Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange awashambulia viongozi wa CHADEMA

Mchange ni kiboko ya Dr Slaa na Mbowe

Uwezo Wako wa kufikiri umeishia hapo? MBOWE NA SLAA SIO LEVEL YAKE, asitafute kick kupitia hawa makamanda ambao wanaitetemesha lumumba nzima.
 
Hahahaha mchanga mchanga si ndo jina lake eee huyu jamaaa nipumba kbsa tamko lenyewe kaadaliwa naye kalipost kama lilivyo eti vijana wanafaa kuwania urais ndo hiv hahahaha bdo sana
 
HABIBU MCHANGE AKANA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA ULIPUAJI WA HELKOPTA ILIYOWABEBA MNYIKA NA SLAA.

Leo mchana katika mkutano wake na waandishi wa habari,Mchange amewashambulia waziwazi viongozi wakuu wa chama cha demokrasia na maendeleo na kuwatuhumu kuhiska na mauaji ya aliyekua mbunge wa CHADEMA Tarime,marehemu Chacha Wangwe,kisha kumkana mtu aliyehusika na mauaji hayo Deus Mallya,wakati alikuwa mjumbe katika kamati iliyokuwa chini ya John Mnyika,na rafiki wa Mnyika lakini Mnyika kumkana hajawai hata kumuona.

Kisha kawataja Lissu,Mbowe na Slaa kuajiri vijana na kuwalipa kuwatesa vijana wanaoonyesha kuiunga mkono CCM katika kampeni mbalimbali za chama,hasa kwa kumwagia watu tindikali.

Pia amesema Lissu ni mbinafsi na fisadi aliyedhurumu fedha za miradi ya mazingira,na kujenga nyumba ya ghorofa Tegeta,Mbowe anahujumu mamilioni ya CHADEMA,na Slaa akihujumu fedha za chama kulipia mkopo wa NSSF.
===================================


Nchi hii inahitaji kuwa na vijana kumi tu kama Mchange basi. Hana woga hata kidogo huyu jamaa. Big Up sana
 
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015 tutasikia mengi......wataumbuana wengi.....watachapana wengi!
 
Back
Top Bottom