili ni furushi moja
 
HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.

Sijawahi kuona mtu asiye na akili kama huyu,hayo ndiyo anayowaambia waandishi Wa habari?ningekuwepo ningemponda na kamera,si ajabu anaongea mambo aliyosikia,mambo ya zamani yaliyokwisha kupita!ameshindwa kujiteteta,inaonekana hata kujenga hoja hajui!huyu rais ajaye amtie ndani tu ashike adabu take.
 
Chadema kamwe hawataweza kufuta damu za watu migongoni mwao waliyofanya yote yako dhahili.

Vipi waliyofanya ccm?ni kwa vile tu dola ni yenu,otherwise ccm wote mngekuwa jela,naomba sana siku ccm ikitoka madarakani,raids awatie ndani wote kwa uhalifu waliokwisha ufanya.
 
Du?!, Mkuu Serikali Tatu, kwanza asante!, ila umejuaje kuwa Pasco ndio alikuwa mmoja wa waratibu?!. Kiukweli inteligensia yenu, naivulia kofia!, kwa sababu ni kweli mimi ndio mratibu wa hii shughuli yote na nyingine zote za kuichafua Chadema, kuelekea 2015!, ila mpango wenyewe ulikuwa ni siri kubwa sana, kiasi kwamba sasa nashangaa, umejuaje?, na kibaya zaidi, umeiweka humu jf!, sasa kibarua changu kitakuwaje wakati umeisha niumbua hivi!?, sasa najulikana ni mimi!.

Oh poor me!, sass nitakula wapi?!.

Thanks.

Pasco

Pasco inakuaje mtu kama wewe unaungana na hawa political failures with cheap politics in this stiff political competition? Au these guys are your type?
Mtu ambaye mpaka sasa anafanya kazi ya ccm ni kijana asiyeaminika maana ccm haina maana yeyote sasa zaidi ya kukaba kila ambacho kinaweza msaidia mtanzania.
 
Mpumba.vu sana huyu mtoto. Mi nakumbuka usiku ule nimetoka Chalinze nikafika kibaha nikapigwa mabomu kumbe lisenge liko ndani lina negotiate Mil 10! Mchange alikuwa rafiki yangu baada ya pale nilimdharau sana

Mimi nilimwona kwa Tv baada ya sisi kupigwa mabomu sana kushinikiza matokeo ya Sumbawanga mjini, Aiseee Cdm kiboko hakuna, na bila hizi taka majimbo yasingeuzwa mother fanta kama mdau mmoja alivyosema
 
Ni bora ndugu mchange ameweka wazi kuhusu namna CHADEMA wanavyotekeleza mauaji na ugaidi nchi hii, katika harakati za kueneza chama chao.

Mnatiana moyo katika uhalifu wenu eti? Hivi bado nyie vibaraka wa mafisadi mnaamini kuwa watu watawaamini na uhalifu wote huu? Msifikiri watu wote ni kama nyie?
 
Mchange hawezi akafanikiwa kujisafisha na njama za kutaka kumuua Slaa kwa kuishambulia CHADEMA na kuihusisha na kifo cha Wangwe ambacho kila mtu ana jua kuwa kilisababishwa na ajali ya gari labda awe na akili kama za Mchange.
 
Pasco khaki envelops hazi husiki kwenye press conference?
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • kp10062014.jpg
    kp10062014.jpg
    34.1 KB · Views: 210
Lini mtuhumiwa aliwahi kukiri kwamba ni kweli alifanya tuhuma?
Mchange hawezi kusafishika hata kwa dodoki, ni jambazi, muuaji na msaliti mkuu.

Mchange ni kada wa ccm kupitia act, anawezaje kutoa tuhuma zilizooza wakati ccm ndiyo yenye dola? pambavu zako we mchawi
 
Back
Top Bottom